mahakamani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  2. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi - Shinyanga waachiwe huru au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mahakamani leo: Hii nimeikuta mahali. Mwenye fununu atujuze

    Polisi wametanda hapa Mahakamani utafikiri kuna jambo la uasi linataka kutokea. Kesi ya Lissu haipo leo ila kwa hali hii mashaka ni makubwa sana kwamba wanaweza kumleta Lissu hapa na kumuachia leo na wakampeleka mpaka kwake Tegeta kimya kimya. "ACHA TUUPE MUDA MUDA"
  4. JamiiForums Tanzania LHRC: Wananchi Wanaoshikiliwa Kinyume cha Sheria maeneo mbalimbali Nchini waachiwe au wafikishwe Mahakamani

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeripoti kuwa imekua ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini. Imeripoti kwamba mkoani Shinyanga, zaidi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa NRM Agro Limited na wenzie 10; Mahakamani kwa makosa ya dawa za kulevya

    04 June 2026 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Tanzania MAKONTENA MAWILI WA MADAWA YA KULEVYA Mahakama yaelezwa kontena dawa za kulevya lilivyoingizwa Tanzania 57 minutes ago — Riziki Shaweji ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni NRM Agro mkaazi Masaki jijini Dar es Salaam kigogo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mama mkwe apora Mali za marehemu, mgane alia kwa uchungu mahakamani!

    Kijana , umri miaka 30 , alifiwa na mke wake ambaye walikuwa na mtoto mmoja tu wa kike umri wa miaka 2. Mwana-uume huyo alikuwa akiishi nyumba moja na mama mkwe wake pamoja wamashemeji zake kwakuwa walikuwa hawana pa kukaa na nyumba ilikuwa na hati jina ni la huyo mwanaume. Mke alifariki...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nimesoma mahali kuwa Lisu aliletwa kinyemela mahakamani. Kulikoni?

    This is the trending news. Imekuwaje? Nasikia eti kulikuwa na proposal ya kumuachia?
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyegomea uteuzi wa Rais aburuzwa Mahakamani kwa Utakatishaji Fedha na wenzake. Je, ni kweli alitakatisha fedha au kuna kisasi?

    Aliteuliwa na Rais Samia mwaka 2023 kuwa mkuu wa wilaya Mbogwe yeye na mwenzake Maganga wakakataa uteuzi. Jana wamefikishwa mahakamani kwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Je, ni kweli walitakatisha fedha au ni kisasi? Pia soma Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka yupo Mahakamani kwa ajili ya kesi ya wafanyabiashara 'wapangaji' katika jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo

    Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
  11. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nitamfikisha Baba Levo Mahakamani kwa kuniambia nilijiteka, aniombe radhi

    https://www.youtube.com/live/F26wOjys36A?si=1PcO6uI7Cfci1rwJ Abdul Nondo amezungumza hayo leo Mei 23, 2026 Jijini Dar es Salaam. kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel , Riverside Ubungo. KUFUNGUA MASHTAKA DHIDI YA CLAYTON REVOCATUS CHIPANDO (BABA LEVO) KWA KUNICHAFUA, KUNIDHALILISHA, KUNIVUNJIA...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
  13. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua arejea Mahakamani kupinga kuondolewa madarakani katika kesi ya Kikatiba

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amerejea mahakamani, akiendeleza mapambano yake ya kisheria dhidi ya kuondolewa kwake madarakani mwaka 2024. Kesi hiyo, ambayo sasa inasikilizwa na jopo la majaji watatu katika Mahakama ya Milimani, inaonekana kuwa mojawapo ya mapambano makubwa zaidi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Kuna Wakili alipigwa Mahakamani kama wanaua nyoka, wengine wakasema ‘eti huyo ni CHADEMA”

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu uliofanyika AICC jijini Arusha. Anasema tukio la ajabu kabisa, wakili mmoja alikuwa akipigwa mahakamani kama watu wanaua nyoka. Niliona wakipiga wakili Mahinyila. Na wengine ukiwauliza...
  16. JamiiForums Tanzania Uwoga wa mashaidi unaweza kusababisha kesi ishindwe mahakamani

    Mahakama zinaogopwa sana hata kwa watu wenye haki , niliwahi kufungua kesi Mahakama ya kisutu , sikutegemea mashahidi niliowaamini wote walikimbia ☺️ kwa hofu ya jengo la mahakama ijapokuwa wanaujua ukweli. Kuna mashahidi walikuja kutoa ushahidi kufika kwenye ma benchi ya mahakama wakati wa...
  17. JamiiForums Tanzania Responded Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani

    Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026. Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Video: Muonekano wa Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakamani leo Aprili 30, 2026

    Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake. Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu aonekana Mahakamani leo

    Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton, anaripoti kuonekana kwa Lissu mahakamani leo asubuhi bila chama au mawakili wake kupewa taarifa. UPDATES: Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti alifikishwa mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya said...
  20. JamiiForums Tanzania Naweza kutumia jina la biashara yako na nikakushtaki mahakamani

    Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…