mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. M

    Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  2. Kwa namna Mahakama ilivyojinajisi hivi sasa mifupa ya kina Jaji Mwalusanya, Lugakingira na Kisanga itakuwa inacheza huko kaburini.

    Sidhani kama kwenye historia ya Tanzania, Taifa letu limepata kushuhudia Mhimili wa Mahakama wa hovyo kama uliopo hivi sasa. Hata wakati wa Utawala wa Chama Kimoja, inafahamika Mhimili wa Mahakama uliwahi kumgomea Mwalimu Nyerere kutoa adhabu zaidi ya inayotolewa na Mahakama kwa walitoa na...
  3. K

    Dira ya 2050 inaanza kwa kujidanganya!!!! eti kuna demokrasia na uhuru wa mahakama!!!!

    Hapa Mbowe kasema ukweli https://youtu.be/lJ_VHuVjKnc?si=MhaK0MDr-HUhBDeW
  4. GE2025 Mahakama yafafanua zuio la CHADEMA, zuio linawahusisha Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao ni John Heche wa...
  5. R

    Mahakama ya Korea Kusini imefuta rasmi Mashtaka yaliyokua yanamkabili Mwenyekiti wa Kampuni ya Samsung, Jay Y. Lee

    Mahakama ya Juu ya Korea Kusini imemwondolea rasmi Jay Y. Lee, Mwenyekiti wa Samsung Electronics, mashtaka ya udanganyifu wa mahesabu na ulaghai wa hisa uliotokana na muunganiko wa kampuni mbili tanzu za Samsung mwaka 2015 uliogharimu dola bilioni 8. Uamuzi huo umetupilia mbali mashitaka yote...
  6. Je, Mahakama Yetu Inashindwa Kufanya Tafsiri Sahihi ya Sheria au Inatumika Kisiasa?

    Kesi ya Tundu Lissu inaendeshwa kihuni, bila kuzingatia principles of fair trial. Badala ya mahakama kuwa independent interpreter of the law, imejigeuza political tool. Mawakili wa Jamhuri wanatumia vifungu kama s.89 & 384 Penal Code ambavyo havihusiani na hoja ya msingi. Huu ni ukiukwaji wa...
  7. Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  8. Lissu anataka kuitumia EU kudictate maamuzi ya Mahakama?

    Naona utetezi wake unajikita katika kuitisha mahakama na hakimu eti EU watatukemea kuhusu kesi yake. This is a professional misconduct na lazima ikemewe. Ni vyema utetezi wake ujikite kwenye sheria za nchi na sio opinion za EU au kelele za wanaharakati.
  9. Mawakili wa serikali awana uwezo ila wanabebwa na mahakama zetu kandamizi za ndani, ndio maana wanashindwa kwenye kesi za mahakama za nje

    Mawakili wa serikali wangekuwa wananajua Sheria, serikali isingekuwa inashindwa kwenye mahakama za kimataifa. Nitajie kesi mbili za kimataifa ambazo mawakili uchwara wa serikali wameshinda na Mimi nitakutajia kesi hamsini walizishindwa
  10. R

    Tundu Lissu leo amejitetea kwa umahiri mkubwa sana kisheria, laiti Mahakama zingelikuwa huru, leo angelikuwa uraiani

    DPP V. Yahaya Upanga & Another, [1983] TLR 151 (HC), In Republic V. Twalib Umbwa [2005] TLR 420 (HC). In DPP V. Yahaya Upanga the Court said: “If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment, whether or not the case was ready for hearing on the day on which the...
  11. GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
  12. R

    Nawezaje Kulinda kura ya Urais ambayo siwezi kuikatia rufaa Mahakama yoyote?

    Salaam, Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni! Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu? Na nisiporidhika na...
  13. R

    Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  14. Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  15. GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi Lissu

    Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo yalipaswa kusubiri kesi ya msingi iishe. Wakili hekima mwasipu amesema wameridhika na uamuzi huo, na...
  16. GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

    Kesi Namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha CHADEMA kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa, inatarajiwa kuendelea Julai 10, 2025 mbele ya Mh. Jaji Hamidu Mwanga katika Mahakama Kuu-Dar es salaam...
  17. Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  18. Mahakama inapoonekana kama Chombo rasmi kutimiza matakwa ya Wakubwa wenye sauti, tumaini linalobaki kwa Mwananchi ni njia zisizo za Kisheria

    Pamoja na mapungufu yake yoote, Nyerere aliona unyeti wa Uhuru wa Mahakama ndo mana aliheshimu sana mapendekezo ya Wanasheria waliopendekeza uwepo wa Ibara ya 107A ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayosema wazi kuwa Mahakama ndicho kitakachokuwa Chombo cha Mwisho Katika Masuala ya...
  19. Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

    Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa. Baaasi
  20. Mahakama Israel yakataa kuahirisha kesi dhidi ya Netanyahu

    Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe mbali. Wakili wa Netanyahu alimuomba jaji katika mahakama hiyo kuahirisha kesi hiyo kwa wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…