mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Polisi, Mahakama, Hospitali ya Taifa Muhimbili zina viashiria vya Uvunjifu wa Maadili

    Serikali imetaja taasisi za Polisi, Mahakama na Muhimbili kwamba zinaongoza kwa viashiria vya uvunjifu wa maadili nchini hivyo akaomba viongozi wakutane na kujadili kwa nini taasisi nyeti kama hizo zinatajwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama yavunja ndoa baada ya mke kutopewa unyumba kwa miaka 7

    Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye kuelewa ilipo Mahakama ya Qadhi Mkoani Mbeya tafadhali

    Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
  4. JamiiForums Tanzania Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya rais yasihojiwe na mahakama yoyote?

    Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa sasa si Wakili wakusimama mahakamani kwa kutohuisha leseni yake

    Nawakumbusha tu asije akawatapeli, kwa sasa sio wakili kwenye mahakama zetu. Asije akawadanganya mkampa pesa akawapiga.
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hakimu wa Mahakama ya Wilaya auawa kwa kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali

    Nimekutana na hili andiko kwenye mitandao yetu hii, naamini mamlaka zitatuambia ukweli wa hii kitu.... Anaandika Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mh. Siriel Mchembe👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 Niimepokea taarifa kutoka kwa DC Rungwe Dkt. Vincent Anney kwamba alfajiri ya leo, Hakimu Joakim Mwakyolo wa Mahakama ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama yasogeza mbele kesi ya aliyekutwa na sehemu za siri za kike

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya kukutwa na viungo vya binadamu inayomkabili Salum Nkonja (23) kuwa shauri hilo litakapokuja tarehe ijayo wahakikishe wanaleta mashahidi pamoja na vielelezo katika mahakama hiyo. Inadaiwa kuwa mshtakiwa huyo alikutwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Rufaa dhidi ya Sabaya kusikilizwa siku 5 mfululizo

    Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023. Rufaa hiyo namba 155/2022 mbali na Sabaya wajibu rufaa...
  10. JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa mashtaka ya binafsi ya Jacob Zuma dhidi ya Rais Ramaphosa

    Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma. Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo. Zuma anamshutumu Rais kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya mwendesha mashtaka wa Serikali na...
  11. JamiiForums Tanzania Brazil: Wafuasi wa Rais wa zamani wavamia Bunge, Mahakama ya juu na Ikulu

    Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya kuapishwa kwa, Rais Luiz Inacio Lula da Silva. Mamia ya waandamanaji waliruka vizuizi vya usalama...
  12. JamiiForums Tanzania Shuhudia jengo la Mahakama ya Wilaya ya Namtumbo lililotafuna Milioni 723. Hatujapigwa kweli?

    Habari ndugu wapambanaji.. Hivi kweli jengo hili la Mahakama ya Wilaya linaweza kugharimu mil.723 Kweli? Pamoja na kwamba Sina michoro na BoQ yake Ila kwa haraka haraka hilo jengo halizisi mil.400 kwa kila kitu, C hapo gumepigwa.. Na bahati mbaya sana Majengo mengi ya Mahakama yamekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mke akigoma kuachana, bila kutunia mahakama, namfukuzaje?

    Ikiwa unataka kuachana na mtu kwa amani, mfano umemchoma, hujisikii kuwa nae, ukamwambia ki roho safi kua achukue anachotaka aondoke au aseme anataka nini halafu akagoma, unamfanya nini mtu kama huyu? Au unamuachia mji unanda kuanzisha mji wako? Kwanini mtu usikubali kuachika kama hupendwi
  14. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mahakama zaonywa kuwatisha Waandishi wa Habari za Uchunguzi

    Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa zikiingilia uhuru wa Waandishi wa Habari wakiwemo wanaofanya Habari za Uchunguzi. Onyo hilo limetokana na malalamiko kutoka Kituo cha Televisheni...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yapinga Wafungwa kupimwa UKIMWI bila ridhaa yao

    Mahakama Kuu imesema kitendo cha maofisa wa magereza kuwalazimisha wafungwa kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) bila ridhaa yao na kutangaza majibu ya vipimo vyao hadharani ni kinyume cha sheria. Majaji, Elinaza Luvanda, Edwin Kakolaki na Sedekia Kisanya wamekubaliana na ombi la kikatiba...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala ahukumiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 80

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora mjini, Komanya Kitwala kumlipa fidia ya shilingi milioni 80 Alexander Ntonge mkazi wa kata ya Ipuli Tabora mjini, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka aliyofunguliwa ya kuwaamuru Askari Polisi...
  17. JamiiForums Tanzania Angola: Mahakama yaagiza kukamatwa Mali za Tsh. Trilioni 2.3 za Mtoto wa Rais Eduardo dos Santos

    Mahakama ya Juu (ASC) imetoa agizo la kuzuiwa kwa Mali za Isabel dos Santos kama ilivyoombwa na Wizara ya Umma baada ya kudaiwa kuwa zimetokana na #Ubadhirifu na #Ufisadi wa Mali za Umma. Taarifa hiyo imeagiza kuzuiwa kwa Fedha katika Benki zote, Akaunti za Amana za Muda, Maombi yote ya Fedha...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama yaiamuru MultiChoice iwalipe mwanariadha Simbu na wenzake Tsh. 450m

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeamuru Kampuni kutoa huduma za maudhui ya vituo vya luninga - MultiChoice (T) kuwalipa Sh. 450 milioni wanariadha watatu maarufu wa Tanzania. Imethibitika mahakamani hapo kwamba MultiChoice ilitumia picha za Wanariadha Alphonce Simbu, Failuna Abdi Matanga na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mahakama za Haki, Serikali dhalimu haziwezi kutoboa

    Tumezisikia kesi zikiihusisha serikali ya Tanzania.Tumeyasikia madege yakishikiliwa. Hivi serikali yetu inasimamia haki wapi? 1. Angalia hili la kuwafutia watoto wadogo matokeo ya mitihani. Wapi hukumu za jumuiya zinakubalika? Kwa nini hawakuwakamata wahalifu na kuwashughulikia kikamilifu hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…