mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Mahakama yatupilia mbali kesi ya Saqware

    Kesi ya madai namba 167/2021 iliyofunguliwa na Baghayo Saqware dhidi ya Hospitali ya Salaaman imetupiliwa mbali na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam baada ya kushindwa kuthibitisha madai yake. >> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali kesi ya madai ya Kamishna wa...
  2. Mahakama Yamuachia Rapa Young Thug Baada ya Kukiria Makosa, Ala Plea Deal

    Nyota wa rap wa Marekani, Young Thug, ameachiwa kutoka gerezani jana Alhamisi baada ya kukiri mashtaka ya kushiriki katika uhalifu wa genge, kumiliki silaha, na kutumia dawa za kulevya. Kesi hii inatajwa kuwa kesi iliyochukua muda mrefu zaidi katika historia ya Georgia. Thug (Jeffery Lamar...
  3. Bunge Letu Kibri na Jeuri ni Bunge Kweli la Kutunga Sheria au ni Bunge Ruber Stemp ya Serikali? Kwanini Linaogopwa Hivi na Mhimili wa Mahakama?

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Mwananchi. Wiki iliyopita kwenye safu hii nilimpongeza Spika Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake wa nchi za mabeberu, nikasema tunamuomba aliendeshe Bunge letu liisimamie serikali kikamiifu...
  4. Prof Kindiki Ruksa kuapishwa, Mahakama yathibitisha

    Jopo la majaji watatu - Mahakama Kuu nchini Kenya limetoa uamuzi kuwa Naibu Rais (Mteule) Professor Kithure Kindiki kuapishwa baada ya Gachagua kufukuzwa na Seneti. Source: Nation Media...
  5. Kangaroo Cort, Hakuna kesi ambayo Serikali ina masilahi nayo unaweza shinda kwa Mahakama za Tanzania

    Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali. Kesi yoyote ambayo ina negative impact kubwa kwa Serikali hii ni kujisumbua nayo kwenye mahakama za Tanzania make ni ile Rostam...
  6. R

    Bashe anaingia bungeni kesho akiwa hana kashfa ya Sukari

    JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina Mbunge wa Kisesa. Bunge linaanza kesho huku Bashe akiingia bungeni akiwa ni Mr Clean hana kashfa...
  7. Gachagua akimbilia mahakama ya Rufaa

    Naibu wa Rais aliyeondolewa Madarakani amekimbilia Mahakama ya Rufaa kupinga Naibu Jaji Mkuu kuteua Majaji watatu wa kusikiliza kesi yake Mahakama kuu...
  8. L

    LGE2024 Mahakama yaipa Ruhusa TAMISEMI kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Oktoba 28.2024 imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa Mahakamani hapo na Watanzania watatu (3) ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dkt. Ananilea Nkya dhidi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa...
  9. Mahakama Kuu yaondoa kesi ya Masoud Kipanya dhidi ya Mwijaku kutokana na dosari za usajili

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili. Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24.10.2024 kabla hajatoa uamuzi wa mapingamizi...
  10. Mwijaku anusurika kulipa TSh. milioni 500 baada ya Mahakama kufuta kesi ya Masoud Kipanya

    Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili. Mheshimiwa Jaji David Ngunyale aliiondoa kesi hiyo mnamo tarehe 24 Oktoba 2024 kabla hajatoa uamuzi wa...
  11. Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

    Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
  12. W

    Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

    Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria. Soma...
  13. Kesi ya Afande sakata la binti wa Yombo yafutwa, hatokabiliwa na shtaka lolote dhidi yake

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imekataa ombi la kusaini malalamiko yaliyotolewa na Paul Kisabo dhidi ya Fatma Kigondo maarufu kama Afande, baada ya kubaini kuwa malalamiko hayo yana dosari mbalimbali ikiwemo kutofuata taratibu za kisheria. Uamuzi huu wa Mahakama uliotolewa siku ya Ijumaa...
  14. Mahakama yatupilia mbali Afande Fatma kusomewa mashtaka popote alipo

    Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyamburi Tungaraja, ametupilia mbali maombi...
  15. Mahakama yatupilia mbali ombi la Afande Fatma kusomewa mashtaka popote alipo

    Kesi inayomkabili 'Afande' Fatma Kigondo, anayeshtakiwa kwa kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo, Dovya jijini Dar es Salaam, imeendelea Oktoba 18, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyamburi Tungaraja, ametupilia mbali maombi...
  16. Mahakama badala ya kutoa haki na hukumu inaelekeza sehemu nyingine ukaipate

    Mahakama ndiyo chombo cha mwisho kuamua ndiyo ama hapana.unakwenda mahakamani kutafuta haki halafu mahakama inaelekeza uende sehemu nyingine ndiyo itahukumu.mfano kesi ya CCM kutumia watoto ktk siasa.mahakama imenifikilisha sana.na huko walikoelekezwa ikaamue wana huo ubavu wa kuamua labda kama...
  17. Mahakama yamgomea Rigathi Gachagu

    Mahakama ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. Aidha, mahakama hiyo imesema mchakato huo utaendele kama ulivyopangwa bila kuingiliwa na mamlaka hiyo...
  18. M

    Mahakama na uboreshaji huduma kidijitali

    Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati. Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua kesi Mwanza na ikafunguliwa na kupangiwa tarehe au kusikilizwa kwa video limenikosha sana...
  19. Mahakama ya Brazil yaufungulia Mtandao wa X (Twitter) baada ya kulipa faini

    Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter. In his...
  20. Madeleka aitupia lawama mahakama kesi ya Afande Fatma Kigondo anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu ubakaji wa "Binti wa Yombo"

    Anayetajwa kuwa Afisa wa Jeshi la Polisi, Fatma Kigondo, amejikuta akihusishwa na tuhuma nzito za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti anayeishi Yombo Dovya, Dar es Salaam. Tuhuma hizo zinamweleza kuwa aliwatuma vijana wanne, akiwemo askari wa vyombo vya usalama, kutenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…