Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama.
Majaji hawa walitengeneza...