Chama cha Wanasheria wa Uganda (ULS) na Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) wamefungua kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Masharik iliyoko Arusha, wakilalamikia ukiukwaji wa viwango vya kidemokrasia katika uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026.
Wanadai Tume ya...
Mahakama ya Katiba nchini Uganda imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kufuta vipengele kadhaa vya Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta ya mwaka 2022 (Computer Misuse Amendment Act), ikisema kuwa sheria hiyo inakiuka haki za msingi za binadamu.
Katika hukumu iliyotolewa kwa kauli moja na jopo la...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeamua kuwa vifungu vya Katiba ya Tanzania na Zanzibar vinavyozuia mahakama kuhoji maamuzi ya Tume za Uchaguzi vinakiuka haki zinazolindwa chini ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu. Tanzania imeagizwa kufanya marekebisho ya kikatiba...
Anaandika Jebra Kambole
AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC.
Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.
Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti.
Wapinga...
Tanzania ilijiondoa kupitia ibara 36(4) yq optional protocol to African court of human rights. Ikipinga raia na non governmental kwenda kuishitaki moja kwa moja kwenye hii mahakamama.
Hii ni kwa sababu kesi nyingi dhidi ya serikali ya CCM juu ukiukwaji wa haki za binadamu ziliibuka na kuiabisha...
02 March 2026
TAARIFA: Rais Mahama afungua rasmi mwaka wa Mahakama ya Afrika jijini Arusha leo 02 March 2026
Rais John Dramani Mahama aliondoka Accra Ghana Jumapili, tarehe 1 Machi 2026, na kuelekea Arusha, Tanzania.
Rais John Mahama ni Mgeni Maalum wa Heshima katika sherehe kuu ya kufungua...
Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia vitendo vya ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi...
Amnesty Kenya imetoa tamko la kuitaka Tanzania kurudisha mwilj wa mwl wa Kenya aliyeuawa Tanzania pia kuruhusu mawasiliano ya mkenya anayeshikiliwa na polisi Tanzania.
Kwa mwl aliyefariki wametama uchunguzi dhidi ya kifo chake ufanywe mbele ya ndugu, wanaharakati wa haki za binadam na asasi za...
Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025:
Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi. Agather Atuhaire kutoka Uganda na Bw. Boniface Mwangi kutoka Kenya – wakiwa wameandamana na mashirika...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, inatarajiwa kutoa uamuzi wake Alhamisi, Juni 26, kuhusu kesi mbili muhimu dhidi ya Serikali ya Tanzania zinazohusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Kesi hizo ni ya Ado Shaibu na wenzake na ya Abdul Nondo...
Kigali, Rwanda
RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI
https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu.
Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa.
Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
Moja ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa demokrasia nchinina kitendo cha Tume kutumia watumishi wa umma katika michakato ya kiuchaguzi.
Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha Mswada, Tume itaendelea kutumia aukuazima watumishi wa umma kuwa wasimamizi wa uchaguzi, kwa lugha nyingine...
(Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe)
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
Mtanzania aliyeapishwa kuwa Jaji mpya wa Mahakama ya Afrika Mashariki
Alhamisi, Agosti 24, 2023
Jaji Omar Othman Makungu wa Mahakama ya Afrika Mashariki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa EAC baada ya hafla ya kuapishwa...
Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment Consulting Company Ltd (ABECC) katika eneo la Lakilaki...
20 February 2023
Arusha, Tanzania
Jaji Imani Daudi Aboud Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye makao yake Arusha.
Leo ameziasa nchi wanachama kutekeleza hukumu zinazotolewa na mahakama hiyo ya Afrika bila visingizio kuwa hukumu hizo haziendani na sera za nchi zao husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.