Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar.
Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa i
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/hukumu-kesi-ya-lissu-kipimo-weledi-wa-mahakama-5657948
Kuna wengi wetu ambao ni wananchi...
Na. M. M. Mwanakijiji
Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake.
Agizo hilo...
MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia.
Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
Leo, Oktoba 16, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria katika Shauri la Kikatiba Na. 7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kulwa Maduhu, Nashon Nkung'u, na Paul Kisabo). Mahakama imebainisha wazi kuwa vitendo vya uongozi na maafisa wa...
anapaswa
binafsi
gereza
gereza la ukonga
kanuni
katiba
kisheria
kufunguliwa
kushtakiwa
kuu
kuvunja
kuvunja katiba
mahakamamahakamakuu
mashtaka
mkuu
mkuu wa
mkuu wa gereza
nchi
uamuzi
ukonga
ushauri
ushauri wa kisheria
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imetangaza kuendelea na juhudi za kurejesha KSh170 milioni kutoka kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu uliodumisha hatia yake katika kesi ya ufisadi na kurejesha mashtaka ya utakatishaji fedha.
Katika...
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya haki za binadamu. Kwa Tanzania ma Rais wa awamu zote walikwepa kusaini hukumu ya kifo na kubakia...
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
Hii ni mifano jinsi gani mahakama kuu za kiislam zilivyokaa na kuamua kesi
1. Myahudi akapata haki mbele ya Umar رضي الله عنه
Imepokelewa kwamba mtu Myahudi alikuwa na mgogoro na Muislamu mbele ya Umar ibn al-Khattab رضي الله عنه. Baada ya kusikiliza suala hilo, Umar alimhukumia Myahudi huyo...
Leo Tarehe 17 September 2026 mahakama kuu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, ilioitishwa kwa ajili ya kutajwa kwa shauri la Kikatiba Na. 000023438 la mwaka 2026 linalopinga uamuzi uliotolewa tarehe 12 Agosti 2026. kuhusu zuio kwa mawakili kuzungumza na vyombo vya...
Mahakama Kuu ya Jimbo la Lagos nchini Nigeria imetoa amri ya muda inayomzuia muigizaji wa Nollywood, Liz Anjorin, kuchapisha au kusambaza picha na maudhui yoyote yanayomhusu mtoto wa Priscilla Ojo na msanii Juma Jux, aitwaye Rakim, kwenye mitandao ya kijamii .
Amri hiyo iliyotolewa kufuatia...
Madeleka ana bahati sana hajapotezwa.
Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia.
====
TAARIFA KWA UMMA
POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU
Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa tarehe 14 Agosti 2026, saa 9:30 alasiri, eneo la Mikocheni B, Kinondoni, limemkamata na linamhoji Peter Madeleka kwa tuhuma za kudharau amri za Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu kama “Mahakama ya...
Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani.
Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto.
Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...