mahakama kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwanza: Jopo la Majaji wa Mahakama Kuu lawatia hatiani watu sita kwa 'UGAIDI'

    Washtakiwa sita jana walipatikana na hatia na mmoja kuachiwa huru katika kesi ya ugaidi inayohusishwa na tuhuma za kuwa sehemu ya mpango wa kuipindua Serikali na kuanzisha dola ya Kiislamu nchini. Jaji Godfrey Isaya, akiongoza jopo la majaji watatu katika Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
  2. McLaren

    PostGE2025 Mahakama Kuu yaidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia mbali shauri lililokuwa likipinga uhalali wake. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 13, 2026 na...
  3. R

    Kila kesi ni Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi

    Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary! Takataka
  4. figganigga

    Dar: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wazuiliwa tena kuingia Mahakama Kuu

    Salaam, Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
  5. M

    Tumekuwa kimya kwa sababu tukizungumza tutaivua nguo CHADEMA

    Kwa muda mrefu madai haya tuliyadai ndani ya chama nikiwa mwenyekiti wa chama na hatukufanikiwa kisawasawa, na tukaona kwa sasa ni kuyaleta kwenye vyombo vya sheria na mahakama ambapo tukaona tutapata haki. Soma -CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama Kuu yasimamisha usikilizwaji wa kesi ya Lissu, baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio

    Mahakama Kuu imesimamisha usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa mahakama hiyo kutupilia mbali notisi yake ya kuwasilisha ushahidi mpya katika kesi hiyo. Soma Pia: Tundu...
  7. Harvey Specter

    Utaratibu wa "Uwakili wa Viti Maalum" wapigwa chini na Mahakama Kuu

    Jana tarehe 17 Februari 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Tabora kupitia kesi ya Amina Mwaluko dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ilibatilisha utaratibu wa baadhi ya watu wakiwemo maafisa wa mahakama, na maafisa sheria wa sekta za umma kupewa uwakili bila kuhitimu Astashahada katika...
  8. E

    Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama Kuu yazuia uharibifu wa vifaa vya uchaguzi katika maombi yaliyofunguliwa na wagombea 17 wa ACT Wazalendo majimbo ya Unguja

    Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026. Amri hiyo imesimamisha rasmi mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuharibu vifaa na nyaraka...
  10. Roving Journalist

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  11. ChekoFagia

    Lipumba: Inatisha majaji wa mahakama kuu kwa shinikilizo la CCM wanaeleza Uongo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi...
  12. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama

    Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP) Dar es Salaam, Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
  13. Just Pray

    CHADEMA: Zuio la kufanya shughuli za siasa nchini lilikoma Desemba 10, 2025

    TAARIFA KWA UMMA KUKOMA KWA AMRI YA ZUIO LA MAHAKAMA KUU LA TAREHE 10 JUNI 2025 KWA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KUFANYA SHUGHULI ZA SIASA NCHINI 1. Mnamo tarehe 20 Januari 2026 Jeshi la Polisi katika Wilaya ya Kipolisi ya Mbalizi Mbeya Vijijini liliwavamia viongozi wa Chama cha...
  14. Roving Journalist

    PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  15. W

    Rais Samia atoa pole kufuatia kifo cha Benedicto Mallaba aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Benedicto mallaba kilichotokea Disemba 19, 2025. === Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaungana na Watanzania wote kutoa salamu...
  16. PAYE

    PostGE2025 Mahakama Kuu Pemba kusikiliza kesi ya uchaguzi ya wagombea 8 wa ACT Wazalendo leo Desemba 16

    Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya wasimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Walalamikaji wanadai ukiukwaji wa sheria za...
  17. G

    Serikali kukaa madarakani bila idhini ya wananchi ni UHAINI dhidi yao

    Kwa mujibu wa KATIBA ya Tanzania wananchi Wana mamlaka ya kuamua watu wakuwaweka kwenye mihili ya nchi Ni kosa la kiuhaini na uasi kuchukua mamlaka bila idhini yao Ni ruksa Kwa wananchi kukuondoa kwenye hio nafasi Ili wamweke wanayemtaka Kuupora mamlaka ya wananchi ni uhaini na uasi ambao...
  18. M

    PostGE2025 Watinga Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Tume iliyoteuliwa na Samia kufanya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uhalifu wakati wa Uchaguzi’

    Mawakili wetu na wanaharakati hawajapoa. Wameenda Mahakama Kuu kupinga Tume iliyoteuliwa na Rais Samia kufanya Uchunguzi wa Matukio. Wananchi watatu wakiongozwa na dada Rose Mwakitwange na Mawakili wao wameamua kuingilia kati suala hili. =============== Kesi hii inapinga uamuzi wa Rais kuunda...
  19. R

    PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kudharau amri ya Mahakama kuu kusikilizwa leo Novemba 28

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche tayari wamefika Mahakamani hapo leo, Ijumaa Novemba 28.2025 Ikumbukwe kuwa, Mahakama hiyo leo...
  20. Heparin

    PostGE2025 Lissu aiomba Mahakama Kuu imuunganishe kama mdaiwa kwenye kesi ya Mgawanyo wa Mali za Chama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama. Mhe Lissu anaiomba mahakama aunganishwe...
Back
Top Bottom