magumu

Magumu is ward in South Kinangop Division, Kinangop Constituency in Nyandarua County, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiuhakika nina enjoy sana magumu ya Man City

    min -me Oil money fc a.k.a tuhuma 130 za utapeli anapigwa na villa huko Safi sana.. Ahssante "fraudiola"
  2. Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

    Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana . Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja. Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice. This industry is all about shit.
  3. Ulomi umetuachia mahangahiko na maswali magumu sana

    Kwa mujibu wa familia, Ulomi aliondoka nyumbani tar.11 December 2024 akidai kupigiwa simu na watu wa TRA kwenda kufuatilia kontena lake bandarini. Kwa mujibu wa Muliro siku hiyohiyo tar.11 Ulomi alipata ajali ya pilipiki na kukimbizwa kituo cha afya Makuburi (Ubungo External) kisha hospitali...
  4. Luis Nani - Kutoka Maisha Magumu Hadi Ustaa wa Soka

    Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao isoma hii habari. Kimsingi kila jambo unalopitia haijalishi linaonekana vipi lakini wewe unao...
  5. Kifo cha Ulomi: Taarifa ya Polisi imezua maswali magumu na mabaya. Haya hapa baadhi...

    Naomba nianze na taarifa yenyewe. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kuwa Daisle Simion Ulomi, aliyekuwa ameripotiwa kwamba amepotea, alifariki dunia baada ya kupata ajali mbaya na pikipiki aliyokuwa akiitumia siku ya Desemba 11, 2024. Taarifa hiyo imetolewa leo Desemba...
  6. Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

    Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi wake february akiuliza na kuomba ushauri kuhusu namna ya kukabiliana na hali ya kufikisha miaka 30...
  7. Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

    Aggrey TZ kwa sasa anachukua sana mambo aliyokuwa akiyafanya huko nyuma. Ilifika kipindi nusu awehuke, hapa kati maskini ya Mungu kaumwa sana na ilifika muda ukimsogelea anakufukuza anasema hataki umf...r. e maana yeye sio shoga. Yani kawa mtu wa mapambio 24/7 na mtu wa majuyo sana yani mpaka...
  8. Ila mambo ya kuoa na kuolewa ni magumu mno

    Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto. Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni...
  9. Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

    Wakuu habari za siku nyingi, Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania. Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda muafaka wa kufanya analysis kama yaliyomo yamo au hayamo. Sijigambi kwa lolote or Chochote. Dunia ni...
  10. A

    Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

    Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking...
  11. Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  12. Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  13. Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  14. Wazee wa zamani walikuwa Fighters! Maisha yalikuwa magumu sana

    Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google. Fikiria Dunia bila SIM banking hizi za Tigo pesa , M pesa , Zamani ilikuwa ukikwama ki fedha...
  15. Mnafanikiwa vipi ukitakiwa kuamua maamuzi magumu?

    Wandugu huwa mnakabiliana vipi na hali ya kutakiwa kuamua maamuzi magumu ya kuumiza moyo? Mnafanikiwa vipi kuipita hiyo changamoto?. 🥺🥺 ili uwe sawa kama hapo kabla 😔
  16. Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

    Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao. Kwa kweli wakati...
  17. Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

    Utajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si...
  18. PreGE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

    Wakuu, Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa; Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
  19. Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  20. Mwanaume halisi sharti asulubike: Mwanaume hujifunza na kuimarika kupitia magumu ila Wanawake ni kinyume chake

    Mwanaume halisi hatakiwi kuonewa huruma wala kujionea huruma Kwa sababu Mwanaume makini na mzuri ni yule aliyepitia magumu " the best men suffer". Haipo haja ya kumwambia mwanaume maneno laini kama una nia thabiti ya kumsaidia kuwa bora. Ikumbukwe Mwanaume hujifunza zaidi kupitia ugumu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…