magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Nilijiona ndani ya moyo wa Rais Magufuli

    DAKTARI SLAA;NILIJIONA NDANI YA MOYO WA RAIS MAGUFULI. Hayati Rais Magufuli aliwapenda na kuwapigania watu wa hali ya chini,mfano sasa hivi vitu vinapanda bei na gharama ya kupanda bei haimuumizi tajiri bali mlaji wa mwisho,katika walaji wa mwisho kuna matajiri wachache na masikini wengi,ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa acha uongo, Hayati Dkt. Magufuli hakuwa mwanademokrasia

    Wanajanvi, Kwa waliomsikiliza mzee padre wilbroad sla leo watakubaliana nami kwamba mzee ni muongo kwelikweli. Anasema na kutoa maoni yake mengi ya kumsifia Magufuli. Alisema alikuwa mwana demokrasi! Demokrasia ipi? Alisema alishatoa taarifa juu ya usafirishaji wa madawa ya kulevya akakuta...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia awashangaa wanaosema miradi ya Magufuli haitoendelezwa, adai uwezo wao wa kufikiri ni mdogo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu waliokuwa wakisema miradi iliyaochwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli haitaendelezwa, hawakuwa sahihi kwa sababu Serikali inayoongoza nchi ni ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Rais Samia ameeleza hayo leo Jumatano Machi 23, 2022 wakati akizindua nyumba...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maghorofa Magomeni kumbukumbu inayoishi ya John Pombe Magufuli

    Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio wawakilishi wa wakazi 644 akawa mzalendo katika kutoa shukrani zake. Kasimama mbele ya Rais SSH lakini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Nakala za Vitabu Cha Historia alivyo andaa Magufuli na Ndalichako!

    Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi! Naomba mwenye nacho hata kimoja yuone hiyo Historia moya ilikuwaje!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa vs Hayati Magufuli nani akumbukwe zaidi?

    Japokuwa mikakati ya kiutekelezaji ilitofautiana,viongozi Hawa walikuwa na itikadi zenye maono yanayokaribia kufanana hasa katika kujitegemea,kuondokana na madeni na kutumia fedha zetu za ndani. Hivyo basi tupitie japo kwa uchache mafanikio yao katika kulijenga taifa letu nawe mchangiaji...
  7. JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

    Ajali mbaya maeneo ya Mzumbe maiti ni nyingi. Walioko Mzumbe tujuzeni basi la Mbeya. UPDATE: 1). Basi la kampuni ya Ahmed Coach linalofanya safari Kati ya Tanga kuelekea Mbeya, limepata ajali maeneo ya Sangasanga Mkoani Morogoro muda si Mrefu, chanzo na Habari zingine tutatoa baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mama Janneth Magufuli asante kwa neno hili la hekima na unyenyekevu- Mungu akupe nguvu ya kuubeba msiba huu

    “Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa maandishi lakini umekuja,asante sana umeniheshimu sana Mama” "Tunakuombea Mungu akupe nguvu ya kuendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

    Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili. Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe. Kamwe walami hawawaezi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

    Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua kupitia kwake. Kwa kulinganisha kipindi akiwa hai na baada ya kutuacha, somo hilo ni kutokuogopa...
  11. JamiiForums Tanzania Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  12. JamiiForums Tanzania Tunapoenzi siku ya kifo cha Magufuli tukumbuke Hotuba zake mbalimbali

    Mimi naikumbuka sana hii.
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli atakumbukwa kwa msimamo na maono yake kwa Taifa

    Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli. Magufuli alipigania maslahi ya taifa. Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge) Alikuwa mzalendo kwa taifa lake. Alikubali kuonekana kama mtu asiyefaa ili mradi tu asimamie maslahi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Chato kuwa Mkoa au Magufuli Day kutangazwa rasmi na Rais Samia

    Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato...
  15. JamiiForums Tanzania Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

    Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake. Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM. Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli: Wasiokuwa wazalendo waendelea kuweweseka

    • Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19. • Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi. • Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la...
  17. JamiiForums Tanzania Mjasiriamali Chato: Alipoingia Magufuli hata afya zetu zilibadilika, sasa pesa imekuwa ngumu. Viwanja vyaporomoka bei

    Wakaazi wa Chato wakihojiwa na BBC mwaka mmoja tangu aondoke Magufuli wametoa hisia zao tangu aondoke mpendwa wao mzawa wa Chato ikiwemo sekta ya biashara na maendeleo. Wakazi hao wamelalamikia mzunguko mgumu wa biashara kwasasa Chato huku viwanja navyo vikiporomoka bei kulinganishwa wakati...
  18. JamiiForums Tanzania Tarehe 17 Machi huku wakifanya sherehe za kumbukizi za kifo cha Magufuli, sisi wengine tutafanya sherehe za shukrani kwa uongozi wa Samia Suluhu

    Habari, Ambao tuna jambo letu la shukrani kwa Mungu tukutane Alhamisi hii ya tar 17 Machi, 2022. Mimi nasherehekea mwaka mmoja wa uongozi wa Samia Suluhu maana najua tangu Magufuli afe tarehe 17 Machi 2021 SAMIA SULUHU ndiye kawa kiongozi mpaka sasa. Ninaweza kuorodhesha mazuri ya RAIS SAMIA...
  19. JamiiForums Tanzania Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

    Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu. Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia.. ======== Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

    Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…