Leo 10:15pm 07/05/2022
Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa kuelekea uchumi wa kati wa ngazi ya chini, hii ni hatua moja kutoka katika uchumi wa chini,adhma na...
Rejea kichwa cha habari
Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote...
Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa
Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika.
Akihubiri...
STENDI ya mabasi ya Magufuli iliyopo Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam, imekusanya Sh bilioni 3.4 katika kipindi cha miezi 10 cha mwaka wa fedha 2021-22, zinazotumika kuimarisha miundombinu mbalimbali ya huduma kwenye stendi hiyo.
Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Manispaa ya Ubungo, Joina...
Alizuia Uholela. Uholela wa wafanyabiashara kujiuzia watakavyo baadhi ya vitu. Na ulanguzi. Alifanikiwa kwa kiasi flani. Nakumbuka zamani hata Fuel ambayo walikuwa wakiuza TOTAL ilikuwa bei ya juu kidogo ukilinganisha na wadau wengine.
Total walikuwa wao hawafuati bei Elekezi. Walikuwa na bei...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022
RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi.
“Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
Nimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani
Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa, 'ukinikuna nami nitakukuna, ila ukinikwaruza nitakuparura'
Kwa tafsiri rahisi ni kuwa...
MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI.
Leo 21:30pm 02/05/2022
Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9,huku wafanyikazi kote duniani wakiadhimisha sikukuu ya wafanyakazi,nchini Tanzania...
Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na...
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo.
Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
NANUKUU:
Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
Habari zenu ndugu zangu wa JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa kuandika kile kilichosemwa na ndugu yetu ambae jina lake nimeliambatanisha na kichwa cha habari hapo juu.
Ndugu Zitto amekuwa akiongea ukweli kuhusu viongozi wetu mbalimbali wa kiafrika bila kuangalia chama wala nchi...
Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
Wazee wetu hawa wastaafu katika kumkamata sharubu kambale Mambo hawa kukaa kimya Lakin waliyapata mateso na misukosuko pamoja na kutokaa kimya kwao!
Watanzania uwa wanadhani ni Nchi special saaaana kuzidi zingine hivyo matatizo kadhaaa yayayowakabili wao lawama zinaenda Kwa Viongozi sawa! Ila...
Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi.
Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo:
“Hitaji la Jamii Forums wakati...
Kwema Wakuu!
Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili.
Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
Vita kali ya maneno ya kumkosoa na kumdhihaki Magufuli inayoendelea sasa huenda ni matokeo ya kitendo cha Magufuli kukataa kabisa yeye na utawala wake kukosolewa akiwa hai.
Hichi kinachoendelea ni matunda ya tabia ya Magufuli mwenyewe ya kupenda kusifiwa tu huku akiwadhihaki watangulizi wake...
Moja ya takwa la mtu kuwa kiongozi mzuri ni kufahamu takwimu na kuziheshimu. Kama hili eneo upo mtupu huwezi kuongoza vizuri.
Kwa mfano, Tanzania ni nchi ambayo raia wake wengi hawana umeme. Magufuli alilijua hili. Kwa Africa nchi za kiarabu, karibu asilimia 100 ya wananchi wao wanapata umeme...
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.
CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.
WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.
Hayati JPM hachafuki.
WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
UTANGULIZI
TAFADHALI NAOMBA NISIRUSHIWE MADONGO,MIMI NI MJUMBE TU.HATA HIVYO NIKIRI KWAMBA HILI WAZO NIMELIPENDA, INGAWA MIMI NI MWANA CCM.
NIKIRI KWAMBA BAADA YA MIAKA 61 YA UHURU, BADO CCM INATUPIGISHA WATANZANIA MAKIDA MAKIDA.
KWA BAHATI NZURI MAGUFULI ALIBADILI SYSTEM YA UONGOZI TANZANIA...