magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

    Mafisadi Nchi nzima Yalifurahi sana. Yalifanya sherehe na kushukuru. Hapa nikafunguka macho. Huyu mtu kwa nini alichukiwa na Mafisadi? Hili lilinishtua sana. Nikaanza kujiuliza upya ni wapi nlikosea. Ndiyo....ni wapi nlikosea maana mimi mara ya kwanza sikuwa nakubaliana na mambo kadhaa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

    In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ikiwa bara la Afrika na Tanzania hatutaki kuongozwa na watu kama Magufuli, hatutaendelea kamwe!

    Itakuwa Niko kaburini ambako hakuna fahamu za kuelewa chochote kinachoendelea duniani, na ndio itakuwa mwisho wangu wa kushindwa kuelewa mwelekeo wa kimapinduzi makubwa ya kiuchumi ambayo hayati JPM alikuwa akiyaona huko tukiendako kama Taifa. Ni mjinga pekee ambaye anaweza kupinga mwelekeo...
  4. JamiiForums Tanzania Wamachinga wamkumbuka Magufuli na Antony Mtaka kwenye Ugawaji wa Maeneo Soko jipya la Machinga Dodoma kwa kuwekwa wasiokuwepo na wao kukosa

    Ikiwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya soko jipya la machinga linaendelea, ila limegubikwa na sintofahamu tokana na zoezi hili Kipindi cha awali wamachinga wanaofanya biashara soko la jioni Nyerere square waliandikishwa kwa usimamizi madhubuti wa aliyekuwa mkuu wa mkoa Antony mtaka...
  5. JamiiForums Tanzania TANESCO ya Rais Samia , Iache Uhuni , Watanzania walifunuliwa Macho na Hayati Magufuli!!

    Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 . Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!. Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ...
  6. JamiiForums Tanzania Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

    Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi. Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

    Wana imani na Mwigulu Nchemba
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Mjiandae kufunga mkanda! Rutto sawa na Magufuli

    Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda! Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja na itikadi kama za Magufuli! Kama ni Kinyesi cha Ng'ombe atakuambia hiko ni kinyesi usile na katu...
  9. JamiiForums Tanzania Magufuli: Spika (Ndugai) wadhibiti wanaoropoka Bungeni, wakija mtaani tuta-deal nao! Nafuu wakalale wanyamaze...

    Kama rais anatoa agizo kwa Spika tena muhimili mwingine kuwa awafukuze huko bungeni kwenye kinga ila waje mtaani ili wakisema ata deal nao kwa namna anayoona inafaa hii inamaanisha nini? Kudeal nao kivipi? 1. Bila shaka kutumia polisi kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi zikiwemo uchochezi na...
  10. JamiiForums Tanzania Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

    "Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale" "Sasa wewe...
  11. JamiiForums Tanzania Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015. Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata...
  12. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawia kuwakataa CHADEMA, ni matapeli wa kisiasa

    Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao? Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya. Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa. Hawafai hata...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA __________________________________ Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT, #KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Komredi Kinana afurahishwa na Ujenzi wa Daraja la Magufuli ( Kigongo - Busisi) ambao umefikia 57%, ampongeza Hayati Magufuli

    Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za Ujenzi ambao ni 57% Chanzo: Star tv ---- Na Mwandishi wetu, Mwanza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
  15. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Magufuli kajenga vituo vya afya kila kata, hivi tunavyoambiwa vinajengwa sasa ni vipi?

    Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa. Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama? Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Asante baba, RIP Magufuli

    Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka. Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele. Acha tu niseme ukweli baada ya kusoma sana elimu dunia hasa ya Mashariki hususani China na Japan...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia sasa unaona umuhimu wa kuwa na marafiki wakweli kama Rais Magufuli

    Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao. Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM Na OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  20. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kiafrika, Mzalendo kama Nyerere, Thomas Sankara na Magufuli asingekubali wananchi wao wanyonywe kupitia tozo

    Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi. Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki? Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…