magufuli

  1. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

    == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla, Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Ziara za kushtukiza za Hayati Magufuli

    Mwamba alikua anaibuka tu sehemu na kutimua yeyote ikiwamo Waziri mwenye dhamana. Hakika nimemiss zile moments za taharuki. Aliwahi kumbuka gerez la butimba akakitana na ujinga-ujingabeti Askari jela anadai Mwamba kufika pale NI yeye kuinuliwa
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Magufuli akimtumbua Kangi Lugola, 'kama kuna wizara inanitesa ni wizara ya mambo ya ndani, kusainiwa kwa mikataba ya ajabu ajabu'

    Alhamisi ya Januari 23, 2020 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli alionesha kusikitishwa na kitendo cha waliokuwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa...
  4. JamiiForums Tanzania Magufuli alithubutu JNHEPP, TRUMP kasaini Sheria ya uanzishwaji wa uzalishaji umeme wa makaa ya mawe

    Katika kutetea Uamuzi wake wa Kuitaka Nchi ya Marekan ianze kuzalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, alisema "Kwa Marekani kupuuza matumizi ya Makaa ya Mawe, kulipekea Uchina kutumia Fursa hiyo na kuzalisha Umeme Kwa gharama ndogo na kufanya Nchi hiyo iwe na viwanda vingii na kuisaidia Uchina...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kwenda kubeba Zege hostel za Magufuli. Moto Uliwaka

    SIKU YA KWANZA KWENDA KUBEBA ZEGE HOSTEL ZA MAGUFULI. MOTO ULIWAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nipo zangu likizo wakati nasoma, basi Taikon nikaenda Tandale kwa Mshikaji wangu, Classmate. Ilikuwa jumapili hivi, mfukoni Niko na pesa za Serikali, Bumu zinanisumbua. Baada ya kuonana naye...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Benson: Kwa wema au kwa ubaya, tusimsahau Magufuli

    Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo kilivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa wema au ubaya, tusimsahau Magufuli

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook: Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita na Danis Mpagaze

    Kumbukizi ya Magufuli: Nami Niseme Mambo Sita! Denis Mpagaze _________________________ Ni mwaka wa nne sasa Mzee John Pombe Magufuli amelala! Namisi sana ziara zake, hotuba zake, utani wake, ukali wake, Kiswahili chake na ucheshi wake! Magufuli aliongozwa na mambo sita! Nimeyaita Umagufuli...
  9. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli: Katika safari yake ya uongozi Magufuli alijifunza kwa Hayati Nyerere, Mkapa na Ally Hassan Mwinyi. lipo lakujifunza hapa

    Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu ya hotuba yake nanukuu "katika safari yake ya uongozi ALIJIFUNZA toka kwa viongozi waliomtangulia...
  10. JamiiForums Tanzania Ujio wa Mapinduzi ya Viwanda vya Giza

    Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nukuu za John Joseph magufuli

    Jpm mwaka 5 umewanyoosha na kazi umeifanya kwa moyo wote ,ulitanguliza jina Tanzania
  12. JamiiForums Tanzania Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

    Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo 1. Aliharibu upande wa diplomasia Magufuli ndo aliwaita wawekezaji...
  13. JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

    Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea. Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ; 1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma 2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani)...
  14. JamiiForums Tanzania Jana nimepita daraja la wami nimekiri maono ya Hayati Magufuli na ajali za mara kwa mara pale darajani!

    Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
  15. JamiiForums Tanzania Familia ya hayati magufuli iliamua kukaa kimya wakati magufuli anatukanwa ila umma wa watanzania ulisimama kumtetea

    Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake. Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama. Miaka hii minne yaliibuka...
  16. JamiiForums Tanzania JE MAGUFULI<=>kama<=> NYERERE( Njoo tumuunde Rais kwa mfano wetu)

    Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu. Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango. Kuna kufanya vizuri na kuna kuweka viwango(set standards) unakua mfano kwa wakufuatao./igwa Kwa mtazamo...
  17. JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  18. JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa anajifanya serikali yake ya viwanda lakini wajenga viwanda akawafukuza na kuwafilisi. Samia kajenga viwanda 30k ila takwimu zinagoma

    Ma TV, redio na magazeti muda wote, usiku na mchana kipindi cha Magufuli yalikuwa yakimwaga sifa kuwa serikali ya Magufuli ni ya viwanda. Matakwimu ya uongo kutoka wilayani, mikoani yalikuwa yakipikwa na kupelekwa NBS. Kwa muda mfupi tu tukaambiwa viwanda vya Magufuli vimeajiri vijana million 2...
  19. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

    Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako. Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma. Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…