magufuli

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Dkt. Magufuli

    Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi. Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Kitaifa la Kiongozi wa Dini kuombea Uchaguzi kufanyika 24/08/2020, mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli

    Shehe wa mkoa wa DSM Alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

    Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017. Akihutubia umati wa wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa hiyo Mgombea wa CCM kwenye kampeni atakuwa akiongelea Madaraja tu? Kwake yeye Uhuru wa Raia si agenda

    CCM ina mgombea dhaifu mno, nguvu yake huwa ni kukanyaga wengine wasiongee aongee yeye tu.. 2015 alikutana na mgombea bubu Mwaka huu anakutana na mgombea bora kabisa, msomi kamilifu wa Sheria na mjuzi kamilifu wa historia ya nchi yetu na dunia Sasa mgombea wa CCM anajua Madaraja tu na...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya mbinu hii, Uchaguzi wa 2020 tulidhani Magufuli atapita bila kupingwa

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila chombo cha habari kilihakikisha kinatangaza sifa za mfalme, kuna TV zimediliki hata kuacha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
  7. JamiiForums Tanzania Ni mwendo wa kimya kimya tu, ataelewa tu moto aliokuja nao umepoa, alijua Magufuli ni mshamba ameanza kuonja joto la nyungu

    Alikuja kwa mbwembwe bashasha na vitisho akaona kuwa mbinu za zamani za kamata kamata zitatumika hakujua kuwa Urais ni Taasisi inayobadilika badilika kama kinyonga Alipokuja alikuwa na tambo za kila aina mbwembwe bashasha vitisho alivyochomekewa na mabeberu Taasisi iliamua kutopambana na...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

    Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi. Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
  10. JamiiForums Tanzania Utendaji wa Rais Magufuli angevishwa Kikwete angekuwa Rais mzuri mno kuwahi kutokea Afrika

    Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana. Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake. Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

    Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania. Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani. Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play...
  12. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti na Rais wangu Magufuli lazima 'asemwe binafsi' kwakuwa 'aliongoza binafsi'. Lissu na wengineo wako sahihi katika kumtajataja

    Kuanzia kwenye Kampeni zake mwaka 2015, Dr. Magufuli alijipambanua kuwa ataongoza Serikali ya Magufuli na si Serikali ya CCM. Na akayasimamia maneno yake ya kwenye kampeni, baada ya ushindi wake, kwa maneno na vitendo. Aliita Serikali ni ya Magufuli na si vingine. Mbunge Mstaafu wa Kilwa Kusini...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli na Tundu Lissu wote ni Wakatoliki wazuri. Je, Kanisa halioni umuhimu wa kuwapatanisha?

    Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana. Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa anayependwa sana kwa sasa. Wote hawa ni Wakatoliki wazuri sana na wanaoijua imani yao vema. Kwasababu ambazo...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Hii inathibitisha CHADEMA inataka madaraka ili ile nchi, inathibitisha nia yao ya madaraka ni pesa kwao sio kwa wananchi, hawajali hata kujenga ofisi kuu ya chama, watajali vipi kujenga nchi yetu. Tazama video hii ya mwana CHADEMA anavyochambua chama chake, sio mwana CCM ila CHADEMA.
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli apite bila kupingwa

    Ukweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko maneno watanzania wanavutiwa nae WATANZANIA, BILA KUJALI VYAMA VYETU MAGUFULI TUMUACHE APITE BILA...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na dhana ya "Maendeleo Hayana Vyama": Tafiti zinatueleza nini?

    Tangia aingie madarakani November 2015, Rais John Magufuli amekuwa akinukuliwa mara kwa mara akitamka kwamba “Maendeleo hayana Vyama”. Kauli hii imeendelea kuleta mjadala mkubwa katika siasa za nchi. Lengo letu leo ni kudadisi kwa undani kupata ukweli juu ya suala hili. Ili kufikia lengo letu...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Tafakuri: Je, ni kwanini CCM inatumia nguvu kubwa kumnadi Dkt. Magufuli?

    Wasalaam, Nimetafakari na kushangaa kwa ni nini chama dola chama pendwa CCM kinatumia nguvu nyingi ikiwamo vitisho kumnadi magufuli ili hali Mh kaleta maendeleo kama flyover, mabarabara na hospitali? Tumeshudia CCM ikiandaa tamasha kubwa na kulipa wasanii zaidi ya mia2 ili kuwatumia katika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Tulinganishe sera za Magufuli, Lissu na Membe

    TULINGANISHE SERA ZA MAGUFULI, LISU NA MEMBE: Tukielekea kwenye uchaguzi tumeanza kuona washabiki wakibezana na kuhoji sera za washindani wao. Wapo waliomwambia Lisu kuwa yeye ni kutukana tuu hana hoja. Kuna waliosema Magufuli anatumia vitisho na kulazimisha watanzania wampende. Na mwisho kuna...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msitumie CORONA kama moja ya ajenda ya kwenda Ikulu. Someni alama za nyakati. Kwa hoja ya CORONA Magufuli ni Shujaa kwa Watanzania walio wengi

    Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu. Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…