magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku Rais Magufuli alipoahidi kuendeleza na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya

    Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli kwa sababu enzi za "mitishamba" afya za Watanzania zilikuwa imara!

    Anachokisema Rais Magufuli ni kwamba Watanzania tusipaparikie chanjo bali tuimarishe kinga zetu kwa kutumia tiba na njia za asili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu. Nijuavyo mimi kitengo cha utafiti wa tiba za asili kimekuwepo tangu 1971 kabla hata ya hii NIMR iliyoasisiwa miaka ya 1980s na dawa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za Corona: Bupeji na Covido za Magufuli zinapatikana wapi?

    Mabibi na mabwana kwa mujibu wa Rais wetu mpendwa Dr. Magufuli dawa za Corona hazipo huko nje tu. Amenukuliwa Dr. Magufuli akisema, "Tanzania ina dawa nyingi za kutibu Corona." Ameendelea zaidi kwa kusema, "katika dawa hizo tuna Covido na Bupeji ambazo zina uwezo wa kutibu Corona kwa kiwango...
  4. JamiiForums Tanzania Hanje amuomba Rais Magufuli kuzifuta kesi za uchaguzi mkuu 2020

    Mbunge wa viti maalum, Nusrat Hanje amemuomba Rais John Magufuli kuzifuta kesi zote zinazohusu uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2020 ili wananchi wafanye shughuli za kuijenga nchi. Hanje ni miongoni mwa wanawake 19 waliovuliwa Uanachama wa Chadema baada ya kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum bila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukimjulia Rais Magufuli utajua kwanini lazima Upinzani utoweke nchini

    Wadau, wengi wanauliza ni kwa nini Rais Magufuli anachukia Upinzani kiasi cha kufanikisha Bunge kugeuka kuwa Halmashauri Kuu ya CCM, NEC. Ukweli ni kwamba Magufuli si rafiki na watu weupe na product yoyote inayotoka huko. Mengine anakubali tu kwa kuwa hakuna alternative. Lakini angetamani kila...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

    Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho. Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli shujaa wa Kiswahili hakuna ubishi

    Sitaki kuongea mengi ila toka ameingia 2015 mpaka kufikia hotuba yake ya jana ni dhahiri huyu mzee amekuza Kiswahili sana. Nimependa sana anavyojiamini, hata akiwa na mgeni badala ya kuwa mtumwa wa lugha amekuwa shujaa wetu. Tumpongeze kwa hilo tafadhali. Zamani, Watanzania wengi walifichwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Jaji wa Mahakama Kuu wa Kanda ya Musoma, Zephrine Galeba alietuliwa kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufaa kutokana na kuandika Kiswahili katika moja ya hukumu alizowahi kuzitoa. Leo Rais Magufuli anamuapisha rasmi Dodoma, kuwa nami kukujuza yanayojiri. === 10:22 Asubuhi: Jaji Galeba anatia saini...
  9. JamiiForums Tanzania Je, huu ni wakati sahihi wa Rais Magufuli kufunga balozi za mabeberu, tubaki na balozi tu ambazo sio za kibeberu?

    Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia. Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia. Shirika kubwa la afya la...
  10. JamiiForums Tanzania Kivuli cha Rais Magufuli kitalitesa taifa na kitamtesa Rais ajaye

    Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kitu ambacho Membe hatokaa amsamehe Rais Magufuli maishani!

    Nawasalimu wanabodi. Mwaka 2015 Mwanadiplomasia mahiri na kachero mbobezi Bernard Membe alijaribu kuusaka Urais kupitia CCM lakini akakatwa jina lake hatua za mwisho. Macho na masikio ya wengi yalikuwa ni kwa Edward Lowassa na Membe lakini ngekewa ikamdondokea John Magufuli ambaye sasa ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli naomba abadilike amalizie awe hivi

    Sina haja ya kuzungumzia utendaji kazi wa Dkt. Magufuli kwani si Tanzania au Afrika tu, ni dunia nzima, leo kuanzia Latino mpaka Asia na kutoka Yulopa mpaka Amerika wote wanajua kuwa Afrika na hususani Tanzania kuna kisiki cha mpingo. Ndugu zangu wanajamvi inawezekana vijana wadogo wasinielewe...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Magufuli hajui Kiingereza leo amewasuta

    “Nilipoingia madarakani nikaanza kutoa hotuba kwa Kiswahili, niliambiwa sijui Kiingereza wala sikujali, UDSM nimekaa miaka mitatu nikisoma masomo yangu ya Sayansi, Chemistry na Mathematics zote zinaandikwa kwa Kiingereza, lakini Mtu akasema sijui Kiingereza”-JPM kwenye Siku ya Sheria Dodoma leo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unatawala taifa lisilo na haki, leo ulipaswa kuondoa mfumo kandamizi unaonyima haki wanyonge

    Leo Rais wetu wa JMT amehudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 100 ya mahakama kuu hapa nchini. Kauli mbiu ya kudhimisha miaka 100 ni kujenga nchi inayozingatia haki, udugu na amani katika kuleta ustawi wa jamii. Mimi binafsi nilitarajia kama mkuu wa nchi ulienda kwenye haya maadhimisho, je...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amkumbusha Rais Magufuli kiporo cha Katiba Mpya alipomkaribisha kusalimia. Jaji Mutungi amjibu

    Kwanza sielewi kiitifaki imekaaje pale mteule wa Rais anapoamua kujibu kwa niaba ya Rais pasipo kuagizwa tena Rais mwenyewe akiwepo mahali hapo. Pili, Prof Lipumba alitoa ombi/ kumbusho na siyo swali kwamba ikimpendeza Rais Magufuli atuachie katiba mpya. Tatu, Jaji Mutungi amemtaka Prof...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Rais Magufuli amefurahishwa na kitendo cha Jaji wa mkoa wa Mara mhe. Jaji Galeba kwa kuandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili badala ya Kiingereza kama ilivyozoeleka. Na kwa maana hiyo Rais Magufuli amemteua Jaji Galeba kuwa Jaji wa mahakama ya Rufaa kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama! FUNGUA...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 100 ya mahakama kuu

    Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini. Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza. Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia. Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19 Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli angekuwa ni Rais wa mojawapo ya Nchi Wahisani, angetoa misaada kwa nchi zinazoendelea?

    Ukweli ni kwamba, nchi zetu hizi zinazoendelea, hasa hizi za Afrika, hazipigi hatua kubwa kimaendeleo na kuondokana na umasikini kutokana na mambo kama rushwa, ubinafsi wa viongozi, kukosekana kwa utawala bora, demokrasia,katiba mbovu,vipaumbele vibovu, n.k. huku chanzo kikuu kikiwa ni nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula. Rais Magufuli ametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…