Haiwezekani Dar yote kuwe na bus stand bubu kila kona, usafirishaji wa biashara haramu za Binadamu, Madawa ya kukevya , , foleni katikati ya mji, mapato ya Serikali , huku tukiacha Stendi ya Magufuli iliyojengwa kwa mabilioni ya pesa.
Wanaotaka kusafiri kwa mabasi watakwenda Magufuli Bus Terminal,