Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi...
Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha.
Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa kauli kadhaa kuhusu matukio ya uhalifu kama yalivyoripotiwa na Wananchi mbalimbali kupitia JamiiForums.com akisema kuwa “Mzee wa Show Show nipo hapa, nimelichukua na kila Mtu alinde Mwanaye ambaye ni Kibaka, asije kulaumu kuanzia sasa”...
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.
Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.
Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.
Tunafuatilia.
Kupitia mtandao wa X/Twitter, Russia imewaomba Marekani kuacha ubabe wao wa kukamata meli, pia Russia imewaomba Marekani kuwatendea vyema raia wa Russia waliotekekwa pamoja na meli iliyokuwa ikitokea Venezuela.
Hivi Russia ndio watu wa kulia lia hivi mitandaoni!?
Putin ampe nchi Medvedev...
Kwa akili zao kabisa wanaamini wanaweza pambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Madikteta hatari zaidi duniani kama Adolf Hitler wa Ujerumani na Fujimori wa Chile na kuwashinda.
Wanaamini kabisa wanaweza kupambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Dikteta katili zaidi wa...
Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka.
Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
Sijui namwonaje huyu beki hatari wa Liverpool Ibrahim Konate. Yuko kishambashamba tu. Sura yake haileweki sijui ana huzunika ama analia.
Jana kwenye UEFA aliifungia Liverpool goli kali la kichwa kwenye mpira wa Kona na kushangilia kwa kuseleleka na magoti.
Inaonekana aliipania sana kushangilia...
DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo.
2. Sijui historia...
Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma!
Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo...
Anaandika kwenye ukurasa wa X dakika kadhaa zilizopita huko
Anasema hivi
Scenarios za washauri wa kizimkazi:
1. Lissu afungwe alafu atolewe kwa msahama wa Rais - lengo akose sifa ya kugombea Urais.
2. Amekuwa offered kuachiwa kwa sharti aondoke nchini. Simba kakataa, hafanyi biashara...
Inaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.
Mtiania wa Udiwani kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Maganga Maige akiwaomba kura wajumbe wa mkutano mkuu Kata ya Zingiziwa. Watia nia wa ubunge na udiwani leo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanapita katika kata mbalimbali kuomba kura.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.
Akizungumza nje ya Mahakama...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote
Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
Wakuu nimekutana na taarifa mdau mmoja amechapisha picha ya mtu akiwa amempigia magoti aliyekuwa Rais wa Zambia , Edgar Lungu kuwa alikuwa ni hakainde Hichelema.
Naelewa na najua watanzania wengi wanaumia na Wana maswali mengi ya haya yanayoendelea..je ni sababu ya ulafi wa Madaraka ama Kuna kingine? Ila kwa tafakuri niliyofanya nimekuja na majibu haya
Usicheze na maslahi ya kifisadi ya kikundi Cha watu kadhaa , ...utekaji/mauaji yanatokeaje?
Pale...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .
Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea
Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.