magenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    CCM imebaki kuwa kapu la magenge hatari

    Magenge ya vita vya madaraka Magenge ya kazi chafu Magenge ya kuteka Magenge ya kuua Magenge ya kutakatisha pesa Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika Magenge ya upigaji pesa kwenye miradi ya kubuni nknk Hii sio tena ile ccm ya wakulima na wafanyakazi.. Hii sio tena ile ccm ya ujamaa...
  2. B

    Magenge yaliyopotoka kama haya yalistahili udhibiti wa kila mtanzania na hasa walio wazalendo na bila kujali vyama!

    Clip hii inajieleza wazi: Uhayawani gani huu? Kwamba ni kwa niaba ya nani hii? Tushirikiane kuwadhibiti wahuni.
  3. R

    Magenge ya kiuhalifu yadhibiti Mji Mkuu wa Haiti

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa magenge ya kihalifu yamedhibiti karibu mji mzima wa Port-au-Prince, mji mkuu wa Haiti. Takriban asilimia 90 ya jiji hilo sasa liko mikononi mwa magenge, huku ghasia zikienea hadi maeneo yaliyokuwa na utulivu awali. Serikali ya Haiti imeshindwa kudhibiti hali hiyo...
  4. Fbn

    Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Bashungwa: Adui wa Taifa Karne ya 21 siyo lazima aje na Vifaru, huja kwa njia za Kuvuruga Amani kwa Magenge ya Wanaharakati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kushikamana na kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje, akisisitiza kuwa adui wa Taifa katika karne ya 21 si lazima atumie vifaru bali anaweza kutumia njia nyingine zenye madhara makubwa kwa jamii. Akizungumza...
  6. Fbn

    Kuna tetesi kuwa CCM na magenge yao yanatafuta njia kuzibiti habari na video za gwajima na wengine wasisambaze.

    Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
  7. R

    Video: Arusha imekuwa kama Mexico, kuna vita inaendelea ya Cartels / Magenge ya mirungi wanaporana magunia mchana kwa pikipiki na mapanga

    Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei. Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea kutoelewana ama kuna wageni wanataka kuingia kwenye soko bila kufuata utaratibu huwa kuna kutunishiana misuli...
  8. N

    DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  9. M

    KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  10. Tlaatlaah

    Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

    hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
  11. Kaka yake shetani

    hivi ni vituo ambavyo vina magenge ya CCM kimkakati kulinda watawala

    Katika maisha ya utafutaji na msafiri pia mtoto wa mjini kino ila tuseme ukweli ujui leo ni nani wala kesho ni humu jamiiforum na wafanyakazi wake. Vituo ambavyo nimevitaja sana kwenye kushiriki mada ni kuto cha Osterbay na ndio sehemu ya kikosi kazi maskani yao ambao wamepewa mamlaka ya kwenda...
  12. G

    Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  13. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu ya Kenya yaizuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti

    Mahakama Kuu ya Kenya imezuia Serikali kupeleka Askari kupambana na magenge Nchini Haiti Mahakama imeeleza kuwa hatua ya kupeleka Askari Polisi ni kinyume cha Sheria kwa vile Baraza la Usalama la Kitaifa halina mamlaka ya kisheria ya kutuma Polisi nje ya Kenya bali linaweza kupeleka Wanajeshi...
  14. Brain Kingdom

    Kuna baadhi ya Nchi za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola

    Wasalaam nyote, Kwa ufupi ifahamike hivyo ya kwamba kuna Nchi nyingi tu za Kiafrika zina Majambazi na Magenge ya Dola badala ya vyombo vya Dola. Kwa msingi huo usitarajie miujiza ya hivyo vyombo kufanya kazi kwa ustawi wa jamii zao na nchi zao. Ni hayo tu. Shukrani 🙏🙏🙏 Wadiz
  15. MGOGOHALISI

    CCM na Magenge Yenu Msitupotoshe: Uwekezaji Sio Siasa

    Moja kwa moja kwenye mada. Ulipoanza mjadala kuhusu bandari waliopinga mkataba tuliambiwa wanapotosha. Mjadala haukuishia hapo wapingaji wakazidi kupata nguvu. CCM nao wakaanza ziara nchi nzima kutoa elimu kua mkataba hauna tatizo. Ajabu zaidi wakaanza kitudanganya waziwazi kuwa ule sio mkataba...
  16. M

    Feisal achana na magenge ya wahuni utapotezwa kwenye ramani ya soka, rudi njia kuu

    Kwa akili tu ya kawaida hii kesi ya Feisal ilikuwa wazi sana ata kwa mtu asiyejua sheria na miongozo ya Fifa kwenye mikataba ya wachezaji angeweza kuiamua bila shida. Ni kichekesho sana unaingia mkataba kulipwa shingi 100 na unasaini mkataba alafu baada ya muda unamuona mwenzako analipwa shingi...
  17. B

    Magenge ya Radio FM (leo naanza na Radio Wachafu na Radio Mbinguni)

    Nasikitika kusema kuwa hizi radio zina magenge ya hao eti wanaitwa watangazaji , lakini kinachochoendelea huko ni kichefuchefu tupu. Asubuhi tu wakishaamka na kufika kwenye hayo magenge yao , utaskia 'Aloo vipi wewe ? umeoga kweli wewe ? Leo umelala wapi ? mbona unaonekana umechooooka sana ? au...
  18. JanguKamaJangu

    Nigeria kuiwekea vikwazo BBC kwa kuonesha filamu ya magenge ya uhalifu

    Serikali ya Nigeria imetishia kuweka vikwazo kwa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na Trust TV kwa kile walichodai kutukuza ugaidi kutokana na kuonesha filamu kuhusu wababe wa kivita wa magenge ya uhalifu Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo. BBC Africa ilifanya mahojiano na wahalifu wa...
  19. Lady Whistledown

    Umoja wa Mataifa waonya watoto kuajiriwa katika magenge ya kihalifu nchini Haiti

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto kwa kuajiriwa na magenge ya kihalifu, huku ghasia zinazoongezeka katika mji mkuu wa #Port-au-Prince, zikisabisha vifo vya makumi ya raia na zikiwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao - Naibu msemaji wa Umoja wa...
  20. beth

    Ecuador yatangaza hali ya dharura kutokana na uhalifu wa magenge

    Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na magenge Rais Lasso amesema amri ya kutotoka nje itawekwa na maelfu ya Wanajeshi na Maafisa wa...
Back
Top Bottom