magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi ya kwanza wapinzani kuwa magaidi

    Sijui wanaelewaa neno ugaidi na hatari za kisiasa. Leo nilitaka kueleza maana input politics na out politics achana na diplomatic. Kwa mambo yanayofanywa ndani ya siasa za CCM zinaweza kuifanya out politics kuwa tuna vilaza kuanzia sheria,wataalamu wa serikali idara zote. Kuna jambo...
  2. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas waangamizwa huko Gaza!!!

    Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel
  3. R

    JamiiForums Tanzania From the Chief Conforter: Nilitegemea reconciliatory tone, kumbe wapinzani, wanaharakati ni Magaidi? The worst is still to come

    Kwa hali tuliyonayo na international outlook on us, wenye akili timamu tulitegemea kupata hakikisho kuwa maridhiano yako njiani. Kwa kauli ya kuwaita wapinzania na wanaharakati magaidi, tujiandae kwa mauti makubwa mbele yetu! Yaliyotokea 29.10.2025 ni cha mtoto kwa tone kama hii ya kuwaita...
  4. JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  5. JamiiForums Tanzania Hawa ndo magaidi

    Waliomteka Humphrey Polepole. Waliombambikia Tundu Lissu kesi ya kizushi. Watu wasiojulikana. Walioua Watanzania Oktoba 29. Wanaokiuka katiba na kuiita ‘kijitabu’. Wanaodai kuwa mauaji ya Oktoba 29 ni kazi ya kutukuka. Shehe Mwaipopo. Samia Suluhu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maridhiano hadi Vitisho vya Ugaidi: Tunalaani upotoshaji wa Rais Samia wa kubatiza Wapigania Haki jina la 'Magaidi'

    Wana-JamiiForums, Leo tarehe 9 Julai 2026, tumeshuhudia kile kinachoitwa 'Tamko la Pamoja la Maridhiano' kati ya CCM na ACT-Wazalendo huko Zanzibar. Wakati viongozi wakitabasamu mbele ya kamera, hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan imeacha maswali mazito na simanzi kubwa kwa mtu yeyote...
  7. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akisingiziwa na kushitakiwa kwa kufadhili Magaidi wa kuua Wakristo, nani atamtetea?

    Wote tunajua Marekani jinsi ilivyo mstari wa mbele kupambana nna Magaidi pale wanapojitokeza Nchi yoyote. Kwa yanayoendelea Nchini Tanzania, hivi Samia Suluhu akishitakiwa kwa kufadhili Magaidi, na Vikosi vya kuua Wakristo, nani atamtetea? Sasa hivi kwenye Misikiti Watu wanafundishwa Judo...
  8. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanapukutishwa kama nzige huko Lebanon na Majeshi ya Israel!!!

    Picha inayoeleza ukweli wa "ushindi" wa Majeshi ya Israel kwa kuua mamia ya magaidi wa Hezbollah angalia hapo- malori yaliyobeba Mizoga ya magaidi wa Hezbollah kwenda kuizika. Hii ni kazi nzuri ya IDF. Jeshi la Israeli linatetea nchi pekee ya Kiyahudi iliyowahi kuwa na itakayowahi kuwa. Kazi...
  9. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuyakabili na kuyadhibiti watu wabaya wanaopanga kujificha kwenye maandamano haramu siku zijazo

    Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini. Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
  10. JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe refa wa kisomalia alikuwa na connections na magaidi

  12. JamiiForums Tanzania Pamoja na Tishio la Iran kwa Israel isiipige Hezboullah magaidi hao wanapigika tu!!

    Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!! Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kundi la Hezbollah ladaiwa kuanza mashambulizi dhidi ya kambi za jeshi la Israel baada ya Iran kusitisha mapigano

    Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya Israel, hatua iliyoongeza hofu ya kuendelea kwa mvutano katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Houth waingia vitani rasmi na Israel

    Msemaji wa Houthi wa Yemen, Yahya Saree: Tunatangaza marufuku kamili na kamili ya urambazaji wa baharini wa Israeli katika Bahari Nyekundu, na tunaona harakati zote za adui kuwa malengo halali ya kijeshi kwa Vikosi vyetu vya Jeshi kuanzia wakati taarifa hii tutaanza kuishambulia israel.
  15. JamiiForums Tanzania Tishio la Iran lagonga Mwamba IDF yaendelea na kipondo kwa Magaidi wa Hezbollah huko Lebanon

    Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: ● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir al-Zahrani, Choukin, Haris, Kafra, Srifa, Kfar Tebnit, Nabatieh al-Fawqa, Tebnine, Jebchit, Doueir...
  16. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Magaidi 600 wa Hezbollah waangamizwa na Israel huko Lebanon-Kusini!!!

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema Jumatatu kuwa Israel itaongeza nguvu ya mashambulizi yake nchini Lebanon ili “kuisambaratisha” Hezbollah. Katika ujumbe wa video uliorekodiwa, Netanyahu amesema kuwa Israel ipo vitani dhidi ya Hezbollah na kwamba katika wiki za hivi karibuni...
  17. JamiiForums Tanzania IDF bado inawapelekea moto makali magaidi wa Hezbollah huko Lebanon!!!

    Magaidi wa Hezbollah bado wanapata kipondo ki Takatifu kutoka majeshi hodari ya Israel!!!
  18. JamiiForums Tanzania Mpango wa Amani na Iran huenda Israel ikasimama Kivyake

    Baada ya Trump kutangaza kuwa wako karibu kufikia Muafaka na Magaidi ya Serikali ya Mapinduzi ya Iran, Israel kuna uwezekano mkubwa wakashindwa kukubaliana na makubaliano dhaifu yanayokwenda kutiwa saini na Trump na magaidi hao wa Iran. Mpaka asubuhi hii hakuna tamko rasmi kutoka serikali ya...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe Kutekwa na Genge la Wazanzibari, Wamarekani Walikuwa Sahihi Kuogopa Zanzibar Ikiachwa Itakuwa Nyumba Ya Magaidi

    Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
  20. JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya pamoja kati ya majeshi ya Nigeria na United States yameua wapiganaji 175 wa kundi la Islamic State

    Mashambulizi ya pamoja kati ya majeshi ya Nigeria na United States yameua wapiganaji 175 wa kundi la Islamic State, kwa mujibu wa taarifa ya majeshi ya nchi hizo iliyotolewa Jumanne. Mashambulizi hayo ya anga yaliyofanyika katika siku chache zilizopita kaskazini mashariki mwa Nigeria, pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…