mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa msimamo ujenzi bomba la mafuta la EACOP

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chomgoleani Tanga, kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitaalamu. Waziri wa Nishati, January...
  3. JamiiForums Tanzania Ujerumani yataifisha vinu vya mafuta vya Urusi

    Hamna namna....imebidi The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to its economy from the European Union's embargo on Russian oil. The embargo is set to go into effect on...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  6. JamiiForums Tanzania Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

    Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa. Kutokana na mipango ya nchi za maghararibi nchi za Uganda na Tanzania haziruhusiwi kuendeleza miradi...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

    Salaam Wakuu, Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira. Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani...
  8. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Mfumuko wa bei utashuka na bidhaa zitashuka. Asema mafuta yalipandisha bei

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400. Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yafuta Ruzuku ya Mafuta, bei yapanda zaidi

    Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77 Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una ndugu yako anahitaji Kazi/Ajira sheli kuuza mafuta Mdada au Mmama mjuze habari hii

    Kuna nafasi ya Mwanamke/Mdada Sheli Kama unamjua Mtu anayejiheshimu ,smart na yupo tiyari kufanya Kazi mpe habari Unakuja PM Mshahara unajulikana Update Wamepatikana watu tyari so nafanya nao mazungumzo ili waweze kufika kazini Kama watapendezwa na salary
  11. JamiiForums Tanzania ⛽Hivi Ushawahi kuazima gari au umenunua gari halafu hujui pa kuwekea mafuta [fuel tank cap] ni upande gani?

    Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi. . Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
  12. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yaendelea kuporomoka kwenye soko la dunia

    Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini. --- An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwaonya vijana wanunue magari yanayotumia mafuta kidogo hawakutusikia

    Yaani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo. Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na...
  14. JamiiForums Tanzania EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa yashuka

    Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Septemba 5, 2022 na Mkurungenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato bei za mafuta zimeonekana kupungua baada ya kupanda mfululizo kwa miezi mitano kuanzia Aprili mwaka huu. Hadi leo katika mkoa wa Dar es Salaam bei ya petroli inaonesha inauzwa kwa Sh3, 410 kwa lita...
  15. JamiiForums Tanzania Sababu za bei elekezi ya mafuta kwa mwezi Septemba kuchelewa

    Mpaka leo bei elekezi ya mafuta mwezi Septemba haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu Zoezi la kuongeza sifuri limekua gumu kwa sababu bei ya mafuta Duniani imeshuka sasa utaongezaje mafuta hapa kunawaweka Serikali katika wakati mgumu kwa sababu kupandisha bei ni kuwadanganya Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Hata $ ilipanda kama mafuta na haikushuka mpaka kesho! Mafuta sokoni ni 1,375

    Petroli - Bei soko la dunia ni Sh1,375 kwa lita. Gharama ya uagizaji ni Sh.89 kwa lita. Hivyo, gharama mafuta kufika bandari ya DSM ni sh. 1,464. Lakini lita 1 petroli tunanunua sh. 3,600 vituo vya mafuta. Mteja analipa sh. 2,136 tozo za serikali. Tozo ni zaidi ya nusu ya bei ya bidhaa!
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania tuombeni Mungu, OPEC huenda wakasitisha uzalishaji wa mafuta mwezi huu

    Opec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake. Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni. Ndugu zangu Watanzania tumwombe...
  18. JamiiForums Tanzania Niandae bajeti ya mafuta kiasi gani kwenda Singida?

    Wakuu mambo vipi? Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi. Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi niandae bajeti ya mafuta kiasi gani? Gari ni Toyota Mark II grande engine beams 2000, cc 1990 au...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta itashuka zaidi

    Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma. Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei...
  20. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa mafuta na tozo kumepunguza mishara ya watumishi.

    Tayari mishahara imeshakatwa Kodi ya mapato (PAYE), hata hivyo unapokwenda kuuchua kwenye Benki ulikowekwa na mwajili wako unakatwa Kodi/tozo tena. Hili ni laana kubwa kwa watumishi wetu. Kama wanataka hivyo ni heri mshahara utolewe dirishani kama zamani ili mtumishi awe na hiyari ya kuuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…