maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. yard ya magari inayoungua Moto toka usiku maeneo ya viwanja vya sabasaba kilwa road

    Hivi mpaka magari yanashika Moto Kiasi kikubwa chanzo kinaweza kuwa nini.Tumepita saa nne hapo dereva daladala anasema Moto umeanza saa tisa usiku.
  2. MWAUWASA: Maeneo ya Milimani Mwanza hukumbwa na upungufu wa maji kutokana na msukumo mdogo

    Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
  3. Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

    Kwako Afisa Elimu Ilala, Poleni na majukumu ya kila siku. Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo. Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni...
  4. S

    TANROADS, hii imetokea India lakini kuna siku nimepita maeneo ya Ruaha barabara ya kwenda Iringa nikaona kitu kama hiki ni rahisi sana kutokea pale!

    TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
  5. Uwepo wa kanisa la Mwamposa karibu na maeneo yetu..kwa kweli tunalala kwa amani, wachawi waganga wanaumwa.wengine wamehama kabisa

    Kwa kweli Nitoe shukrani kwa aliewapa kibali kanisa la calvary assemblies of god arise n shine kujenga eneo lile Kiukweli wakazi wa eneo hili kama walikuwa wanasubiria kwa hamu hizi ibada Yaan toka waanze ibada kanisa jipya kwa kweli kuna waganga wametesa wengi sana eneo la kawe Hivi...
  6. M

    Ni maeneo gani mazuri Kwa wageni kutembelea jijini dar?

    Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma. Je nitembelee maeneo yapi na niandae bajeti ipi? Ningependa kukaa wiki nzima
  7. Ndio meli ipite salama maeneo ya Houthi, lazima itangaze kwamba kila mhudumu humo ni Muislamu

    Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu. Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa. ============================= 'All Crew Muslim'...
  8. Israel yaanzisha mashambulizi katika maeneo lengwa ya Wahouthi huko Yemen

    Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo, iliyotekwa nyara na kikundi...
  9. Urusi yateka maeneo mawili zaidi mashariki mwa Ukraine

    Jeshi la Urusi limesema Jumapili kuwa limechukua udhibiti wa vijiji viwili mashariki mwa Ukraine cha Piddubne katika mkoa wa Donetsk na Sobolivka katika mkoa wa Kharkiv. Ukraine haijatoa tamko rasmi kuhusu madai hayo ya Moscow.Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, Urusi imekuwa ikisonga taratibu...
  10. Urusi yaendelea kuchukua udhibiti wa maeneo ya Ukraine

    Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk. Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo. Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo...
  11. Natamani kupima shamba langu kwa kutumia app

    Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nilioime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
  12. ADC: Mamantilie,Machinga tutawapatia maeneo rasmi

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, ametoa wito kwa serikali kuweka mikakati madhubuti ya kuwawezesha wamachinga, mama lishe na vijana wa boda boda na bajaji, badala ya kuwaona kama kero za mijini. Akizungumza Juni 29, 2025, katika Mkutano Maalum wa ADC wa...
  13. Maeneo yaliyokatwa umeme, Dsm hii tuiiteje?

    Wameanza figisu. Tanesco ijue tunamatumizi na nishati hizi. Umeme unakatwa vipi bila taarifa halafu kwa nini asb tena jumapili? Hii tunaiitaje?
  14. Iran yakili baadhi ya maeneo yake ya nyuklia kuharibiwa vibaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekiri kwamba uharibifu mkubwa na mkubwa ulifanyika katika maeneo ya nyuklia ya nchi hiyo katika mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani na Israel. Abbas Araghchi aliambia shirika la utangazaji la serikali Alhamisi kwamba tathmini ya uharibifu huo inafanywa na...
  15. G

    Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30) 2. Eneo lililopangika vizuri 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20. Nicheki whatsap 0765137266
  16. Je ni lini serikali itatua kero ya mawasiliano kwa maeneo yaliyo pembezoni mwa nchi?

    Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda Huwapo ndani ya hizi kata mitandao ya mawasiliano ya simu ni shida kiasi kwamba ukiingia tu unaanza...
  17. Baadhi ya maeneo ambayo yamepigwa kwa uhakika na Iran

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇷JUST IN: Infographic of Iran’s strikes and targets during the 12 day war with Israel: Strategic assets Iran targeted: • Al-Jalil Base; Military base in the north • Haifa Port • Haifa Power Plant • Haifa Oil Refinery • Tel Nof Airbase • Mossad HQ • Kiryah Base, Military command...
  18. R

    Tupeane habari za mvua: Mvua maeneo ya hapo ulipo mvua ikoje

    Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
  19. Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
  20. M

    Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…