maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    TANESCO hawana namna ya kufanya umeme usikatike maeneo ya Hospitali?

    Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni. Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike...
  2. Naomba kujuzwa Lodge au Hotel ambayo naweza kulala maeneo ya Manzese

    Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo. Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
  3. K

    Kama upatikanaji wa maji usiporidhisha jijini Mwanza na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine

    Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
  4. Usijenge tena Ngorongoro hayo ni maeneo ya hakina Simba

    Masaai hataki kuelewa mjomba mliopo mnatosha hizo nyumba zilizopo mkirishina sawa. Mnaotaka makazi mapya mtengewa maeneo mengine; huko maporini achieni himaya za wanyamapori hawana pakwenda msiwafuate. Masai hataki kuelewa, yeye nani. Hakuna kurudi nyuma Masaai lazima adhibitiwe
  5. Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

    Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya. Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
  6. Serikali Kuendelea Kudhibiti Mimea Vamizi Katika Maeneo ya Hifadhi

    NAIBU WAZIRI KITANDULA - SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI MIMEA VAMIZI KATIKA MAENEO YA HIFADHI Serikali imesema inaendelea na jitihada za kudhibiti mimea vamizi katika maeneo ya Hifadhi na Mapori ya Akiba kwa lengo la kurejesha uoto wa asili nchini ambao ni tegemeo kwa wanyamapori. Hayo...
  7. Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

    Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake...
  8. Nataka kufungua mgahawa ambao utakuwa maalum kwa kuuza Biriani tu maeneo ya Kinondoni

    Salaams wana jamvi. Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali. Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
  9. Tanzania pawepo na maeneo huru ya kupumzika

    UTANGULIZI Maeneo ya kupumzika ni mazuri kwa afya ya kili pia ustawi wa jamii yetu, Unajua pale mtu ambapo umetoka katika mizunguko au umechoka kukaa ndani kuna haja ya kuwa na maeneo huru ambayo mtu anaweza kupumzika bila buguza yoyote kwa mda Fulani, Maeneo yaliyo mengi yanamilikiwa na watu...
  10. Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  11. Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki
  12. Maeneo ambayo kwasasa ya Fursa ya Ajira kutokana na ujenzi hapa Dar

    Hizi ndio sehemu ambazo kwasasa zinafursa za ajira kwa mafundi kujenga, umeme, Rangi nk 1. KIGAMBONI, Maeneo mengi ya Kigamboni kwa Sasa yanaendelea na ujunzi wa nyumba, shule, na majengo mbalimbali, maeneo hayo ni kama ifuatavyo; Mjimwema, Kibada, Kimbiji, nk. Nakuhakikishia Fundi ujenzi...
  13. R

    Sakata la Wamachinga na mgambo Mwanza lilishia wapi? Walipewa maeneo au walirudi barabarani?

    Wakuu, Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
  14. Ukraine wafaulu kupasua ngome ya Urusi na kukomboa maeneo

    Ifahamike Urusi walikua wamejichimbia kwa kila namna ikiwemo kutegeshea mabomu mengi sana ardhini, hivyo kupasua ngome mpaka kuwafukuzia na kukomboa maeneo kwa kweli ni shughuli, ila uzuri Ukraine wanapigania ardhi yao, hivyo wana kila sababu za kuendelea kushambulia, je Warusi wanafia nini...
  15. R

    Kuna mgao wa maji unaendelea kimyakimya maeneo ya Tegeta?

    Jamani hakuna mtu ambae haelewi umuhimu wa maji kwenye shughuli mbalimbali za kila siku. Sasa maji yanavyokosekana siku nzima bila taarifa yoyote wala tahadhari watu wajiandae mnataka watu tuishije? DAWASA shida ni nini mpaka wakazi wa Tegeta maeneo ya Kibo, maeneo kuzunguka Hospitali ya...
  16. Msuguano mkali unaendelea Bakhmut, Warusi waendelea kupoteza maeneo ndani ya mji

    Bakhmut inandelea kuwa kichinjio cha Warusi, wamefia sana pale na wanasogeshwa nyuma, hivi kwenye vitabu vyao vya historia, itaandikwa walifia nini hapo Bakhmut maana hivi karibuni wataondolewa kabisa, wamekufa zaidi ya 100,000 After the successful offensive actions, the Armed Forces of Ukraine...
  17. Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

    Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa. Iakini upango huo...
  18. SoC03 Maeneo ya Wazi na ya Umma Mijini na Vijijini Yalindwe

    Utangulizi Kimsingi, maeneo yote ya wazi ni ya umma. Ni maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya shughuli za kijamii na hata kiserikali. Maeneo haya sii lazima yawe tupu; ni maeneo yasiyokuwa na majengo ya aidha makazi au ya shughuli nyingine za kibiashara. Maeneo haya ni pamoja na viwanja...
  19. Naibu Waziri Ndejembi ataka Maeneo ya kujenga Shule yatengwe kukidhi mahitaji

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi amesema kuna ulazima wa kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kukidhi mahitaji yanayotokana na ongezeko la wanafunzi ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto wa wanafunzi kutembea umbali mrefu. Mhe...
  20. Tangazo la fursa ya mkopo nafuu - ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imedhamiria kuanzisha mpango wa kuwezesha ujenzi wa vituo vipya vidogo vya mafuta (petroli na dizeli) vya gharama nafuu maeneo ya vijijini ili kuondoa madhara yatokanayo na njia zisizo salama. Wakala unakaribisha waomabaji wenye vigezo kuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…