maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  2. JamiiForums Tanzania Napata shida kuelewa kwanini Rais Samia kamuajiri Tonny Blair kuhusu COVID-19 na kurejesha jina zuri Tanzania

    Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani. Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo. Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu...
  3. JamiiForums Tanzania Kufungwa jela kwa Sabaya kutarudisha tafsiri sahihi ya kuwa wapinzani siyo Maadui, bali ni wadau wa maendeleo

    Wakati wa utawala wa awamu ya 5, chini ya utawala wa hayati John Magufuli, tafsiri ya kuwa mpinzani ilibadilishwa na kuwa ni adui wa maendeleo, badala ya tafsiri sahihi kuwa wapinzani ni wadau wa maendeleo. Utendaji kazi wa watendaji wengi Katika awamu hiyo walijibadilisha, badala ya kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini

    Habari ndugu, wana jf katika kuadhimisha kumbukumbu ya mwalimu. Nyerere baba wa taifa nimeona nilete mada hapa ili tuijadili kwa pamoja kuhusu "mchango na nafasi ya vijana wasomi kwenye maendeleo nchini". Kwanza ifahamike kwamba kwa tanzania kijana msomi ni yule aliyepata cheti cha elimu...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaendeshwa kwa fujo na vitisho baridi

    Wanabodi, Mnamo jana, naibu katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo Bw Benson Kigaila aliongea na vyombo vya habari ambapo aliezea mambo ambayo lazima yatekelezwe ili kama wana CHADEMA, waweze kushiriki vikao ambavyo msajili wa vyama vya siasa amepanga kufanya. Katika mambo ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Atakayevurunda kwa fedha za Maendeleo ya Taifa, hatutamuhamisha kituo, tutamfikisha TAKUKURU

    Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI Ummy Mwalimu amesema Mkurugenzi atakayefanya ubadhirifu kwa fedha ambazo serikali ilipokea na kutoa kwa ajili ya maendeleo ya taifa na kupambana #COVID19 hawatawahamisha vituo. Amesema hawatakuwa na mchezo katika fedha hizi, mtu akivurunda atafikishwa katika...
  7. JamiiForums Tanzania Utaratibu ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya sita wa kugawa fedha za miradi ya maendeleo kupitia majimbo ufutwe mara moja

    Kuna utaratibu uliletwa huko Tanzania fedha za miradi ya maendeleo kugawanywa na serikali kupitia majimbo mfano fedha za IMF 1.3 trilion, fedha za Tarura. Majimbo mengine yanabidadi ndogo ya wakazi, majimbo mengine yako mbele kimaendeleo kuliko mengine, na kutumia mfumu huu usimamizi wa fedha...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika hatuendelei katika maisha

    Kuna kitu nimejifunza katika maisha yetu sisi wa Afrika na nimepata jibu kwanini sisi ni maskini First one sisi wa Afrika atupatiane support Second one sisi wa Afrika tuna wivu sana Unaweza mkuta mtu anaogapa kumfanyia jirani yake kitu fulani eti akimpa atafanikiwa ni bora akampe mtu mwingine...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021. Fuatilia matangazo hapa Dondoo ujio wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuwakamata na kuwaweka mahabusu kunanachangiaje maendeleo ya Tanzania?

    Hii kamata kamata ya viongozi wa upinzani nchini inasaidiaje kuondoa umaskini? Je wanapopelekwa mahabusu wanatumika katika kufanya uzalishaji au wanakaa tu wakisubiri wapate dhamana au wahukumiwe? Lakini pia hii ipo kwenye ilani ya chama Cha mapinduzi au imeandikwa wapi kwamba ni.marufuku...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar - Public interest, wadau wa maendeleo, mukutano ya ndani ..

    03 September 2021 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud, ofisi ya DPP lazima iwe inachunguzwa kama wenzetu huko Uingereza Ofisi ya Crown Prosecution yaani DPP huchunguzwa inavyofanya kazi Umuhimu wa katiba Mpya upo. Kasoro za kikatiba zipo katika nyaraka za kikatiba...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuzipita maendeleo nchi wanazoziongoza

    Hivi hii imekaaje unakuta mtu ni waziri ama mbunge anakuwa na maendeleo makubwa kwelikweli kuliko hata nchi yake Hebu tazama watu kama Lowassa jinsi walivyo mabilionea wakati maskini wanazidi kuongezeka kila kukicha hapa danganyika Kwa nini mbinu wanazozitumia kujiletea maendeleo binafsi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tutumie mbinu hizi za kibunifu kuutangaza zaidi utalii wa Tanzania duniani ili utupe fedha za maendeleo

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Nchi ya Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache Duniani, zilizobarikiwa vivutio vingi vya utalii. Mbuga za wanyama, makumbusho ya kihistoria, uoto wa asili, milima na mabonde na vivutio vingine vya utalii, ni baadhi ya vivutio vya kitalii vilivyopo hapa Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Kusuasua kwa miradi huchelewesha maendeleo ya jamii

    Serikali ina wajibu wa kulisimamia swala hili ambapo tunahitaji mradi ulioanzishwa katika eneo fulani utekelezwe katika muda uliopangwa. Kwa mfano, tukiangazia katika miradi ya ujenzi wa vituo vya afya, shule, barabara, na maeneo mbalimbali ya uchukuzi mfano bandari na viwanja vya ndege. Sisi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo na usalama wa mtandao wa Internet vinatakiwa kwenda sambamba

    Katika miaka ya hivi karibuni mtandao wa Internet umekuwa ni moja ya maeneo yenye maendeleo ya kasi duniani. Kuanzia ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya internet, vifaa vya mawasiliano kwa njia ya internet kama simu na kompyuta, na hata matumizi ya internet, serikali mtandao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na Maendeleo ya Watu

    Utangulizi Mwanadamu ameumbwa na vionjo vya asili vya matamanio. Vionjo hivi humuongoza katika kubuni na kujenga mazingira kufikia matamanio yake. Kwa mujibu wa mwanasaikolojia Abraham Maslow, katika kanuni yake kuhusu mpangilio wa vipaumbele vya mahitaji ya mwanadamu, amebainisha kuwa mahitaji...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Maendeleo kwa usawa wa kikanda

    Nimekuwa nikitafakari ile kauli ya viongozi kwamba maendeleo yanapelekwa kwa usawa katka mikoa yote bongo lkn naona Kanda ya Ziwa Magharibi imeachwa mno haswa katika taasisi na miundombinu Kama ifuatavyo 1. Barabara: Hii ndio Kanda pekee mikoa haijaunganishwa kwa lami ie...
  18. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuleta maendeleo kwenye jamii ni jukumu la nani?

    Nilipokuwa mdogo niliwaza na kufikiri kuwa, swala la kuleta maendeleo (mabadiliko) kwenye jamii ni jukumu la serikali na matajiri pekee. Nilihisi wao pekee ndio wenye nguvu ya kufanya hivyo. Mpaka leo mawazo haya yapo kwa baadhi ya watu ikiwemo vijana. Wengi wetu uhisi kuwa kuna kikundi fulani...
  19. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama/Twende na Samia

    Wakuu bwana hawe nanyi: Kiukweli Rais Samia hangeruhusu mchakato wa katiba mpya ufanyike, kwa Hali tuliyopitia kipindi Cha Rais aliyepita, ilikuwa ni kutokana na madhaifu ya katiba iliyopo na Ngosha alitumia madhaifu ya katiba ya sasa kufanya baadhi ya mahamuzi kwa utashi wake, mengine...
  20. JamiiForums Tanzania Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

    Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha. Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo. Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo. Wikiendi njema!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…