maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi

    RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku akionya vitendo vya rushwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka...
  2. L

    JamiiForums Tanzania "Udhati, Nia njema, Upendo, Matokeo Halisi", kama matanga ya kusukuma "Maendeleo" ya China na Afrika

    Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

    Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma. Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuzungumzia maendeleo ya teknolojia duniani bila kuitaja China

    Na Gianna Amani China ni nchi kubwa kiuchumi na yenye idadi ya watu wengi kuliko nchi zote duniani, na ni muumini mkubwa wa teknolojia katika shughuli zake mbalimbali. Miongoni mwa mambo ya kuvutia ni namna jinsi China inavyotumia teknolojia katika shughuli zake za bandari. Bandari ya Qingdao...
  5. JamiiForums Tanzania Mussa Zungu ataka wananchi kujifunga mkanda kwa maendeleo yao, asema misaada inaenda kupungua kutokana na vita

    Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo. Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana , kuwa mwanaCCM pekee sio suluhisho CCM inataka vijana wajenga hoja kwa maendeleo ya Tanzania

    Salam wakuu, Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu ya Uraghbishi na jinsi inavyosaidia jamii kujikomboa katika maendeleo

    Maana ya Uraghbishi Si rahisi kuwa na maana moja kamili ya Uraghbishi, hii ni kwa sababu Uraghbishi ni falsafa, mtazamo na namna ya kuwachochea Wananchi washiriki kwa pamoja katika kujiletea maendeleo yao. Uraghbishi ni mtindo wa maisha. Lengo la Uraghbishi Kuwahamasisha wanajamii katika ngazi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kuheshimiana na kutafuta maendeleo ya pamoja kumekuwa msingi wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukitajwa kuwa ni uhusiano wa mfano wa kuigwa kati ya nchi na nchi, na pia ni mfano wa kuigwa wa uhusiano kati ya nchi za kusini. Sababu kubwa inayofanywa uhusiano huo upewe sifa hizo, ni kuwa umejengwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ili tuendelee tujiunge na Marekani

    CountCapone Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani 1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika 1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani 1919-1960 British East Africa Protectorate...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwaga mabilioni ya fedha za ruzuku ya maendeleo jimboni Ludewa- Njombe

    RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE. "Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika

    China yataka maendeleo ya pamoja duniani huku ikijenga ukaribu wa zaidi kati ya Jumuiya ya China na Afrika NA BRYAN OTIENO Ushirikiano kati ya China na Afrika katika zama mpya ndiyo njia pekee ya China na Afrika kupata maendeleo ya pamoja. Ushirikiano huo umeweka msingi imara zaidi wa nyenzo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sekta ya elimu nchini China yapata maendeleo makubwa

    Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya taifa inayoangukia...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yapata maendeleo makubwa katika ujenzi wa miundombinu

    Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Shaka awahakikishia wadau kuwa CCM itashirikiana na kila mwenye nia njema kwa maendeleo ya Tanzania na Watanzania

    Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) jana tarehe 28 Septemba, 2022 walimtembelea Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ofisini kwake Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha, kueleza kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Hii biashara kuuza mwili mpaka vijijini kweli maendeleo yanakuja kwa kasi

    Nimestaajabu sana nimekutana na hii hali ambayo nilikuwa naamini ni kwa ajili ya mijini. Tu aisee hii kitu kumbe mpk vijijini swekini ndani ipo watu wanauza na wapo watu wananunua kama kawaida.ila wanawake kwanini wanaaamini kuwa hili nacho bi chanzo cha mapato yao hii dhana kubadilisha inabidi...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake. Wananchi hawakupenda sana kauli hiyo, lakini akawaambia hivyo ndiyo ilivyo kwenye free market economy. Hivyo ndivyo ilivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Wahindi na Wanigeria: Kwanini hizi jamii zipo mbali kielimu na kiuchumi?

    Ebu leo naomba tuangalie hizi jamii mbili katika ya wahindi na wanaigeria hivi kwanini awa watu wanapiga atua. Pia uwezi kwenda sehemu ukamkosa kati ya awa watu wawili pia ukiangalia ata kwenye utajiri wa Dunia wapo aiseee. Hizi jamii mbili kwakweli zipo mbali kimaendeleo ata kielimu na...
  19. JamiiForums Tanzania NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

    Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania MIRADI YA ELIMU INAENDELEA KUTEKELEZWA NA AWAMU YA SITA

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shiligi bilioni 752 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali kupitia Mradi wa Elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET). Shughuri zitakazotekelezwa kupitia mradi huu ni ujenzi wa miundombinu mipya na kukarabati iliyopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…