maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania TFF uone umuhimu wa kusameheana na Michael Wambura kwa maendeleo ya soka

    Miongoni mwa wadau wenye mchango mkubwa ktk kusukuma maendeleo ya soka hapa nchini ni pamoja na mwamba Michael Wambura. Huyu amechangia Sana muda wake, uwezo wake wa mali na maarifa katika kulifanya soka la nchi hii kupiga hatua mbele akiwa ktk nafasi mbalimbali za uongozi wa klabu, ngazi...
  2. JamiiForums Tanzania Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

    Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti. Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
  3. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayawezi kuletwa haraka kwa sababu yanatumika kama mtaji wa kisiasa kwa chama tawala

    Tuna vitu vingi Tanzania tumebarikiwa ila kutokana na siasa mbovu ndio mtaji unaotumika kuzoretesha au kuchelewesha maendeleo. Watawala na viongozi utumia mbinu hii kama mtaji wao upate maendeleo. Na hii kauli hata marehemu Jpm alisema "siwezi kukuletea maendeleo sababu umechagua mpinzani"
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye: Hakuna maendeleo, amani na furaha kama uhuru wa habari katika jamii hiyo haupo

    Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano hili lenye kaulimbiu ya "Habari kwa maendeleo endelevu", kongamano ambalo limewakutanisha waandishi wa habari pamoja na wadau wengine wa habari kujadili changamoto pamoja na mafanikio kwenye sekta hii, mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  5. JamiiForums Tanzania Kuuzwa kwa meli MV Maendeleo kumefuata sheria

    Hivi mlitaka Serikali ya Zanzibar ifanye nini kwenye hili? Mnatakiwa kutambua kuwa Mv. Maendeleo imeanza kufanya kazi tangu mwaka 1980 ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 600 na mizigo takribani tan 1001 kwa siku. MV. Maendeleo imefanya kazi kwa muda wa miaka 40 imeipatia faida ya trilion 1.44...
  6. JamiiForums Tanzania Maendeleo yana Chama

    Bila Chama hakuna maendeleo. Kupitia Chama ndipo inatengenezwa ilani ya kunadi maendeleo katika kipindi husika (hapa nchini kila baada ya miaka mitano). Sisi CCM tunaamini ili tuendelee tunahitaji vitu vitatu; 1. Watu, 2. Ardhi, 3. Siasa Safi NB: Ni vema kila mwananchi akasome ilani ya Chama...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Peter Msaki: Tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane Mkopo ni Maendeleo

    “Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri zinakopa bali ni ukweli ili ufanye maendeleo Kwa wakati na ukubwa wake lazima Uwe na fedha nyingi za...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

    Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,. Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga. Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Maendeleo makubwa baada ya miaka 61 ya Uhuru

    Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine lakini pia hapo miaka ya nyuma kidogo kuna uhuru tuliupoteza uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nani aliwahi kuona mtu aliyeuza ardhi ya ukoo baada ya kugawana wanafamilia alifanya maendeleo?

    Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote. Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka kuchukua nchi fanyeni marekebisho kuanzia mfumo wenu wa uongozi kwa ujumla

    Hellow, Hakuna chama cha upizani kina nguvu kama CHADEMA na kina watu wengi sana kuliko vingine vyama vya upinzani. Lakini pia kina watu makini sana ambao watu hao wamejawa na tamaa, yaani ni wabinafsi sana kuliko kawaida. CHADEMA kina miaka mingi sana tangu kianzishwe Tanzania, lakini Ofisi...
  13. JamiiForums Tanzania Rushwa inadumaza maendeleo ya soka letu

    Kumekua na kawaida ya maamuzi yenye utata ambayo yanainufaisha timu moja au timu kuwa katika kiwango duni sana siku ya mechi na kupelekea kufungwa kirahisi sana vitu ambacho vinahusishwa sana na rushwa Unakuta coastal union anaikazia azam na kufungwa kwa mbinde sana alafu mechi ijayo anapigwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

    Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wafuasi hawa wanajua ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Lengo letu ni maendeleo

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam kimemtunuku shahada ya heshima ya Udaktari Rais Samia Suluhu Moja Kati ya sababu iliyokifanya kumtunuku PhD Rais Samia ni juhudi zake za kukuza uchumi wa Tanzania na kuwawezesha wananchi kukuwa kiuchumi. Lakini Rais Samia Suluhu alipohutubia amesema lengo la kila...
  16. JamiiForums Tanzania Hamkutaka kujifunza kupitia Bukinafaso na Zaire ya Mobutu mlitegemea nini? Mmesahau kuwa viongozi wanaolinda rasimali za umma ni muhimu kwa maendeleo?

    Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa. Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato. Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa mwafrika, maandiko ya kihistoria yenye mafundisho kuhusu vikwazo vya wa maendeleo kwa Mtanzania

    WADAU AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA" Miongoni mwa maandiko...
  18. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya kitu gani cha maendeleo katika jamii yako?

    WanaJf, SALAAM! Jukwaa hili linaundwa na watu mbalimbali wa lika, na jinsi tofauti - wa elimu na ufahamu tofauti - wa viwango na nafasi tofauti. Wote wetu tumegeuka kuwa wakosoaji wazuri wa masuala hasa ya kijamii na kiuchumi. Ni jambo zuri kukosoa lkn ni jambo zuri zaidi kuonesha njia kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka G20 hadi APEC, China yatoa mipango yake juu ya maendeleo na usalama ya dunia

    Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…