maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) itataleta maendeleo makubwa na ya haraka zaidi kwenye sekta ya mafuta na gesi

    Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) na wizara ya nishati (Ministry of Energy). Wizara ya...
  3. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

    Chinese company Broad Group has erected a modular 10-storey apartment block, named the Living Building, in just over a day in Changsha, China. A timelapse released by Broad Group shows the 10-storey building being erected in China by a large team of workers and three cranes in 28 hours and 45...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Itilima wanakubali maendeleo ni hatua

    Maendeleo ni ushirika kati ya Wananchi na Serikali yao wananchi wa Itilima mkoani Simiyu wamenufaika na uboreshaji wa huduma za afya.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Utamaduni wa wizi na kukosa uaminifu kunazuia maendeleo yetu sana!

    Mimi ni dispora lakini matatizo yangu ni matatizo ya wengi hata kaka yangu ambaye yuko Tanzania anapata matatizo hayo hayo. Naomba niweke utangulizi kwamba nayoyasema hapa sio kwa 100% ya Watanzania lakini ni utamaduni ambao unaturudisha nyuma Najua kama jamii tuna mikasa mingi sana na mimi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
  7. JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  8. JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya fedha za mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo (CDCF) 2022/2023 - Igunga

    VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA 1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya Wanafunzi na nyumba za Walimu. 2. Kutengeneza Madawati ya Shule za Msingi na Shule za Sekondari. 3...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amefanya ziara kijiji cha Msula kata ya Misughaa kukagua miradi minee ya maendeleo

    MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, Januari 13 2023,amefanya ziara kijiji cha Msula Kata ya Misughaa na kukagua miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa kwenye kijiji hicho. Katika ziara hiyo aliyoambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ikungi Ikimbia Khangaa na viongozi...
  10. JamiiForums Tanzania Kweli nchi inaibiwa lakini maendeleo tunayaona kwa watu

    Hii bora iende... Ndio, sababu hatuna namna. Toka mama ameingia kumekuwa na mabadiliko mengi sana. Tofauti na mtangulizi wake JPM. Magufuli alibinya pesa mikononi kwa wananchi lakini tukaona maendeleo ya serikali kupitia miradi mingi(sina haja ya kutaja sababu inaonekana). Mama amekuja...
  11. JamiiForums Tanzania Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

    Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu 1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Taifa la kidemokrasia linapaswa kuepuka kwa nguvu zote desturi na mila ya mauaji ya siri; hakuna maendeleo yakudumu kwenye damu inayolia

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini wauaji wengi ukamatwa kirahisi baada Tu yakufanya mauaji ila waalifu wengine uchukua muda? Nimetafakari ni kwanini watu wengi wanaweza kukaa kimya pale wanaposikia ndugu Yao kauwawa lakini NI vigumu kusamehe likaisha? Nimejiuliza kwanini MTU maarufu akiuwawa...
  14. JamiiForums Tanzania Ripoti UNDP: Tanzania imepanda viwango Maendeleo ya Binadamu

    Tanzania imepanda katika viwango vya kimataifa vya maendeleo ya binadamu, imeeleza ripoti mpya ya Maendeleo ya Watu 2021/2022. Imepanda kutoka nafasi ya 163 (alama 0.529) mwaka 2020 hadi 160 (alama 0.549) mwaka jana kati ya mataifa 191 huku ikiwa juu ya majirani zake sita wa ukanda wa Afrika...
  15. JamiiForums Tanzania Utumiaji wa ugoro kwa vijana ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo

    Suala la vijana wa kitanzania kuamia katika matumizi ya ugoro ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo nchini. Utumiaji wa ugoro una faida mbalimbali za kiuchumi kwa watumiaji na wafanyabiashara Kama ifuatavyo. 1. Tofauti na hennesy ,matumizi ya ugoro uacha hela yote nyumbani, kuanzia...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo na mstakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo

    Heri ya X Mass. Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani. Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA. Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kipaumbele cha CCM ni kuendelea kusalia madarakani au ni kuwaletea maendeleo Watanzania?

    Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania? Kipaumbele Cha utawala wowote wa serikali ni kuwaletea maendeleo wananchi wake na kama wasipofanya hivyo, watajikuta...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu. Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama takwimu za miradi ya maendeleo inayotekelezwa zingewafikia Watanzania wote, Wanaokosoa jitihada za Serikali hii wangezomewa sana na Watanzania.

    Toka Muungano wa Zanzibar na Tanganyika kuna awamu 5 za utawala zimepita, kwa namna yake kila awamu imefanya mambo makubwa kwa wakati wake, kuanzia kwa Baba wa Taifa Hayati J.K.Nyerere, Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Benjamin William Mkapa (Mungu ampe pumziko la milele), Mzee wetu Profesa Jakaya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendelea kukopa kwaajili ya maendeleo ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu jana katika uwekaji sahihi katika mradi wa SGR Rais Samia Suluhu alisema kuwa Pale tunapohisi pana faida tutaendelea kukopa. Kwa wanaosema awamu hii imekopa sana, waseme pia ndio awamu imejenga sana na kweli sisi ni mashahidi tumeona awamu hii imekopa sana lakini maendeleo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…