maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kinachelewa kupitisha matokeo ya Level 6 kwenye mfumo wa NACTVET.

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha. Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026, lakini hadi sasa chuo hakijayawasilisha NACTVET ili tuweze kupata AVN Number. Namba hiyo ni muhimu kwa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu Yakabiliwa na Kitendawili cha Maendeleo: Nani Atalipa Gharama?

    Waharakati wa Lamu wameitaka Serikali kuhakikisha wakazi wanaoweza kuathiriwa na mradi unaopendekezwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote wanalindwa na maslahi yao kuzingatiwa. Waharakati hao wanasema maendeleo ya kiuchumi hayafai kuja kwa gharama ya kupoteza ardhi, mazingira na riziki...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ama Homa Bay Iko Yemen? Barabara Zafichua Hali Halisi Ya Maendeleo

    Baada ya msafara wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay jana, hali ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Suba imeibua mjadala mkubwa mitandaoni. Msafara huo ulilazimika kutumia njia mbadala zenye vumbi na mashimo, baada ya barabara kadhaa kuu kuzuiwa kwa mawe na kuchomwa kwa matairi wakati wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kizimkazi Festival 2026: Tamasha Linalogeuza Utamaduni Kuwa Nguvu ya Maendeleo

    * Kizimkazi Festival 2026 imeendelea kuthibitisha kwamba tamasha linaweza kuwa zaidi ya burudani. Ni jukwaa la kuunganisha utamaduni, utalii, uwekezaji, biashara na maendeleo ya wananchi. Likibeba kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga!”, tamasha la mwaka huu limekuja katika wakati muhimu wa kuonyesha...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Amani ni Msingi wa Maendeleo

    RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI "Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Kizimkazi, Zanzibar leo Agosti 13, 2026, wakati akizindua rasmi Mradi wa Maji wa Kizimkazi, amesisitiza wananchi kulinda amani ili kuwepo maendeleo. "Na vile vile nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza...
  7. JamiiForums Tanzania Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

    Wana JF. Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi. Facts: 1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali 2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashimo bado yapo, lakini njia za baiskeli zinajengwa—Je, haya ndiyo maendeleo?

    Ukarabati unaoendelea kwenye Barabara ya Kasarani–Mwiki umeibua maoni tofauti kutoka kwa wakazi, huku wengi wakitaka serikali kuweka kipaumbele katika kutengeneza barabara yenyewe kabla ya kuwekeza katika miundombinu mingine. Wakazi wanasema licha ya kazi za ujenzi kuendelea, changamoto kuu...
  9. JamiiForums Tanzania Ili Africa ipate maendeleo ni either wazungu wote wahamie huko Africa then waafrica muhamie US,Ulaya..nk

    Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa. Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
  10. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira awahurumia CHADEMA na kuwaasa wananchi cha kufanya ili wapate maendeleo

    Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini. Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na...
  11. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya magari yana mshahara mbaya wasiotuambia

    Tunapenda magari yenye kila kitu cha kubofya tu... hakuna kuzungusha handle kushusha dirisha nk ...ni kweli yana raha zake. Na sasa wanakazana yajiendeshe yenyewe sisi tuwe abiria, yapo tayari. Kisha watatuletea ya kupaa... maendeleo yalianza na magari kuwa na computer chip... mafundi na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO

    MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Mwenda kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi watatu wa CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya siasa

    Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Katambi alisema wakutane mahakamani, wameenda, leo anasema ni wapinga maendeleo

    Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa. Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani". Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali haipati wazo la kuanzisha miji mipya ya kimkakati ya maendeleo jumuishi?

    wazo hili limenijia baada ya safari yangu ya kusini mwa tanzanina kuona uwanda mkubwa usio na makazi ya watu wala hifadhi, ni pori kubwa maelfu ya heka yasio tumika kwa namna yoyote. Wazo lika nijia, kama kipindi kile cha mwalimu nyerere kulianzishwa vijiji na mashamba ya ujamaa kwa nini sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa hivi viongozi na watumishi wakisafiri kwa nchi zenye maendeleo wanafanya kazi gani ?.

    Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi. Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
  17. H

    JamiiForums Tanzania NI ZAMU YA KEREGE: Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    NI ZAMU YA KEREGE Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo ▪️CPA. Subira Khamis Mgalu Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo 🕰️03:00 - 09:00 Alasiri 📆 Jumat
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  20. JamiiForums Tanzania Dira ya maendeleo ya Taifa ya 2050 haiwezekani kutekelezeka kwa miaka 5? Sababu 3 kwanini

    Moja kwa moja. Nilikuwa nafuatilia philosophia ya Trillionea Elon Musk ya " Parkinson Law ". Yeye anaamini Project ya miaka 10 inaweza kufanyika kwa miezi 6. Aliwahi kuwarudisha maengineer wake walipomletea mradi utakaokamilika kwa miaka mingi akawaambia rudini mniletee plan mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…