UTAWALA BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU
Utangulizi:
Utawala bora ni msingi muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tanzania, kama taifa lenye lengo la kufikia maendeleo endelevu, inahitaji kuzingatia utawala bora katika nyanja zote za maisha ya kisiasa, kiuchumi, na kijamii...
Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu sana kwa kuboresha utawala bora kwa nchi yetu ya Tanzania, hii inatokana na mambo ambayo viongozi...
Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa lake. Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni wa umri chini ya miaka 45, nchi hii imejaaliwa vijana wengi...
URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU.
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
UTANGULIZI
Kilimo ni dhana pana inayojumuisha uzalishaji wa mazao, ufugaji na uvuvi. Katika andiko hili nitaangazia kilimo kwa upande wa uzalishaji mazao.
Sekta ya kilimo ni sekta mama ya uchumi wa Tanzania. Huchochea maendeleo ya sekta zingine kama usafiri, viwanda na masoko. Mfumuko wa bei...
jamii forums
kampuni za kilimo
kilimo
maendeleoendelevu
mfumuko wa bei
miundombinu
sayansi na teknolojia
serikali mtandao
serikali na wananchi
uchumi imara
Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022)
UTANGULIZI
Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
UTANGULIZI
Watanzania tunasifika kwa upole na ukarimu. Hizi sifa na nyinginezo hazikuja bure. Waasisi wa Taifa hili walitumia mbinu nyingi kutujengea sifa hizi za kiungwana. Moja ya mbinu hizo ni kuhimiza matumizi ya lugha ya Kiswahili ambayo imetujengea utamaduni huo hadi leo.
Hata hivyo...
Ukuaji wa Teknolojia unachochea Matumizi ya Digitali kwa kiwango kikubwa. Majukwaa ya Kidigitali yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kupitia;
1) Fursa za Ujasiriamali ambazo husaidia kuinua Uchumi
2) Utoaji Elimu na Maarifa ya Kidigitali...
Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika miaka ya hivi karibuni kumeshudiwa uharibifu mkubwa wa mazingira asilia katika nchi ukilinganisha na...
UTANGULIZI
Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa kwa wananchi, yanapaswa kuwa endelevu kwa kuhakikisha kuwa kunakuwepo misingi imara ya kiuchumi...
UTANGULIZI
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa pumzi ya uzima na uwezo wa kuniongoza katika kuandika Makala hii yenye kuleta tija hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla.
Pia, nawashukuru na kuwapongeza JF kwa kuweka shindano hili na jukwaa hili ili kuinua vipawa vy vijana wengi hapa nchini...
Wanajamvi nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano.
Napenda nijadili kidogo kuhusu suala la siasa safi. Hili ni shida kubwa sana hapa kwetu tanzania. Siasa safi si kuwa na amani au kuwa na utulivu hapana kulingana na uelewa wangu. Amani na utulivu ni matokeo tu kipo kinachofanya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.