maduka

John Maduka (born 27 September 1970 in Thyolo) is a retired Malawian footballer. He used to play for Bloemfontein Celtic until his retirement in 2009

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
  2. L

    Bidhaa za China Zapata Umaarufu Katika Maduka Nchini Somalia na Kuchochea Ujasiriamali kwa Vijana

    Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
  3. S

    Maduka makubwa ya viungo Mwanza

    Wadau kwema nijuzeni Hivi ni wapi Mwanza jijini naweza kupata viungo vya pilau na chai kwa bei ya jumla? Pia ubuyu wa mbegu, vipande na mifuko ya jumla jumla kwa bei nafuu? Nijuzeni tafadhali kupitia namba ya whattssapp 0624726872 Natanguliza shukurani zangu za dhati ahsanteni sana.
  4. Fbn

    Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
  5. ELI COHEN

    Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

  6. JanguKamaJangu

    Shirika la Masoko Kariakoo latangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa waliounguliwa maduka

    SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka. Meneja Mkuu wa shirika hilo, Ashiraf Abdulkarim ametangaza msamaha huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 Dar es Salaam. CHANZO...
  7. mcTobby

    Hivi maduka yanayouza bidhaa za JamiiForums zipo?

    Yeah, namaanisha vitu kama t-shirt, kofia au hata kofia zenye logo ya jf. Tujuzane wadau. Nahitaji hata t-shirt moja tu.😎
  8. Tech Max

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
  9. tonicimmobility

    Wezi wavunja Maduka na kuiba Tegeta

    Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam. Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa...
  10. Ummmmkimkana

    Aya kazi kwenu wenye maduka... mifuko laini

    Nauza vifungashio au mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa...njoo nikuuzie kwa mia9 kila pisi wewe uuze 1300 adi 1500 kwa kila pisi... napatikana mbagala chamazi karibu boss
  11. N

    Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  12. kinywanyuku

    Wadau wa maduka ya fashions tupeane mbinu

    Habari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine mnatumia kupata wateja
  13. KENGE 01

    Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  14. B

    Tunatengeneza henga za shelf na reception table za maduka ya nguo na maduka mbali mbali

    Mambo vp wakuu Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini.. Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako Tupo dar mbagala 0692477610
  15. B

    Tunatengeneza henga shelf's na reception table za maduka ya nguo na maduka mbali mbali.

    Mambo vp wakuu Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini.. Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako Tupo dar mbagala 0692477610
  16. W

    USB cable zipi za kuchajia simu ni nzuri kwenye maduka ya mtaani ?

    nahitaji kwenda kununua usb type c cable ya kuchaji simu, naombeni ushauri wenu
  17. Dalali_wa_kimataifa

    Jengo la Biashara linauza Kariakoo Mtaa wa Aggrey

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  18. Dalali_wa_kimataifa

    Maduka 68 na store zake,hapa ni kariakoo daslam tanzania 🇹🇿bei ni billion 8 za kitanzania

    JENGO LA BIASHARA LINAUZWA KARIAKOO MTAA WA AGREY. Kuna Maduka 60 na Stores Nyumba ina Msingi wa Ghorofa kumi Bei 8bill tsh Contact us and Schedule a visit!!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  19. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
Back
Top Bottom