madrasa

Madrasa (, also US: , UK: ; Arabic: مدرسة [maˈdrasa] (listen), pl. مدارس, madāris) is the Arabic word for any type of educational institution, secular or religious (of any religion), whether for elementary instruction or higher learning. The word is variously transliterated madrasah, medresa, madrassa, madraza, medrese, etc. In countries outside the Arab world, the word usually refers to a specific type of religious school or college for the study of the religion of Islam, though this may not be the only subject studied.
In an architectural and historical context, the term generally refers to a particular kind of institution in the historic Muslim world which primarily taught Islamic law and jurisprudence (fiqh), as well as other subjects on occasion. The origin of this type of institution is widely credited to Nizam al-Mulk, a vizier under the Seljuks in the 11th century, who was responsible for building the first network of official madrasas in Iran, Mesopotamia, and Khorasan. From there, the construction of madrasas spread across much of the Muslim world over the next few centuries, often adopting similar models of architectural design.

View More On Wikipedia.org
  1. hamis77

    MAFIA: Mwalimu wa Madrasa alawiti watoto 15

    Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua...
  2. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Waislam wanaotuchangia ujenzi wa madrasa, biashara zao ndio zimewekwa kwenye orodha kuchomwa moto

    Ameongea Sheikh mmoja ambaye ni mhadhiri wa kiislam kuwa kilichopo sasa ni vita ya katoliki dhidi ya uislamu, akaongeza kuwa katoliki wao wanapata ruzuku, lakini waislam wanajikongoja kujenga misikiti na madrasa lakini wale waislam wenzao wanaowapa sapoti kama Lake Oil na wengine, biashara zao...
  3. R

    Msilaumu sana tofautisha kati ya PhD, MA/ Msc etc na Madrasa awards

    Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo. But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
  4. pet geo pet

    Shida madrasa au bahari??

    UTAWALA WA NYERERE. •Hapakuwepo na mtoto wake mahala popote kisa Baba ni raisi. UTAWALA WA MWINYI •Watoto wote walikuwemo kwenye system, hadi watoto wa ndugu n.k UTAWALA WA MKAPA •Hakuna mtoto wake alisikika popote akifanya lolote kwa mgongo wa uraisi wa babake. UTAWALA WA KIKWETE •Miraji na...
  5. Chizi Maarifa

    Video : Walimu wengi wa Madrasa hatupendi Ugali, Ni Dhiki tu ukiona tunakula. Si twapenda Wabwabwa

    Safi sana. Na mwalimu naye apewe. Anasema yeye ni wa ubwabwa ugali hapana. Labda ndizi hizo aweza kula ugali hapana. Tupate Habari Kamili.
  6. Mhaya

    Ostadhi kabananishwa na wanafunzi wa Madrasa juu ya Yesu kuwa Muislamu

  7. Stephano Mgendanyi

    MNEC Toufiq Salim Turky Aahidi Kuendeleza Ufadhili wa Walimu wa Madrasa Katika Jimbo la Mpendae

    MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa Misikiti na Walimu wa Madrasa katika Jimbo la Mpendae ambapo amewatoa wasiwasi kwa kuahidi kuwa ataendelea...
  8. Tauceti Rigel

    Waarabu Hawajawahi Kujali Haki za Watoto: Kinachoendelea Zanzibar na Kesi la Ulawiti ni Dalili Za Mwanzo za Unyama unaofanyika Nchi za Kiarabu

    Na Tauceti Rigel Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi? Swali hili linapaswa kutusumbua sisi sote, hasa wakati huu ambapo Zanzibar inatikiswa na kesi za ulawiti wa watoto huku wengi...
  9. Mhaya

    Dar: Mwalimu wa Madrasa ahukumiwa kwenda Jela Miaka 20 kwa kosa la kumwambia Mwanafunzi amnyonye sehemu za siri

    Mahakama ya Wilaya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam, Mei 29, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Dotto Adinani Makando mwenye umri wa Miaka 34, Mkazi wa Yombo Kilakala baada ya kupatikana na hatia ya kosa la shambulio la aibu ambapo alimfanyia mwanafunzi wake wa kiume...
  10. Komeo Lachuma

    Nchi za Kiarabu zitusaidie Kutujengea Misikiti Mikubwa na Madrasa huku Tanzania

    Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa. Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana...
  11. Zee la madawa

    Walimu wa madrasa mna shida gani? Mbona mnautia matope dini ya haki na ukweli(uislamu)

    Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
  12. Webabu

    Ikulu ya Dar es salaam ilianza kama madrasa

    Miongoni mwa urithi muhimu kutoka kwa waislamu https://www.youtube.com/watch?v=h5N76AzNRYQ
  13. Webabu

    Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  14. Yoda

    Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
  15. Carlos The Jackal

    Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

    Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa...
  16. Yoda

    Waislamu Waafrika waliosoma madrasa wanaweza kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha na weledi?

    Hivi ukiwa muislamu uliyesoma dini madrasa automatically unakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiarabu kwa ufasaha na weledi? Unaweza kufika uarabuni mkazungumza na mwarabu mkaelewana vizuri au huwa cha kuzungumza nje ya dini ni cha kuombea maji ya kunywa tu? Huwa naona wengi wanaweza kunukuu Quran kwa...
  17. B

    Mwalimu wa Madrasa na Bodaboda wafikishwa kizimbani wakishutumiwa na Ulawiti

    HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa...
  18. M

    PreGE2025 Mbunge Kimei achangia shilingi milioni tano ujenzi wa Madrasa Msikiti mkuu wa Taqwa - BAKWATA Kahe

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuunga mkono juhudi za madhehebu ya dini katika kujenga miundombinu mbalimbali yenye lengo la kutoa huduma za kiimani na kujenga maadili kwa jamii. Katika kuhakikisha hilo jana tarehe 30 Agosti, 2024 ametekeleza ahadi yake...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Leo asubuhi nimezunguka mitaa kadhaa wilaya ya Temeke, kuna madrasa kila kichochoro

    Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri. Hizi madrasa mbona hazileti impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana...
  20. Pascal Mayalla

    Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

    Wanabodi, Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu. Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
Back
Top Bottom