madereva

  1. M

    GE2025 Haya magari waliyopewa Wagombea Urais pamoja na madereva yanakuja na mafuta yake? Au hela ya mafuta inatoka kwenye fundraising?

    Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za kiuchumi. Sasa mtu kapewa V8 na dereva ili azunguke nchi nzima kupiga kampeni swali langu ni je...
  2. Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
  3. GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  4. KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  5. Madereva hapa ku overtake ni salama?

    Wakuu, nipeni jibu hapo chini kama ni wewe unge overtake hapo?
  6. A

    KERO Madereva wa Bolt, Uber etc waache kulalamika na kususia wateja wenye BONUS

    Ukirequest; anakuuliza kwako imesomaje? Badala ya kukujibu nakuja au karibu. Hii si sawa, ikumbukwe sisi hatuombi hizo bonus wanazitoa wao wenyewe. So kama bonus inafanya tukose hudumu bora zifutwe. Au ukifika destination anaanza kuomba aongezewe nauli tofauti na kilichoandikwa. Waelimishwe...
  7. Fredy Mwanjala: Madereva wasiofuata taratibu ndio sababu ya foleni Kituo cha SGR Morogoro

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa ajali ya treni ya Mjini kwenda Pugu, iliyotokea Stesheni ya KAMATA kwenye makutano ya reli na Barabara ya Kawawa, jana Mei 13, 2025 imejeruhi Watu 10 TRC imesema ajali hiyo iliyohusisha mabehewa 12 yaliyobeba abiria takribani 1,200 na kuwa...
  8. Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  9. K

    Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya posta iitwayo swifpack

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri wa mtandaoni iliyoanzishwa na Shirika la Posta Tanzania. Huduma hii ya kisasa ilizinduliwa rasmi...
  10. Zuchu anavyogombanisha madereva na matajiri wao.

    Matajiri wanadai wanapunguza cost, madereva wanalalamika hakuna comfortability
  11. Madereva Watanzania washindwa kuendesha magari ya kisasa Qatar

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema madereva wa Tanzania waliopelekwa nchini Qatar hawajaajiriwa kutokana na kushindwa kuyatumia magari ya kisasa.
  12. Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
  13. KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
  14. Fursa: Wanahitajika madereva 800 watanzania nchini Qatar

    Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, kwa kushirikiana na Mawakala mbalimbali wakiwemo kampuni tanzu ya Mkapa Foundation (Imara Horizon), Connect General Supplies Co. Ltd, Sassy Solutions Co. Ltd, pamoja na Larali Global Solutions, inawatangazia Watanzania wenye sifa kutuma...
  15. Yafuatayo ni makundi ya watu (wengine siwezi kuwaita binadamu) ambayo sina huruma nayo kabisa

    Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
  16. N

    Mabadiliko ya katiba na mifumo ya nchi hayaepukiki: Madereva 70 toka Tanzania wenye vyeti toka NIT wafeli mtihani wa driving Doha, Qatar

    Wakati raia wengi wakitaka mabadiliko kuanzia kwenye katiba na mifumo mingine inayoongoza nchi ili kuendana na mabadiliko ya science na technologia, Watanzania 70 wamejikuta wakishindwa usahili wa kuendesha magari ya kisasa aina ya VOLVO nchini Qatar na kubaki wakishangaa. Hayo yamesemwa na...
  17. T

    Uzi maalum kwa madereva bodaboda (Maafisa usafirishaji)

    Karibuni madereva bodaboda kwenye uzi wenu
  18. Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

    Juzi mmekatisha uhai wa Boss wa TANESCO Leo tena mmesababisha vifo vya maboss zetu kwa ajali Dakawa. Hali hii itaendelea mpaka lini?
  19. Madereva wa it

    Naomba kuuliza hili jambo miaka kadhaa imepita watu waliwahi kuuliza connection za kupata ajira za kusafirisha magari nchi jirani maarufu kama IT lakini hakuna mrejesho je ni kwamba hizi kazi hazipatikani moja kwa moja nchini au watoa connection wamekua wachoyo kwa upande huu?
  20. Madereva malori wa kitanzania waporwa mizigo na kunyanyaswa DRC

    Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…