Wakazi wa wilaya ya Ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya dawasa, hivi hii ni haki kweli? Kila siku danadana tu tumechoka. Dawa ya deni ni kulipa