Hbari za muda huu wakuu,
Niende kwenye mada, kuna office moja ya kukopesha nilichukua hela kiasi cha Tsh. laki 2 kwa mwezi mmoja na ikatakiwa nilipe laki mbili na sitini,kama ikishindikana niwe natoa riba. Sasa bana nimeenda nao vizuri na ilikuwa mwaka jana mwanzoni, nimewalipa vizuri tu riba...