Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga.
Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine)
Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu
Nikaanza ku move around ili...
Sex ni tamu ila haimanishi ndio mwisho wa hamu zote.
Watoto wanadatisha lakini haimanishi ndio ujizime data.
Nafsi yako inastahili zaidi ya kuhangaishana na milupo ila mtalimbo wako unakuaminisha hauwezi ishi bila matako.
++JASUSI COHEN++
Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi
Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajali
Najua moja ya comment itakuwa ni kutoka kwa Mallerina ananiambia "tafuta hela wewe friji halizimwi"🤣
Anyway,
Kama hauna pesa ya uhakika na unashi mzizima usijuhishishe na tasnia ya mapenzi yale yalio ya uhakika kwa maana huu mji hata demu wa yombo vituka anataka treatment ya level ya ibiza.
Naomba nijielekeze kwenye mada husika.
Tukatae tukubali, Kuna wanawake wanasura ngumu sana. Humu JF na vijiweni tumezoea kusema wana sura za baba au wajomba zao.
Kundi hili la wanawake hawana fujo sana kwenye profile zao. Utakuta wameweka neutral profile ambazo hazina nasibu na sura zao kama...
Anashangaa yeye ana cheo na ukwasi zaidi yangu ila tukii gia ligi sehemu namtoa, yeye anakataliwa mimi nakubaliwa. Sasa kuna pisi kali ilikuja hapa, yeye katumia nguvu nyingi hadi pesa ila amemkosa, mshua sijamtongoza ila dada anajigonga gonga sana kwangu. So naona tumeshaongia uhasama kwa...
Professionalism bongo imekuwa a joke nowdays!
Hatujali unashoboka au kujianika kwa namna na kiasi gani, ila pale panapohitajika professionalism itumike professionalism na sio mwenendo wa kutumia kushobokalism na usleikwinism
Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.
Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu...
Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle.
Sasa wakikutana na no...
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu...
Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu.
Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana
Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae alimpenda sana,sasa mie ndiye nilikuwa natumwa kila kitu na kaka kwa huyo demu,na pesa nilikuwa...
Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"
Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.