madawa

Hum Sitaray is a Pakistani entertainment channel launched by Hum Network Limited on 14 December 2013. It is a major entertainment channel in Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  2. Genius Man

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa

    Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa. Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ? Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
  3. Pdidy

    Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya Zambia

    Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia (DEC) imemkamata Ahmed Muharram (40), raia wa Tanzania anayetajwa kuwa mlanguzi mkubwa wa dawa za kulevya, katika oparesheni maalum jijini Lusaka. Katika msako huo, DEC ilikamata jumla ya kilo 1,380.8 za bangi, zikiwemo kilo 221.2 zilizofichwa...
  4. Wakili wa shetani

    Kwanini Afrika hatuzalishi dawa za kulevya?

    Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
  5. Genius Man

    Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya

    Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya. Huku ndipo tunapoelekea.
  6. C

    PostGE2025 watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao

    Naona mpo busy sana na mnapambana sana kulazimisha sana mgogoro wa kidini lakini niwahakikishie pasi na shaka watanzania wana akili sana na wala sio wajinga, dini wala sio hoja yao, ukatoliki na uislam wala sio hoja ya wananchi. Hoja ya wananchi ni utekaji ukome, mauaji yakome, na wizi na...
  7. C

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki

    Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya ukristo nachelea kusema hayo na naamini hivyo kutokana na harakati zao ambazo naona wana hangaika...
  8. Lycaon pictus

    DOKEZO Huku kubadilishia badilishia watu madawa ya pressure kumezidi sasa

    Ni kweli mnatoa dawa kulingana na hali ya mgonjwa, lakini mmezidi kiasi. Kila mtu akienda clinic anarudi kabadilishiwa dawa! Mmeshindwa kupata dawa za kumstabilize mgonjwa hata miezi sita au mwaka. Mwezi wa tano ndugu yangu alikuwa na Losartan H. Kidogo akabadilishiwa Amlodipine(Hii...
  9. Hance Mtanashati

    Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

    Nauliza si kwa ubaya. Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi. Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea. Nini kipo nyuma...
  10. Huihui2

    Giselda Blanco; Mwanamke mfanya biashara wa madawa ya kulevya

    Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
  11. Mi mi

    Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  12. JanguKamaJangu

    Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  13. ELI COHEN

    Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  14. ndege JOHN

    Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

    Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena. Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au...
  15. DuaZaMama

    Kiwango cha madawa ya kulevya mtaani kimeshuka

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kuwa kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya kwa kushirikiana na jamii, wameweza kupambana na uuzwaji wa dawa za kulevya nchini, na kwa sasa kiwango cha dawa hizo mtaani kimeshuka. “Kiwango...
  16. T

    Wakamatwa wakijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kama wanawake wa kiarabu

    Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madawa ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano wa wanawake wa kiarabu.
  17. Chibike

    Naombeni muongozo wa kwenda kushtaki jirani ambaye anachanganya madawa yenye sumu Kali ya kuua wadudu shambani

    Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present Hivi hizi sumu si ndio...
  18. Mshana Jr

    Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  19. P

    KERO Maji yanayotoka Tabora yana harufu kali sana za madawa. Wanazidisha sana madawa. (TUWASA) mtaleta madhara kwa watu

    Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana hasa pale unapoamua kuchemsha maji hayo ufanye yawe maji ya kunywa. Unakunywa maji yakiwa na harufu...
  20. Knock life

    Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
Back
Top Bottom