Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani.
Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
Watanzania wengi hata wa serikalini hawajui tofauti kati ya taifa na serikali. Haya ni mambo ambayo yanatuletea mfumo wa sasa ambao hata watanzania hawaulewi vizuri
Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua.
Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa.
Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo
Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua hatua stahiki, inaweza kusababisha matokeo hasi yatakayoathiri utendaji na utoaji wa huduma ndani...
Nimeona watu wanajadili kuhusu mfumo wa majimbo na kusema ukija makabila makubwa yanaweza kuhodhi madaraka na hivyo makabila madogo yakawa hayana uwezo wakutoa viongozi wakubwa.
Mfumo wa majimbo wa marekani naupenda kwa sababu hata yale majimbo madogo bado yana nguvu kwenye kuamua raisi ukitoa...
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
fomu
fomu za maadili
haja
ili
kujaza fomu
kuzuia
maadili
mabaya
madaraka
michango
ofisi
sheria
shughuli
siasa
viongozi
vyama
vyama vya siasa
wakuu
wote
Mtendaji wa Kijiji cha Ukingwaminzi, Kata ya Mwamapuli, Wilaya ya Mpimbwe, Mkoa wa Katavi, amekuwa akifanya maamuzi ya kibaguzi na ya upendeleo dhidi ya wananchi wa kijiji hicho wanapowasilisha shida zao, hasa zinazohusu migogoro.
Kuhusu ujenzi wa vibanda vya biashara pembezoni mwa barabara...
Anonymous
Thread
katavi
kijiji
madaraka
mpimbwe
mtendaji wa kijiji
vibaya
wilaya
Vitabu vya dini vinatufundisha tuwe na kiasi, lakini hii familia imezidi hata hicho kiasi.
Kuanzia Baba wa familia, mama wa familia, watoto wote wa familia, nasikia vijukuu wengine ni viongozi wa Chipukizi ndani ya chama.
Bakresa amefanikiwa kwenye mali na biashara lkn huwezi kumsikia kwenye...
Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni ...
Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia,
Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa.
Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba; linaendeshwa kwa hofu, vitisho, na ukatili unaotokana na ugonjwa hatari unaoitwa "Madaraka ya...
Inatamausha mno kwa namna hali ilivyo. Inafikirisha vilevile kushuhudia hayo yawayo
Hofu yangu, huyu ndugu ataondoka kweli kwa utaratibu uliozoeleka?
Binafsi sioni akiondoka ki kawaida. Pengine namkosea Mungu, lakini ni muhimu kujiandaa kwa lolote
Dalili zi wazi, huyu ndugu atataka kuongoza...
Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake
Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe..
Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli,
Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema;
"...kama...
Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema.
Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza.
Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...