madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Waziri mkuu aagiza kiongozi wa CCM aliyetajwa kwenye mgogoro wa ardhi akikutwa na hatia avuliwe madaraka, siyo chama cha kunyang'anya

    Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi. Amesema chama hicho siyo cha...
  2. R

    Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  3. K

    Bila shaka tumejifunza kuwapa madaraka makubwa watu kutoka kanda ya ziwa tushaona wapoje

    Bila shaka kila mtu ameona nini kitatokea Iwapo tukiwapa madaraka makubwa watu kutoka Kanda ya ziwa maana tumeona mtu kama mwendazake alipewa madaraka makubwa tumeona alichokuwa anafanya yaani hawa watu wa kutoka kanda ya ziwa hawa wasukuma ni wabinafsi Wanajificha kwenye kichaka cha upole ila...
  4. Chura

    Kivuli cha Madaraka: Unapokuwa Tishio Bila Kukusudia

    Katika korido za mamlaka, kuna msemo mmoja wa kishushushu unaosema: "Ukaribu na jua unakupa joto, lakini unavyozidi sana kulikaribia jua unajiweka katika hatari ya kuteketea"Hii si kauli ya mzaha; ni onyo la kiintelijensia kuhusu jinsi ukaribu na mamlaka unavyoweza kugeuka kuwa mtego wa mauti...
  5. Just Pray

    Bwege: Waroho wa madaraka wasitufarakanishe kidini

    "KUNA watu wanatengeneza makusudi mgawanyiko kwa maslahi binafsi, tusikubali kugawanyika kwa kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa., tusigawanywe na hawa wataka madaraka na wanaotaka matajiri kwa njia za haramu, kuna kikundi kina madaraka na utajiri ndio wanaotugambanisha. Hawa watu wapo...
  6. Chivundu

    Swali la kizushi: Je, kuna uhusiano gani kati ya madaraka ya Urais na kuzeeka mapema?

    Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026. Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha? Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
  7. The Father of All

    Madaraka ni kama umande hukauka

  8. Genius Man

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  9. H

    Maaskofu, Mapadre, Hawatayumbishwa na Waumini Kama Ludovivk, Walioamua Kumtumikia Shetani

    Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
  10. Genius Man

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  11. Fbn

    Mpaka sasa serikali feki awamu hii inatafuta Amani na kujisafisha mpaka mwisho wa madaraka utakapofikia

    Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani. Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
  12. M

    Utalii ukishuka kwa asilimia 20-30 nchi haitaweza kulipa Madeni, CCM mshinikizeni Samia aachie Madaraka

    Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia. Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa...
  13. Genius Man

    Serikali haramu inang'ang'ania madaraka kwa sababu wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa

    Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa. Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi wataburuzwa sana wanatamani wachimbe shimo wajifukie wakimbie mbali. sasa hawa sisi tupo nao sana...
  14. ifa96

    Gen z sahauni kiongozi kuachia madaraka kwa maandamano yenu ya kubeba mabango ya mabox mlochora na makapen

    Wakuu huu ni ukweli mchungu kiongoz kama rais sio mchezo kumtoa mzee tusijidanganye na tusifarijiane hilo jambo haliwezekan na halitowezekana kwa stail ya maandamano ya aman zaid ni kupoteza muda tuh kwa kubeba mabango mliyochora na makapen mtachelewa sana
  15. Genius Man

    PostGE2025 Njia ya kumaliza maandamano, sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza

    Njia ya kumaliza maandamano sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe kwanza ikiwemo muuaji kuachia madaraka hata tutawala kamwe. Na hakuna mtu wa kutubabaisha babaisha tunachukua nchi yetu.
  16. A

    PostGE2025 Badala ya kutoa matamko ya ghiliba, waliojisimika na waliosimikwa madarakani kiharamu matamko yao sasa yajibu Maazimio ya Bunge la Ulaya

    Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome. Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote za kiutendaji kuelekea katika kuiponya nchi. Hivyo haya matamko kuanzia aliyesimikwa uwaziri mkuu...
  17. Abraham Lincolnn

    PostGE2025 Unatumia Mabavu na Kumwaga Damu za Watanzania Wanaodai Haki Kisha Baada ya Kujipatia Madaraka Kwa Damu unarudi kusema Amani Itawale, Ya nini?

    Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha kujitwalia Madaraka kimabavu ikibidi hata kwa kumwaga damu, na ndicho kilichotokea. Baada ya mauaji...
  18. The Father of All

    Kuna haja ya kuhakikisha kikatiba makamu wa rais harithi madaraka pale rais anapokufa ili kuepuka kurudia makosa

    Kama katiba yetu ingekuwa hairuhusu makamu wa rais kuchukua madaraka baada ya kifo cha rais, tusingekuwa kwenye balaa hili linalotusumbua sasa hadi kupoteza maisha ya watu wetu wasio na hatia. Wala tusingekuwa na rais pandikizi ambaye hatukumchagua. Tusingekuwa na utawala usiojua unachopaswa...
  19. October 2pm

    PostGE2025 Wahamiaji haramu waliohodhi madaraka wahusika kudhamini mauaji kulinda maslahi yao

    Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao. Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na wahamiaji haramu. Polisi wa ngazi ya chini hawana ujanja tena zaidi ya kulinda wanamtandao. Polisi na...
  20. Genius Man

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
Back
Top Bottom