madaraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kwa nini kuna madaraja ya watu katika dini?

    Kwa nini Kanisani na misikitini viongozi wakubwa na matajiri hupewa umuhimu, kipaumbele au nafasi za mbele zaidi ikiwa kwa mungu watu wote ni sawa? Mfano RC kuna kitu kinaitwa Wakatoliki wa nguvu.Wiki hii Padri Kitima akiwa Bariadi kwenye shughuli ya kusimikwa Askofu aliwaita jukwaani...
  2. M

    Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
  3. R

    GE2025 TARURA yajenga Madaraja 439, yaokoa Bilioni 75

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) umesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, wamefanikiwa kujenga jumla ya madaraja 439 ya mawe yenye thamani ya bilioni 15, hatua ambayo imewezesha kuokoa kiasi kikubwa cha fedha. ‎ ‎Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mhandisi Mshauri wa TARURA...
  4. funaku

    Naona maeneo yote korofi ya mapito ya maji kuna madaraja yanajengwa...hongera Mhe.Rais Samia

    Hii sio mara ya kwanza nikimtazama Rais Samia kwa jicho la kuondosha kero za huduma za kijamii kwa maamuzi yenye mkakati ,shabaha na yanayopimika kirahisi. Miaka kadhaa nyuma nikipita maeneo ya hedaru,mkomazi niliwahi kukutwa na changamoto ya gari kukosa udhibiti kutokana na mkondo wa maji...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Katibu Mkuu Kiongozi: Ili mtumishi athibitishwe au kupanda daraja atalazimika kufanya mtihani kupima uwezo wake

    Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi. Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  7. funaku

    JWTZ Yapata kazi ya kujenga madaraja Afrika ya Kati

    Pongezi nyingi kwao. Hii ni taarifa kupitia Milard Ayo ambapo Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania JWTZ wamepata tenda ya kujenga madaraji nchini Afrika ya Kati. ============== Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), umelipatia Jeshi la...
  8. Same_Return_1878

    Madaraja ya mishahara

    Wakuu naomba kuuliza swali. Rafiki yangu amebahatika kupata ajira za utumishi katika wizara ya kilimo baada ya kuhangaika sana na usaili kila mwaka. Ameajiriwa katika ngazi ya bachelor's degree, na daraja la mshahara aliloanza nalo ni TGS D.1, yaani atakuwa anapokea 765,000 TZS kama gross...
  9. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali yapeleka bilioni 669 za barabara, madaraja mikoa ya kusini

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi Bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  10. Nipe Maji

    PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  11. kalooo 25594

    Eneo la Siri la Serikali (ESS) pokea mtazamo wa Kalooism kuhusu madaraja ya hapa kazi tu

    Ndg wanajamvi,Habari za majukumu,Wapo poleni na wapo hongereni,mimi mwenzenu bado ni mzima wa Afya. Kama ilivyo kawaida kwa watu wa asili moja,nchi moja bara moja lazima na ni bora tuwe na mtazamo wa dunia moja katika ulimwengu tuishio,Hapa Nina mtazamo wa kalooism kuhusu namna fulani inayoweza...
  12. The Cock

    Kuhusu Madaraja ya Watumishi na Mseleleko 2025

    Itakumbukwa mwaka jana watumishi walioajiriwa 2005 kurudi nyuma waliseleleka hadi daraja G by default bila kujali daraja alilokuwepo! Je, ajira za 2006 na kuendelea tukae mkao wa kula mwezi ujao?
  13. Ojuolegbha

    Madaraja 19 yaliyo kwenye maandalizi ya Ujenzi

    Tangu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Jumla ya Madaraja makubwa kumi na tisa (19) yapo kwenye maandalizi ya kujengwa, madaraja hayo ni Daraja la Godegode (Dodoma), Daraja la Ugala (Katavi), Daraja la Kamshango (Kagera), Daraja la Bujonde (Mbeya), Daraja la Bulome (Mbeya)...
  14. Pfizer

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega: KM 1,366 za barabara zenye thamani ya tsh trilioni 2.7 zimekamilika, huku madaraja makubwa yakijengwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
  15. Just Pray

    Kilwa: Tanroads yaanza kazi urejeshaji miundombinu ya barabara na madaraja iliyoathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya

    Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na madaraja ambayo yameathiriwa wakati wa mvua za Elnino na Kimbunga Hidaya. Wakizungumza wakati wa ziara ya...
  16. Just Pray

    Serikali imelipa takribani bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ulega ameyasema hayo jijini Dodoma siku ya Jumapili Februari 9...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Madaraja, mabarabara ya lami si maendeleo. Magufuli hakufanya maendeo yoyote kwenye utawala wake

    Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo. Hivyo vitu ni lazima kuwepo. Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora. Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais...
  18. -ArkadHill

    PreGE2025 Kumbe bado kuna siasa za kuleta lami na madaraja

    Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema. Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Miundombinu ya Barabara na Madaraja: Wanasiasa na Hila za Kukarabati Kipindi cha Uchaguzi

    Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka kuonyesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Kwa kawaida, kuna tabia za viongozi fulani —...
  20. M

    Idara ya Elimu kuanzia Julai, Agosti na Septemba 2024 aliyehusika na upandishaji wa madaraja kwa walimu aje atoe majibu

    Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili. Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
Back
Top Bottom