madanguro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi kuna madanguro ya wanaume kujiuza na wanawake wanawanunua?

    Ushawahi kufikiria kama kuna sehemu wanaume wanakaa kisha wanawake wanakuja kuwanunua? sio lazima iwe tz, nauliza hata globaly, hili suala lipo kweli?
  2. Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

    Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu Mithali 5:8 Itenge njia yako...
  3. Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  4. Part Two: Wajue "MadadaPoa" wa Kwenye Madanguro

    Habari za wakati huu wa jioni members wenzangu pamoja na wahusika wote wa JF (JamiiAfrica), natumai mko salama. Kama kawaida yangu leo nakuja na part two ya kundi la madadapoa wanaojiuza. Na leo katika kundi hili tutawazungumzia hawa Dadapoa wa kwenye Madanguro Part one ilikuwa hapa...
  5. Danguro ni nini? Mfano wa madanguro ni yapi?

    Hili neno danguro lina maana gani? Wiki hizi mbili katika hili sakata la wanaoitwa makahaba/madada poa nimelisikia linatajwa sana ila sijajua lina maana gani. Wale wataalamu wa lugha, magwiji na wengine wenye ufahamu tufahamisheni maana ya danguro.
  6. DOKEZO Nani yuko nyuma ya Danguro Rainbow Beach? Wanatuharibia watoto. DC Kinondoni na Mkuu Jeshi la Polisi mlitazame hili

    Ni danguro la mabinti wadogo sana wengine wanawake watu wazima eneo la Mbezi Beach - Rainbow Polisi Kawe wameshaaambiwa sana lakini wanachofanya wanabeba wanawake wakifika gizani wanawaachia wanarudi tena usiku huo huo! Huku Beach imegeuka Lodge, walinzi Shirikishi wanawalinda na kuvuta chao...
  7. Tathmini binafsi kuhusu oparesheni ya wajasiria-miili iliyofanywa na DC ubungo (riverside)

    Kwema humu, nimeona kwenye vyanzo mbalimbali kuhusu oparesheni ya wale dada zetu na kwa bandiko hili naomba niwaite "wajasiriamiili" au "rasilimali watu" ni kweli kumekuwa na idadi kubwa ya wadada ambao husimama nyakati za jioni au usiku siwezi kusema wanajiuza kwani binafsi sijawahi kununua ila...
  8. B

    RC Chalamila - DSM Rasmisheni madanguro kwa kujenga motels na guesthouse siyo vile vibanda

    Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni [https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand and supply yaani soko na wateja wa biashara ya ngono ilivyo na jinsi ya kwenda nayo RC Albert...
  9. Nyimbo za maudhui ya matusi zina utofauti gani na taswira ya madanguro?

    ■Mashairi ya matusi na ngono ■Kuvaa nusu uchi ■Uchezaji dance wa namna ya kingono Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
  10. Badala ya muanze na mitaro, mnapotezea na stori za madanguro.

    Sawa chochote kinaweza kuwa priority, ila hii ya madhara ya mvua ndio ingepaswa iwe headline. Sasa mnaleta stori za kuvunja madanguro 150 ili sasa ndio iwe habark ya mjini alafu wasahau kuulizia kuhusu maji kujaa mitaani kwao. Kwanza mtafikaje huko mabondeni mabondeni na haya maji mengi hivi...
  11. KERO Responded Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu. 1. Tandika Sokoni, 2. Temeke Sudani, 3. Temeke Sokota (Sugar Ray), 4. Buguruni Sokoni, 5. Manzese Uwanja wa Fisi, 6. Manzese Mferejini, 7...
  12. Meya afika kwenye madanguro Mwananyamala, Wadada wanaojiuza wakimbia

    Kufuatia ongezeko la madanguro katika maeneo ya Kinondoni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amefika kwenye maeneo ya kunapodaiwa kufanyika kwa biashara ya kuuza mwili maeneo ya Mwananyamala na kuahidi kuchukua hatua dhidi ya wamiliki wa nyumba zinazotumiwa katika biashara...
  13. Mshumaa kama timer kwenye madanguro hapo kale

    Brothel candles were candles which burned precisely for 7 minutes and were heavily used during Victorian times. The customer paid the fee, lit the candle, and when the candle burned out, his session was over. Huu mshumaa uliwaka kwa dakika saba. Mteja ndiye aliyekipia gharama za mshumaa...
  14. Madanguro yaliyoboreshwa: Biashara inayokua kwa kasi

    MADANGURO YALIYOBORESHWA; BIASHARA INAYOKUA KWA KASI Anaandika, Robert Heriel Wanasema mjini mipango, hesabu akilini jasho peleka shambani. Mjini kuna biashara nyingi Sana, biashara ya umalaya, ushoga na usagaji ikiwa ni miongoni mwa kazi za Mijini. Licha ya kuwa Dini imekataza mambo hayo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…