Madalali mnawaumiza Wapangaji

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Habari zenu,

Kuna jamaa mmoja amemwambia Dalali kuwa anapangisha Nyumba yake kwa 150,000 kwa mwezi, dalali alivyokuwa na tamaa akamwambia jamaa kuwa atamleta mpangaji kwa kodi ya 250,000.

Nyumba imepata mpangaji na Dalali kalamba 250,000 yake ya mwezi mmoja.

BAADHI YA MADALALI ACHENI TAMAA MNAWAUMIZA WAPANGAJI.
 
Hata hiyo hela ya kodi ya mwezi mmoja kwa dalali imekaa kitapelitapeli
 
Wajinga namba moja ni wenye nyumba,
Kuna baadhi ya wenye nyumba unaenda kuulizia chumba kwake anakuambia eti nenda kwa Dalali kwanza,
Madalali wanaendekezwa, Udalali ni matokeo ya uvivu, Dalali na tapeli kopo na mfuniko.
 
Wanazingua sana.
 
Habari zenu,

Kuna jamaa mmoja amemwambia Dalali kuwa anapangisha Nyumba yake kwa 150,000 kwa mwezi, dalali alivyokuwa na tamaa akamwambia jamaa kuwa atamleta mpangaji kwa kodi ya 250,000.

Nyumba imepata mpangaji na Dalali kalamba 250,000 yake ya mwezi mmoja.

BAADHI YA MADALALI ACHENI TAMAA MNAWAUMIZA WAPANGAJI.
Hapa kkoo kuna kitu wanaita kilemba ***** zao. Ni hela nyingi kuliko ya kodi.
 
Habari zenu,

Kuna jamaa mmoja amemwambia Dalali kuwa anapangisha Nyumba yake kwa 150,000 kwa mwezi, dalali alivyokuwa na tamaa akamwambia jamaa kuwa atamleta mpangaji kwa kodi ya 250,000.

Nyumba imepata mpangaji na Dalali kalamba 250,000 yake ya mwezi mmoja.

BAADHI YA MADALALI ACHENI TAMAA MNAWAUMIZA WAPANGAJI.
Kwahiyo mpangaji kalipa Kodi sh ngapi kwa mwenye nyumba?
 
Back
Top Bottom