madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya MCT

    Malalamiko ya Madaktari Watarajali (Interns) kuhusu kufeli mitihani ya Mct: Kama Mdau wa Afya, nimeisoma barua ya wazi ya madaktari tarajali (interns) ya tarehe 21 July. Nimesikializa press ya madaktari hao ya tarehe 04 August. Lakini pia nimeona taarifa kwa umma ya Wizara ya Afya ya tarehe...
  2. Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

    Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo. Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
  3. Jamani madaktri wa macho nifanye nini katika hili?

    Jicho langu moja LA kushoto miezi 5 iliyopita nilianza kuhisi lina uono hafifu,badaye nikaanza kuhisi jicho kama linajiziba kama linajifunga wakati huo huo miale ya mwanga ikawa inaniumiza sana hasa wakati nikitoka kulala au kukiwa na jua na usiku mwanga wa gari au pikipiki unaniumiza pia...
  4. Sina imani na Kamati Huru iliyoundwa na Ummy Mwalimu kufuatilia sakata la Madaktari Watarajali

    Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini. Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia ya kweli ya kuwasaidia Wananchi wake kwa kuwa ukifuatilia hoja za Wanataaluma hao wa Udaktari zina...
  5. Nyalandu aleta madaktari bingwa 50 kumuunga mkono Rais Samia

    Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure. Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
  6. UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    UPDATE: WIZARA YA AFYA YAUNDA KAMATI KUCHUNGUZA MADAI YA MADAKTARI WATARAJALI Madaktari Tarajali wanatoa malalamiko yao dhidi ya Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) Akizungumza katika mkutano huo wa Wanahabari, Dkt. Warsha Wilson ambaye ni mmoja wa waathirika wa matokeo mabaya ya...
  7. Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Mheshimiwa Rais, Amani iwe nawe daima. Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya tele na tunatambua pia una majukumu mengi kwa ajili ya ustawi wa Taifa letu. Mheshimiwa Rais, hii ni...
  8. Prof. Makubi afanya kikao cha kimkakati na Madaktari Bingwa/bobezi ndani ya MOI

    Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Prof. Abel Makubi, leo Julai 12, 2023 amefanya kikao na madaktari bingwa/Bobezi wa MOI ili kujadili kwa pamoja namna ya kuboresha huduma kwa wagonjwa, suala la huduma kwa wateja, uwajibikaji wenye matokeo , kuwa na mtazamo chanya pamoja na kuongeza na kuifanya Taasisi...
  9. MOI yaendesha Mafunzo ya Kimataifa ya Saratani ya Mifupa na Misuli, Madaktari 200 wanashiriki

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imezindua mafunzo ya kimataifa ya matibabu ya Saratani ya Mifupa na Misuli yanayofanyika kwa siku tatu ambapo zaidi ya madaktari 200 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza, Australia, Malaysia wanashiriki. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Lemeri...
  10. G

    Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
  11. T

    Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  12. M

    MADAKTARI MTUSAIDIE HAPA

    Madaktari njooni mtusaidie hapa. Kipindi ambacho Jacob Zuma alikuwa akigombea urais wa Afrika Kusini, kuna watu walimuuliza kuhusu afya yake, yaani ni kwamba alikuwa akifanya mapenzi na muathirika wa UKIMWI. Sasa kwenye majibu yake alijibu kwamba: “Ni kweli nilikuwa nafanya mapenzi na...
  13. B

    Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
  14. R

    Hospitali ya Agha Khan madaktari wengi ni wanafunzi au ndio kwanza wanaanza kazi?

    Ndugu wanajamvi. Nimeona nilete hili kwenu natumaini wengi wenu mliowahi kwenda Hospital ya Aghakan pale mjini mme notice kuwa madaktari wengi ni wanafunzi ambao hawana uzoefu. Na wengi hurudi kwenye kusoma Notice ili kujua mgonjwa anasumbuliwa na nini..? Nilimpeleka mtu mida ya usiku...
  15. Hivi Madaktari (MD) nao wanaumwaga na kulazwa kabisa au hadi kufa?

    Hello, Mimi kama Wadiz a.k.a Baharia Naumia sana na roho mbaya, majidai na dharau za za baadhi ya Madaktari kwa wagonjwa ni kero tishio, baadhi wanajikuta sana hadi najiuliza hivi hawa wana kinga ya kuumwa na kufa, au wana bima ya uhai wa maisha yao. Kuna wimbi la kutuandikia madawa lundo...
  16. DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    Naandika uzi huu kwa uchungu na majonzi makubwa. Siku za hivi karibuni nikiwa mkoa wa ugenini mishale ya usiku nilianza kujisikia hovyo sana kwa ghafla tu. Hali ilianza kubadilika mida ya saa sita za usiku. Nilianza kujisikia hali ya ganzi upande wa kushoto wa kifua, na mapigo ya moyo kwenda...
  17. Nigeria: Madaktari waanza mgomo wa siku 5 kushinikiza malipo bora

    Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na malipo mengine. Serikali imedai mgomo huo sio halali na watakaoshiriki hawatalipwa na kudai kuna...
  18. F

    Waalimu, madaktari, wasomi na watu wa sekta nyingine tujifunze kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kuzungumzia kero zetu.

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi! Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
  19. R

    Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  20. Mtwara: Madaktari wafanikiwa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto

    JOPO la Madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kusini, Mtwara wamefanya upasuaji wa kuondoa damu kwenye ubongo wa mtoto wa miaka tisa kwa mafanikio makubwa baada ya kutumia vifaa vya kisasa kufanya uchunguzi na kubaini tatizo hilo. Akizungumza Kwa njia ya simu na chombo kimoja cha habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…