Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160.
Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake.
Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya...
Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
Watanzania wengi hupenda kutumia vitu vilivyoongezewa thamani hata kama kwenye mazingira yetu vipo na hatutaki kuviongezea thamani.
Juisi ya mapera mtaani siyo maarufu Sana, lakini mapera hayo hayo yakiongezewa thamani na kutengenezewa juisi na kuitwa "Guava Juice" utaona jinsi juisi hiyo...
Shamba Heka Mbili Na Nusu Limeshuka Bei Kutoka Million 10 Mpaka Milioni 8 tu Lipo Kibaha Madafu
Mmiliki anachangamoto ya mgonjwa Mwenye Uhitaji Wa Shamba Aje Chap Tuongee Biashara, Shamba Liko Umbali Wa Kilomita 6 Kutoka Morogoro Road,
0675 065906
Nimeshtuka sana kuona hii video, kumbe madafu ni bidhaa unayoweza kuisindika na kuiuza ndani na nje ya nchi ikiwa fresh kabisa.
Inauwezo wa kutoa hadi ajira 10,000 kwa kiwanda kimoja, kuanzia kwenye mashamba hadi uuzajI.
Madafu sio lazima kuuza kwenye baiskeli, hata supermarket inawezekana...
Jumamosi ni siku ya kwenda kula mbuzi Kibaha(Loliondo). Lakini kwa ugumu wa hela nikaona nisiende Kibaha nilipie kifurushi ili kumuona Muuza Madafu wa Ikulu akipambana ulingoni.
Saa moja mapambano yakaanza na tukamuona Muuza Madafu anaingia kwenye uwanja hivyo nikajua hapa kweli jamaa...
Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo.
Je unadhani Komando Madafu atatoboa?
Habari wakuu, natumaini mapambano ya maisha yanaendelea…
Mimi sio mwandishi mzuri ila nitajihidi nieleweke, bila kupoteza wakati, leo ningependa kushare jambo kuhusu pesa za moto’ (real story)
Jamaa tumuite Hassan’ alichukuliwa na boss mmoja kutoka kijiji nakuletwa mjini kuuza Duka, alifanya...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma...
A new report by World Bank has pointed why late former president Kibaki was Kenya’s best chief executive.
Chanzo: The EastAfrican
Kama Hayati Kibaki mpaka leo hakuna Mtu aliyevunja Rekodi yake ya kupata A zote za Masomo ya Hesabu Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda ataachaje kuwa Mtendaji...
Maji ya nazi (Madafu) ni kinywaji maarufu sana mtaani. Ni maji hanayopatikana kwenye nazi changa (Cocos nucifera) ambayo hubadilika kuwa tui baada ya kukomaa kwa nazi.
Kumekuwepo na madai kuwa maji haya sio salama kwa watu wenye Ugonjwa wa figo. Kwa kuongezea, mdau wa JamiiForums amesema kuwa...
Habari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa madafu.
Sasa basi. Potasium kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kujihusisha na masuala ya umeme. Mishipa...
Hivi wakomunist uchwara wanafahamu Karl Marx hakutaka Mungu. Na alichoanza kupambana nacho ni dini. Ndio maana akasema dini ni KILEVI CHA UBONGO.
Ukomunist ni mifumo haitaji Mungu. Kwa hiyo mkomunist hawezi kutuambia kuwa ana dini au anaamini Mungu.
Kuna dhana ya kuwa serikali haina dini ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.