Wengine wakistaafu 2030 World Bank itawa 'recognize' kama the best Madafu Nation Chief Thiefs

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,681
109,092
A new report by World Bank has pointed why late former president Kibaki was Kenya’s best chief executive.

Chanzo: The EastAfrican

Kama Hayati Kibaki mpaka leo hakuna Mtu aliyevunja Rekodi yake ya kupata A zote za Masomo ya Hesabu Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda ataachaje kuwa Mtendaji mzuri na Mtu aliyeimarisha Uchumi wa Kenya kwa kiasi kikubwa?

Yaani usomee Kozi ya Stenographer huku Ufaulu wako ukiwa haujulikani na hata uliosoma nao hakuna hata Mmoja anayekusifia kuwa ulikuwa Kipanga ( Intelligent ) Darasani utegemee kuja Kuiongoza vyema Madafu Nation na uiinue Kiuchumi?

Hata Mimi tu GENTAMYCINE japo sina Akili Kubwa kihivyo leo hii niliosoma nao SAUT Mwanza wakiulizwa watasema kuwa nimecha Rekodi yangu ya mwaka 2006 ambapo nilifanya Mtihani wangu wa Somo la Uchumi ( la Mwalimu Luzangi ) kwa dakika 55 tu wakati muda Uliopangwa ulikuwa ni dakika 180 ( yaani Masaa Matatu ) na majibu yalipotoka nikapata distinction A ya 96%.

Sijajua kama mpaka leo pale SAUT Mwanza kuna Mtu aliyevunja hiyo ( hii ) Rekodi yangu Tukuka nikiwa darasa la BAMC la mwaka 2006 hadi 2009 huku Vice Chancellor wangu akiwa ni Genius Mwenzangu ( sasa Katibu Mkuu wa TEC ) Fr. Dr. Charles Kitima na Mwalimu wangu wa Somo la Media Law.

Ni kweli jana tumeshinda 3 kwa 0 ila ile Penati kurudiwa kule ni Sisi Kubebwa tu Kipuuzi na Kuwaonea wasio na Nguvu ya Kipesa na Mashabiki Tanzania tena wakiwa wanatokea Mikoani.

GENTAMYCINE ni Bahari ambayo kamwe huwa haikai na Uchafu halafu Unafiki na Uwongo Kwangu ni mwiko.

Moderators YinYang na. Mhariri naomba msaada wenu wa marekebisho hapo mwisho katika Heading isomeke 'Thieves' na siyo 'Thiefs' kama inavyoonekana. Nitawashukuru na mniwie radhi kwa Usumbufu.
 
Wewe jamaa
 
Back
Top Bottom