Ni kule kwenye ile wilaya ya mkonze,ni miaka mingi sana imepita,kipindi hicho nipo kidato cha kwanza.Nikakutana na huyu mrembo,alikuwa kapanga nyumba moja jirani sana na kwetu,alikuwa akiishi na shemeji yake.Alikuwa mrembo sana kwa sura na umbo.Alikuwa kamaliza la saba,toto la kinyamwezi,rangi...