macho

  1. JamiiForums Tanzania Hawaamini macho yao...

  2. JamiiForums Tanzania Ujasusi Macho Manne

    UJASUSI MACHO MANNE! Anaandika, Robert Heriel. Nilianza kuvutiwa na Ujasusi nikiwa Kidato cha pili huko Makanya, Kwa mara ya Kwanza Neno Ujasusi nililipata miaka hiyo nikisoma Biblia, kisa cha Kwanza cha Ujasusi kilichowazi nilikipata kwenye Kisa cha Yusufu alivyowaambia Ndugu zake wamekuja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
  4. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

    Wanabodi, Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana. Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue. Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru...
  5. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

    Hatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika baadhi ya mataifa, tuwaache waendelee hadi kikombe kijae.. Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Elon Musk atoa ahadi ya kurudisha cocaine kwenye coca cola

    Tajiri namba moja Duniani kwa paper assets,mmarekani na mzaliwa wa South Africa bwana Elon Musk ameelezea matamanio yake ya kuinunua kampuni kongwe ya kutengeneza vinywaji baridi ya coca cola Elon ameonesha matamanio yake ya kuimiliki kampuni hiyo kubwa kupitia tweet ambayo inaonekana kama...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua dawa mbadala ya vidonge vya once a day Kwa ajili ya vitamini vya macho

    Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jicho la Ujasusi la Tanzania linatakiwa kuwa macho sasa kuliko wakati mwingine wowote ule

    Habari wana JF Watanzania, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nitajadili mambo makubwa mawili 1. Vita 'kamili' ya III ya dunia. 2. Namna Tz inavyofanyiwa ujasusi Hoja No. 1 Kwa wasiojua ni kwamba vita kamili ya 3 ya Dunia imekwisha kuanza. Pole kwa wale wanaosema kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiacha Wazungu, Waafrika tunafuata kwa uvumbuzi, Waarabu na Wahindi ni kelele tu. Macho madogo ndio bure kabisa.

    Ukikaa nao watakwambia Algebra mara hivi mara vile lakini waarabu hawana mchango mkubwa sana hapa duniani, na wenzao wahindi wamo humohumo, hamna kitu. Wamegundua vitu vichache sana hapa duniani kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kwa hapa duniani mchango wao katika uvumbuzi ni negligible...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa matibabu wa China waleta matumaini kwa wenye matatizo ya macho Burundi

    Kikundi cha 20 cha madaktari wa China kilichotumwa nchini Burundi hivi karibuni, sasa kinaendelea kuwafanyia watoto upasuaji wa macho bila malipo katika mpango wa msaada wa matibabu Mkoa wa Giheta katikati mwa Burundi. Katika utekelezaji wa mpango huo ulioanza mapema Aprili, wagonjwa 47 wenye...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa ugonjwa huu wa akili wa Biden Marekani inawakilishwa na rais dhaifu huku media inaendelea kumpamba kwa watu wenye upeo mdogo wa kuuona uhalisia

    sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden. ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani. seriously, hiki alichokiongea ni nini Tafsiri; "Vuta...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Idara ya Radiology Muhimbili itupiwe macho

    Leo nimefika hospital ya taifa Muhimbili kufanya kipimo cha Ultra sound,kwa kweli hali niliyoishuhudia ni ya kusikitisha kwani wagonjwa wamekuwa wakikaa muda mrefu bila kupatiwa huduma. Wagonjwa wakifika wanaambiwa wanywe maji wataitwa lakini unaweza kukaa zaidi ya saa 5 bado huitwi. Angalau...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

    Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
  16. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona mke wa mtu akichukuliwa mbele ya macho yangu

    - Kwa ufupi vijana wa sasa mna tabu sana maisha yenu ya sasa yamejaa anasa kwelikweli. - Nawaonea huruma sana maana mnazungukwa sana huko maofisini. - Ngoja nipambane na maisha yangu hawa vijana niwaachie maisha yao. - Hakika kikulacho kiko nguoni mwako.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

    Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland. Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na...
  18. JamiiForums Tanzania Safisha macho yako - Part 1

    Moja kwa moja... Staajabu ubunifu wa mijengo duniani.... 1.Museum Moderner Kunst Stiftung Ludwig Wien, Vienna, Austria 2. ARoS Aarhus Art Museum, Aarhus, Denmark 3.Gardens by the Bay, Singapore 4.VIA 57 West, New York City, United States 5.The Atomium, Brussels, Belgium 6.Galaxy Soho...
  19. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Macho ya China yahama kwenye ufadhili wa miundombinu na kuelekezwa kwenye kutokomeza umasikini katika Afrika

    Wakati ushirikiano baina ya China na Afrika ukiendelea kuwa wa karibu zaidi, mipango mbalimbali ya kutokomeza umasikini na kuleta maendeleo kati ya pande zote mbili imeingia katika hatua mpya. Ni kutokana na mtazamo huu ndio maana Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC lilianzishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…