machine

A machine (or mechanical device) is a mechanical structure that uses power to apply forces and control movement to perform an intended action. Machines can be driven by animals and people, by natural forces such as wind and water, and by chemical, thermal, or electrical power, and include a system of mechanisms that shape the actuator input to achieve a specific application of output forces and movement. They can also include computers and sensors that monitor performance and plan movement, often called mechanical systems.
Renaissance natural philosophers identified six simple machines which were the elementary devices that put a load into motion, and calculated the ratio of output force to input force, known today as mechanical advantage.Modern machines are complex systems that consist of structural elements, mechanisms and control components and include interfaces for convenient use. Examples include a wide range of vehicles, such as automobiles, boats and airplanes, appliances in the home and office, including computers, building air handling and water handling systems, as well as farm machinery, machine tools and factory automation systems and robots.

View More On Wikipedia.org
  1. Mejasoko

    Photocopy machine inauzwa bei 500k, xerox 7220 mafundi mnakaribishwa

    Mazungumzo yapo changamoto ni umeme tu, mwenye uhitaki karibu inbox
  2. Mejasoko

    Nauza photocopy machine xerox 7220 kama screpa bei 500k, mazungumzo yapo.

    Shida yake ni moto tu inajiwasha na kujizima. Muonekano wake ni kama hapo pichani.
  3. N

    Mwaisa: Mangi tunakubali wewe mkali ila mwachie dogo Mwanasheria utafurahi

    Msikilize Mwaisa anaongea kiutani utani ila ujumbe ni mzito sana, "Mangi kweli wewe ni mkali ila mwachie dogo Mwanasheria anavisheni" Kucheka pia ni sera ya Tundu Lissu,🤣🤣
  4. Nyarupala

    Kuna shida yoyote kama efd machine haitumiki kila siku ikiwa TRA wamenikadilia kodi ya kulipa kwa mwaka?

    Ni January inakaribia ndyo nakumbuka kuna kitu kinaitwa efd machine na kutoa risiti kwakweli kwangu ni ngumu,syo makusudi bali ni kusahau tu. Sikumbuki huu mwaka unaenda kuisha nadhani nimeitumia kama miezi minne tu zikiisha rola ndo kabisa nasahau kila kitu. Lakini TRA wameniwekea makadilio...
  5. Ushimen

    Air Compressed machine & diesel engine Technician

    Utapewa pakulala. Kazi ni masaa 12. Mshahara 600k. Chakula ya asubuhi mchana na jioni utapewa na kampuni. Utafanya kazi zingine zitakazo husiana na mechanical.
  6. H

    Nahitaji Lathe machine

    Mwenye Lathe machine inayouzwa tuwasiliane
  7. I

    Heavy machine operator natafuta kazi

    Natumaini ni wazima wote. Ndugu jamaa na marafiki embu angalieni mnanisaidiaje na hii fani na uzuefu nilionao kwa nguvu zangu nimekwama. EXCAVATOR OPERATOR uzoefu miaka 5 WHEEL LOADER uzoefu mwaka1 pia naoperate LLOLER NABIDII NIWAPO KAZINI NATAMANI SANA KUPATA MASHINE YA MTU BINAFSI...
  8. D

    Natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja

    Natumaini ni wazima wote nipo mbele yenu natafuta washing machine 4.5kg ya laki moja ambaye anayo ani pm tufanye biashara nipo Dar es salaam
  9. O

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  10. presider

    Generator,Air compressor and Earth Moving Machine

    Habar......,!! Sisi ni Mkandarasi kwa upande wa Umeme na mitambo(Mechanical). Pia nina fanya Biashara za kuuza na kununua Generator and Air compressor pamoja na Spare part zake. Nina Generator za kuanzia kva 16 had kva 500. Pia nnafanya Installation and consultant ya Generator (Umeme) kwa Bei...
  11. Boloyoung

    INAUZWA Popcorn Machine inauzwa

    Machine ya kutengeneza bisi popcorn machine inatumia gas inauzwa sh 500,000 inauzwa na stand yake yenye matairi free delivery 0747 367681
  12. Jay_255

    Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  13. Jay_255

    Computer4Sale Gaming pc inauzwa ni machine haswaa

    SOLD
  14. JOHNGERVAS

    Msaada namna ya Kusitisha Machine ya EFD

    Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena. Badae alirudi kwenye biashara lakini alibadilisha aina ya biashara na mtaji pia mdogo hivyo...
  15. J

    Mashine ya kukatia majani ( Grass Chopping Machine) inauzwa

    MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta...
  16. D

    Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Habari wadau. Mali tajwa hapo juu zinauzwa. Bado zipo katika hali ya upya maana zimetumika mara moja tu na baada ya mradi kukamilika hazihitajiki tena hivyo nataka kubadilisha walau nirudishe pesa kidogo zinisaidie kwenye mambo mengine. Kwa mwenye uhitaji namkaribisha sana. Grinder Angle...
  17. Kaunara

    Duka Lipi Ntapata Vifaa Vya Washing Machine.

    Habari wadau! Naulizia duka lipi ntapata vifaa vya washing machine kwa Dar. Nashukuru sana.
  18. Transistor

    3D CAD machine design services required

    Urgent!Temporary work for Machine 3D autoCAD layout design. DM for Details.
  19. D

    Awesu Awesu ni mashine hajaitwa timu ya Taifa ila Feitoto kaitwa. Kuna shida pale Taifa Stars

    Huyu kocha Morocco tumwangalie vizuri, anashida ya ku chagua kikosi. Feitoto ni nuksi timu ya Taifa. This is known. Next time tunamwomba Awesu Awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA muda.
  20. Bushmamy

    Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari

    Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha. Wananchi wamechukua uamuzi huo baada ya watoto kuanza kuiba pesa majumbani na kwenda kucheza kamari, Pia...
Back
Top Bottom