machifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Nina uhakika 90% ya wanaJF humu hawajui kuwa 90% ya utumwa duniani ulifanywa na waarabu lakini 80% hawajui kuwa 80%+ ya utumwa uliwezeshwa na machifu

    Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu. Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa wanawake na wanaume, kuwahasi watumwa wa kiume ili watumikie kama matowashi. Biashara hii, ambayo ilidumu...
  2. M

    kuna kundi lingine linaloonekana kupuuzwa kwa uchawa, "MACHIFU"

    Katika nafasi ya uchawa hili kundi haliwezi kukosa top 3 Nyerere pamoja na madhaofu yake alilitendea haki taifa kwa kuwavua mamlaka hili kundi.
  3. R

    GE2025 Mwenyekiti Machifu Rukwa: Tunachukizwa sana na wanaosema wanazuia Uchaguzi na kutaka kuandamana. Rais Samia anafaa kuendelea kuongoza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Katata ametoa tamko la kumuunga mkono mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Chifu Katata amesema, Machifu mkoa wa Rukwa wanachukizwa na mipango ya baadhi ya Watanzania...
  4. Mafyangula

    GE2025 Machifu Simiyu: Wananchi jitokezi kupiga kura Oktoba 29, 2025

    Machifu wa Mkoa wa Simiyu wamewataka Wananchi wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua Viongozi wanaowataka. Wamesema amani ndiyo msingi wa Taifa la Tanzania, hivyo wananchi wote wanapaswa kuilinda.
  5. Chachu Ombara

    GE2025 Chief Masoko: Tutumie mambo yetu yale Wajinga wanaombeza Rais Samia mtandaoni walaaniwe

    Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
  6. Ojuolegbha

    Waziri Kombo awasisitiza machifu kushirikiana na serikali

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Machifu wa Kanda ya Vita ya Majimaji Kusini mwa Tanzania kuendelea kushirikiana na Serikali wakati wakitekeleza majukumu yao ya kimila katika jamii. Hayo yamejiri wakati Waziri Kombo...
  7. Dalton elijah

    Machifu watano wametekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo huko Mandera

    Machifu watano wanadaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera nchini Kenya. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Mashariki John Otieno alisema watano hao walikuwa wakielekea Elwak walipotekwa nyara kati ya Bamba Owla na Ires Suki. Kwa...
  8. Q

    Mwenyekiti wa Machifu: Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu Mpina hayuko peke yake

    Chief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya...
  9. figganigga

    CRDB imewavalisha nguo na Kofia za CCM Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya kwenye wiki ya huduma kwa wateja

    Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuweka program ya elimu ya fedha kuwa endelevu ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata uelewa na kutatua changamoto mbalimbali za masuala ya kifedha. Wametoa wito huo walipotembelea Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha...
  10. MziziwaJiwe

    Mchakato wa kufufua na kurasimishwa uchifu; kwanini sasa?

    Sababu ni ini hasa? Ambapo ulipuuzwa awali kwa kutoonekana umuhimu wala mchango wake, kwa mkoloni, na tawala za Uhuru wa Bendera zilizofuata baada yake, Nyerere aliua uchifu wa makabila yote mengine, isipokuwa wa buzanaki (muhunda wa mwitongo) Tatizo hasa lilikuwa nini? Je, kiukweli uchifu...
  11. Bila bila

    Nani kamdanganya Rais wetu kwamba Machifu ni viongozi wakubwa huku mikoani?

    Nimeangalia na kusikiliza maelekezo ya Rais Samia jana pale Ikulu Chamwino Kwa wanaoitwa Machifu nimebaki nashangaa. Maagizo yalitolewa kwa watu wasio na mamlaka yoyote zaidi ya familia zào maana hakuna sheria yoyote nchini inayowatambua. Nitoe mifano ya mikoa mitatu tu ninayotembelea mara Kwa...
  12. M

    Je African Chief Act ya mwaka 1969 bado inafanya kazi? Kama inafanya kazi kwa nini Rais Samia ameagiza machifu kufanya kazi?

    Hii sheria ilitungwa na Bunge mwaka 1969 na kifungu cha pili cha sheria hii kilizuia na kukataza Machifu kufanya shughuli zozote za kiutawala. Sasa leo nimesikia mkuu wa nchi akiagiza machifu wakafanye kazi za kiutawala hasa kushughulikia kero za watu kutekwa. Je, hii sheria ilishafutwa? Au...
  13. Roving Journalist

    Rais Samia awaagiza Wizara ya Utamaduni kuwafundisha vijana mila na desturi kupitia michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA

    https://www.youtube.com/live/_FwGHaI_fuI?feature=shared Rais Samia ameilekeza wizara ya utamaduni, sana ana michezo kukamilisha mwongozo wa utambuzi wa machifu na viongozi wa kimila katika wilaya na mikoa utakaoainisha majukumu yao yao ya kimila na kijadi. Rais Samia ametoa maelekzo hay oleo...
  14. Kitchener

    Rais na mkutano na machifu!

    Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
  15. Msanii

    Machifu na wakuu wa makabila nchini ni machawa pro max. Hata historia inawasuta baadhi

    Kwa mfano anatoka Makamu Mwenyekiti wa (Chanzo Cha Matatizo) CCM kwenea Ntwara, akifika huko anasimikwa uchifu, akija mwenyekiti wa hicho kijiwe naye anasimikwa uchifu. Mara utasikia wazee na machifu wa Songwe wamemsimika uchifu mkuu wa mafisadi huku wakimpa sifa kem kem. Numejiuliza, taratibu...
  16. Ngaliwe

    Machifu wa Ufipa waomba Makumbusho ya Wafipa, wakimsimika Uchifu Chongolo

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe Makumbusho ya Kabila la Wafipa. Tukio hilo liliongozwa na Chifu wa Kabila la Wafipa, Chifu...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

    Nimeshatishiwa mno KUROGWA na Watu, ila nashangaa 75% yao Wameshakufa ( tena kwa Vifo vibaya ) sana tu. Nina Mademu wengi NILIOBANDUANA nao kwa Kuwaahidi KUWAOA na walipogundua NILIWADANGANYA wakanitishia KUNIROGA huku karibia Wote wakisema UUME / MKUYENGE wangu HAUTOAMKA / UTAGOMA KUDINDA ila...
  18. M

    Wazee wa kimila au machifu mnatengwa. Hili nalo mkalitazame

    Ndugu wanajukwaa habari zenu. Moja kwa moja kwenye mada. Nimekua nikifuatilia au kuona shuhuli mbalimbali za kiserikali zinazohudhuriwa na viongozi wakuu wa nchi. Kabla ya kuanza kwa shuhuli hizo tunashuhudia dua au maombi mbalimbali kutoka kwa viongozi wakiroho kutoka pande mbilitu ambao...
  19. P

    2015/2021 Machi, kila kitu ilikuwa tumwombe Mungu, sasa ni zamu ya machifu kuomba kwa mungu wao ili mvua zije

    Jina Mungu lilitajwa kila alipokuwa asiyependwa na wafoji vyeti, JPM, Kwenye shuguhuli zote za Kiserikali, jina Mungu lilisimama, kwenye korona, jina Mungu lilisimama, na Kwa tarifa tu ni kuwa, Tulianza kuamini zaidi kuhusu Mungu na uweza wake Mvua hazikukata, shibe ilikuwepo, hatukushuhudia...
  20. Area 56

    PSU kuna manahodha wa meli/boti?

    Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam. Je, huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha? Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri...
Back
Top Bottom