machifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Hivi mfumo wa machifu ulikuwa wa kinyonyaji?

    Eti wandugu. Mfumo wa kichifu ulikuwa wa kinyonyaji au wa haki? Mgawanyo wa mali. Utoaji wa haki. Kodi, huduma za kijamii nk vilikuwaje? Ulifanana na mfumo wa kijamaa au wa kibepari?
  2. JanguKamaJangu

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  3. Chachu Ombara

    Umoja wa Machifu mkoa wa Mara watoa ONYO kwa wanasiasa wanaotoa matamshi ya kutotambua umuhimu wa Machifu nchini

    Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa. Pia soma > Humphrey Polepole: Mambo ya...
  4. Nyankurungu2020

    Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa

    Humphrey Polepole amesema kuwa "Mambo ya Machifu yanatusaidia nini kama taifa?nasema jambo hili sio jema,naliona linadhoofisha Utanzania wetu,likiendelea bila kukemewa litaibua tuliyoyazika ya hisia za ukabila, usisi na uwao, Mwalimu Nyerere aliona mbali kukataa haya mambo kwani yataligawa...
  5. masopakyindi

    1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

    Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile Chief...
  6. sky soldier

    Tanzania Bara imekuwa maabara ya kufanyia majaribio?, Kwanini Rais kaanza kuthamini machifu bara lakini hataki kujaribu Zanzibar?

    haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu. Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo?? ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande...
  7. beth

    Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  8. figganigga

    Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

    Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Ufutaji wa...
  9. Zanzibar-ASP

    Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

    Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo. 1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni...
Back
Top Bottom