machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Machawa wengi wanaamini katika Mungu lakini cha ajabu haohao wanasherekea mauaji

    Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea kinyenyekevu sana Lakini sielewi ndio mstari wa mbele kushabikia mauaji ya October 29 na kudai waliouawa...
  2. JamiiForums Tanzania Nasubiria kuona WABUNGE MACHAWA wakisema SAMIA AONGEZEWE MIAKA MINGINE 20! Thubutuuuuuuu

    Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29 na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao! Nategemea wabunge wapitishe samia aongezewe Miaka 20 ili iwe hakuna nywinywi wala nywinywinywi! ili akiua binadamu wenzie...
  3. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia Mwakinyo hushinda kwa mchongo/Maelekezo machawa wake mnatupopoa

    Nimesema nisilale niangalie Afcon na Ngumi. Kumbe mavi ya nyoka tu. Ngumi gani za hivi? Ushindi gani round ya2 mdebwedo. Nikanywe Bia.
  4. JamiiForums Tanzania Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

    Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi. Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari...
  5. JamiiForums Tanzania Mabondia wa TZ ,ukimtoa Mwakinyo 96% ni machawa hatuna budi nao kuwafungia vioo. Wana hiyo wanaita Knockout ya mama wanajimaliza sana

    Mabondia wa Tanzania wengi ni machawa wa CCM , tangu waletewe hiyo knockout ya mama wanazidi kujimaliza kumsifia mama abduli na chama chao cha ccm. Mwakinyo kwenye mkumbo huu kaukataa na mara kadhaa amekuwa akilaani matukio yote ya kihalifu yanayotokea hapa nchini haswa matukio ya kitekaji...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna machawa wengine ni wahaini kabisa...

  7. JamiiForums Tanzania Tahadhari, kuna machawa yanazunguka PM kuwataka watu waunge juhudi za Samia

    kumekuwa na baadhi ya machawa wanapita pm nakukuahidi posho ya 10k pamoja na unlimited bundle ili kuisifia serikali ya Samia, kuwatusi chadema na kuitetea serikali kwa kila hali. Mbaya zaidi wanasema tuwe tunareport members na kuireport JF kuwa iko biased. Mbinu zao wanakuambia tuma namba ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi machawa wa mama waliwahi kujiuliza swali hili?

    Kuna watu wanaabudia wenzao wasijue watakufa siku moja. Tuliyaona wakati wa Magufuli. Sasa tunao machawa. Mungu wao ni mama yao anayewafuga. Je, waliwahi kujiuliza? Akifa itakuwaje? Je, hakuna namna nyingine ya kupata riziki ila kugeuzwa au kujigeuza. chawa mdudu mchafu na hovyo mnyonyaji...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

    Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote. Swali: Ni kwanini? Je, wanaona aibu? ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimechungulia kidogo nikaona kuna vikofia na visibau na machawa wanaotetea matumbo yao!

    Hakuna watu wa maana wamekaa mle kuna takataka tupu.....machawa Casual observation ni wa dini ile by 98%
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katuni hii ya machawa inakupa picha gani?

  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mashehe wengi wamekubali kugeuzwa machawa na waimba pambio?

    Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi. Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa? Je, ni kwa vile rais ni mwenzao? Je, huu siyo udini wa wazi kabisa? Ina maana mashehe huwa...
  13. JamiiForums Tanzania Machawa wa kuita press mko wapi siku hizi?

    Steve nyenyenyee, mbasho, mwinja yule dogo rais wa vyuo tume miss zile press zenu hasa steve,,, tupe ata press moja tivu akeee....
  14. JamiiForums Tanzania Wako wapi akina Peter Msigwa na wasaliti wenzake walioramba matapishi wakatapikwa na machawa?

    Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Maajabu ya Dunia! Mbona sizioni pongezi za machawa, makampuni, kulikoni?

    Tumsifu Yesu Kristu KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno. Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
  16. JamiiForums Tanzania Askari watahusika kuangamiza machawa awamu ya pili ya safisha safisha

    Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba machawa mashughuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wana JF naomba tusireply wala kujiengage na threads zozote za machawa

    Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao. Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwani machawa wa Samia hawajui kama internet imerudi?

    Mpaka muda huu machawa wa mama Samuya huko Instagram nikama wamepigwa na ganzi, machawa nikama hawajui watokeje kwenye huu mtumbwi wa kibwengo walioupanda. Pongezi hawatoi Wala salamu kwa mashabiki hawatoi Ndugu zangu machawa internet imewashwa , na sisi tunasubiri kuona mnakujaje tuwapokee...
  19. JamiiForums Tanzania Mko wapi machawa mliokuwa mkisema hakuna maandamano? Njooni hapa tuwaone na kuwasikia

    Haiwi haiwi huwa. Waliokuwa wakituzodoa kuwa watanzania ni woga hawawezi kukinukisha mko wapi chawa wakubwa nyie? Samia na tambo za Khadija Kopa yuko wapi? Mnataka amani bila haki. Kweli hii inawezekana? Ushauri wangu wa bure ni kwamba tuache kuishi kwa mazoea binadamu ana tabia zinazobadilika...
  20. JamiiForums Tanzania Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

    Machawa wote walio dharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane wachunge sana hatutaki uchawa wao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…