mabomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namna ya kukabiliana na mabomu ya kutoa machozi

    Wakati unapojikuta umerushiwa mabomu ya kutoa machozi bila shaka utakuwa unapitia madhara ya kemikali hiyo. Lakini unaweza kufanya yafatayo kupunguza nguvu ya athari yake. Songea sehemu yenye hewa safi haraka iwezekanavyo Osha uso wako kwa kutumia maji ya baridi. Pia, unaweza kutumia...
  2. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  3. G

    Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

    From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana. Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa. Kuna possibilities zifuatazo yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu Mossad wana teknolojia ya...
  4. Israel yalipua Ghala la Hezbollah Nchini Lebanon- Moto wa milipuko unaendelea kuwaka

    Explosions after an Israeli airstrike that reportedly targeted ‘Hezbollah weapons depot’ in Lebanon An Israeli strike on Monday evening targeted a Hezbollah arms depot in Lebanon's eastern Bekaa Valley, two security sources told Reuters. There were no immediate reports of casualties, the...
  5. Polisi wawatawanyisha kwa mabomu Waandamanaji wanaopinga ujenzi Bomba la mafuta Uganda Tanzania

    Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo. Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea kupingwa na wanamazingira na wanaharakati wa haki za binadamu ndani na nje ya Uganda. Na hiyo ndiyo...
  6. Dada wa Barack Obama ashiriki katika Maandamano, arushiwa mabomu ya machozi

    Auma Obama, dada wa kambo wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, amerushiwa mabomu ya machozi na Polisi wakati wa mahojiano na Kituo cha CNN alipokuwa akihojiwa wakati akishiriki katika Maandamano ya kupinga Muswada wa Fedha. Akizungumzia Maandamano hayo ya kupinga Muswada wa Fedha 2024...
  7. Israel imepiga mabomu mpaka hatimaye wameanza kulalamika kuishiwa na mabomu

    Maajabu ya dunia yako mengi na kila siku huwa yanaongezeka.Ipo haja hiki walichofanya Hamas nacho kikaingizwa kwenye maajabu hayo. Mmoja ya mateka 4 waliookolewa wiki iliyopita maeneo ya Nusreita huko Gaza amepeleka salamu mbaya kwa waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu.Salamu hizo...
  8. Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

    Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.
  9. Ulipuaji mabomu wakati wa mazoezi ya kijeshi unaofanywa na polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU manispaa ya Musoma udhibitiwe ni hatari kwa afya za w

    Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
  10. Tegua Haya Mabomu Saba!

    Kuna watu umewaruhusu wawe sehemu ya maisha yako kukupotezea muda tu. Haya ni mabomu! Yamelipua uchumi wako, mapenzi yako, siasa zako, kazi yako, dini yako. Huna hamu ya kuishi! Kuna watu unasema ni watu wako lakini hawajawahi kukupa hela,wala hawajawahi kukupa mchongo wa hela, hata ukipata...
  11. Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

    Magaidi yote ya dini yaliyojificha pale lazima yaliwe.... The Israel Air Force struck various targets across the Rafah area in the Gaza Strip. https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1778155611923841222
  12. Israel imefungua vituo vya kujikinga kwa mabomu mjini Tel Aviv, ikihofia mashambulio ya makombora ya Iran

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametoa wito kwa nchi zote za Kiislamu kuungana dhidi ya Israel. Hali ya mtaa huko Haifa nchini Israel na kufurika kwa wa-Israel kuelekea vituo vya kujikinga na mabomu Hofu imetawala: Israel imebana GPS katika viwango vya juu zaidi katika eneo lake kwa hofu ya...
  13. Mabomu ya machozi yanapigwa nje ya uwanja wa Taifa, mashabiki waliokata tiketi wamezuiwa kuingia

    Mliopo kwa Mkapa mtujuze, nasikia polisi wanafyatua mabomu ya machozi baada ya mashabiki wenye tiketi kuzuiwa kuingia uwanjani kisa uwanja umejaa. Mliopo uwanjani mtujuze ukweli upoje?
  14. USA yatoa maelfu ya mabomu yatakayotumika kufumua Rafah

    Gaidi lazima apigwe mpaka damu imtoke maskioni....... The US in recent days authorized the transfer of billions of dollars worth of bombs and fighter jets to Israel, according to two sources familiar with the effort, Reuters reported on Friday. This is despite Washington’s public expresses of...
  15. Picha: Jinsi Lebanon kunawaka moto ya mabomu ya Israel

    Lebanon wanaendelea kupokea adhabu kwa ajili ya Hezbollah... Three civilians were killed in an Israeli strike on a residential building in the south Lebanon city of Nabatiyeh this evening, a Lebanese security source says. “Three civilians dead in the Israeli strike, including two women,” a...
  16. Mabomu yarindima kwenye masoko ya walalahoi Somalia, 10 wafa

    Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana. Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi ukilenga nini haswa. =========== Several blasts at a popular open-air market in Somalia's capital...
  17. Rais Mwinyi: Baada ya mabomu kulipuka Gongo la Mboto niliwasilisha ujumbe wa kujiuzulu, JK akakataa kujiuzulu kwangu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka aliridhie nijiuzulu lakini sikukurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza kwamba nimejiuzulu...
  18. Israel itawamaliza Mateka wake kwa kushambulia Gaza wamewaua mateka wengine wawili kwa mabomu

    Wanakumbi. Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza. Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
  19. Magaidi ya Houthi yapiga meli ya Urusi mabomu, yamechanganyikiwa tangu kipigo cha USA

    Urusi wajifunze kwa ujinga wao wa kutaka kushikamana na mazombi wa dini ile... Houthi militants mistakenly targeted a tanker carrying Russian oil in a missile attack on Friday off Yemen, British maritime security firm Ambrey said. The United Kingdom Maritime Trade Operations (UKMTO)...
  20. USA wapiga Houthi mabomu mengine tena na tena, magaidi yaanambulia kusema yatalipa kisasi

    Magaidi ya kidini yanaendelea kupigwa huku yaking'aka kwamba yatalipa kisasi...... The US military early Saturday struck another Houthi-controlled site in Yemen that it had determined was putting commercial vessels in the Red Sea at risk, a day after the US and Britain launched multiple...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…